Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Sorry nilichelewa kuiona hii

Anyway, inawezekana Miss anafanana na Caryn ila kwa namna ulivyomuelezea hapa naona wametofautiana kidogo

1. Caryn hajawahi kula pesa yangu ila Mimi ndio nishakula pesa zake nyingi tu

2. Kwenye Issue ya kunjunjana niseme tu ule usiku wa Zanzibar ulijirudia tena, kwa maana ya kwamba nililala nae chumba kimoja hadi Asubuhi ila kabla ya kulala nae nilishajaribu kumuingiza Box ila majibu yake Sasa....nitaelezea Next Episode

Last but not least Caryn hajanifukuza kazi ila sababu ya kukataa kwenda China sababu ni Caryn, hii nayo nitaielezea kwenye muendelezo unaofuata
Kuna mambo matamu sana tuletee muendelezo please [emoji120] [emoji22]
 
Sorry nilichelewa kuiona hii

Anyway, inawezekana Miss anafanana na Caryn ila kwa namna ulivyomuelezea hapa naona wametofautiana kidogo

1. Caryn hajawahi kula pesa yangu ila Mimi ndio nishakula pesa zake nyingi tu

2. Kwenye Issue ya kunjunjana niseme tu ule usiku wa Zanzibar ulijirudia tena, kwa maana ya kwamba nililala nae chumba kimoja hadi Asubuhi ila kabla ya kulala nae nilishajaribu kumuingiza Box ila majibu yake Sasa....nitaelezea Next Episode

Last but not least Caryn hajanifukuza kazi ila sababu ya kukataa kwenda China sababu ni Caryn, hii nayo nitaielezea kwenye muendelezo unaofuata
episode ya pili iko wapi mkuu
 
Naona mzee anapenda sana road trips. Kwa mshiko alio nao, ningekuwa mimi kwa safar ya dar mwanza siwez push gari, natanguliza gar na kijana af me napanda mwewe
 
Mzee anakuambia safari za ghafla mf kama Kuna emergency ndio atapanda ndege, lakini tofauti na hapo ndege anapata kwa safari za mbali za kuvuka Border

Uzuri ana mipira ya Road trip, imagine unapiga Road trip na li-Jeep Wrangler [emoji1430]
 
Uzuri ana mipira ya Road trip, imagine unapiga Road trip na li-Jeep Wrangler
emoji1430.png
Ila haya maisha!! Bas tu. Kuna watu wameyapatia
 
Mzee anakuambia safari za ghafla mf kama Kuna emergency ndio atapanda ndege, lakini tofauti na hapo ndege anapata kwa safari za mbali za kuvuka Border

Uzuri ana mipira ya Road trip, imagine unapiga Road trip na li-Jeep Wrangler [emoji1430]
Nilichihundua Caryn ana nyodo na kujiamini kwa sabab ya mawe ya babaake
 
Kuna jeep imekatiza hapa kimara darajani now na hii mvua ndani kuna bint anaendesha na pembeni young wa kiume. Akili yote inaniambia huyu ni careen na BM wanakatiza
Huyo sio mm labda Caryn lakini kwa Caryn pia sidhani kwasababu nimewasiliana nae hiyo mida ya mchana alikuwa yupo Mnazi Mmoja

Jeep yenyewe ya rangi gani kwanza?
 
Unaweza kaka endelea mi natamani kujua hatima ya Annie na Mzee lengo lake kubwa la kukupa huo mtihani ni Nini
 
BM umeanda Mwanza ukaspend huko bila hata kuonana na Annie. Annie si yuko Mwanza? Sijaona sehemu ulipokutana na Annie katika safari Mwanza. Au mengine ni nje ya pazia?
 
Sikutaka tu kuonana nae ndio maana sikumjulisha kama nilikuwa Mwanza,

So kipindi chote nilichokuwa Mwanza tulikuwa tunawasiliana kwenye simu lakini akijua kwamba nipo Dar
 
Back
Top Bottom