Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Muendelezo kesho mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi katika hii story niko interested sana na namna watu wanavyopata pesa,mfano Mimi Niko kwenye field ya clearing and forwarding kutokana na hii story nimejikuta nafanya research nyingi sana namna gani watu wanafanya air Cargo aisee,thanks a lot BMX6 nimejifunza sana, people are making money silently and it's not magic ni kujipanga tu.
Capital so many people can afford hapo kilichopo watu wengi hawana ni information tu iwe wewe ni agent au wewe ni mfanyabiasha ni lack of information and knowledge tu
 
Watu wanatengeneza pesa haswa bro, Ukiachana na wamiliki wa hizi Kampuni pia kuna vijana walioajiriwa kwenye hizi Kampuni wanajiongeza na kufanya makubwa

Unakuta wengine waanza kufanya Biashara na wanatusua kutokana na Experiences walizokuwa nazo, maana kupitia hizi Cargos Kampuni unakutana na wafanya Biashara wakubwa kwa wadogo, so ukiwa mjanja network ndio unaanza kunitengenezea hapo

Wafanyakazi wengine wanaji organize na wanafungua Kampuni yao ila mara nyingi huwa wanatafuta sponser

Mfano Kwenye Ile Kampuni ya Mzee kuna kijana mmoja alikuwa Salesman, katika kutafuta tafuta wateja akakutana na Don flani, Dingi ni mfanya biashara ana pesa zake za kutosha tu, sasa wakati jamaa (salesman) ana mu-approach yule Don asafirishe mizigo yake na Kampuni yetu Kwa bahati nzuri yule Dingi akapenda Salesman wetu anavyomuelezea vitu in detail

Don akawa Interested akaanza kusafirisha na Kampuni yetu though sijajua before alikuwa anasafirisha na Kampuni gani, lakini pia kilichomvutia kwetu sio huduma nzuri tu Bali pia Approaching ya Salesman

Mwisho wa siku Don ndio akaanza kumu-approach Salesman ili wafungue Kampuni ya usafirishaji, Hapa ndio narudi kwenye Ile point yako ya lack of information

Don ana pesa lakini hana Informations, Salesman hana pesa lakini ana mtaji wa maarifa na taarifa, wakaunganisha nguvu jamaa Sasa hivi anapiga zake pesa,

Kutoka kuwa salesman wa kulipwa kwa kilo hadi kuwa Meneja wa Kampuni

Yani yeye na Caryn kwasasa hawana Tofauti wapo the same level, labda utofauti ni kwamba jamaa ame-hustle from the scratch na Caryn ni wakishua anaendeleza hustling

Sent using Jamii Forums mobile app
 

,…kuna hela fulani zilizojificha kwenye hii biashara, [emoji40], Connection, Info,etc kuna vitu umeniongezea hasa kweny sales….Anyway endelea kutem madini
 
,…kuna hela fulani zilizojificha kwenye hii biashara, [emoji40], Connection, Info,etc kuna vitu umeniongezea hasa kweny sales….Anyway endelea kutem madini
Vitu ni vingi sana mkuu sema siwezi kuweka wazi mambo yote maana naweza kujikuta nashea info zingine ambazo ni confidential na kama unavyojua hizi Kampuni siku hizi ni nyingi sana na ushindani umeongezeka

Madini/info zingine za kawaida zitaendelea kuwepo kwenye episodes zinazofuata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu huu unyanyasaji utaisha lini?
 
Hii ya khumbu mkuu naomba link kama inawezekana
 
Sasa mwendelezo wa baada ya hapa yaani season 2 naupataje naomba mwongozo wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…