Sorry nilichelewa kuiona hii
Anyway, inawezekana Miss anafanana na Caryn ila kwa namna ulivyomuelezea hapa naona wametofautiana kidogo
1. Caryn hajawahi kula pesa yangu ila Mimi ndio nishakula pesa zake nyingi tu
2. Kwenye Issue ya kunjunjana niseme tu ule usiku wa Zanzibar ulijirudia tena, kwa maana ya kwamba nililala nae chumba kimoja hadi Asubuhi ila kabla ya kulala nae nilishajaribu kumuingiza Box ila majibu yake Sasa....nitaelezea Next Episode
Last but not least Caryn hajanifukuza kazi ila sababu ya kukataa kwenda China sababu ni Caryn, hii nayo nitaielezea kwenye muendelezo unaofuata