Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mkuu ushawahi kuwaza kwamba hii ni isidingo ya bongo kabisa yaani ni written isidingo au script vile.. story nzuri na uandishi mzuri ila imekaa ki-isidingo inachosha..
Mwisho kunatabirika ni lini!?
Na bado uweka miguu hapa unasubiri kusoma kifuatacho
 
I told you....Caryn amekufia sana
 
Uwiii , yani apo unawafanya wote wawe na wivu na wewe

Ambayo unawajaza attraction ya hatari 😀
Mchezo mgumu sana huu.
Niliwahi kuwekwa kati na sisters...
Wote wananikubali balaa...mdogo ataka
Kumpindua dadake...na wao wanapendana sana...ilikuwa kazi ngumu mno kutowagonganisha...wivu wao ulikuwa mateso kwangu
 
Aisee
 
Ukijiona umechoka unsubscribe tuache sisi tuendelee na BM X6.

Mkuu ushawahi kuwaza kwamba hii ni isidingo ya bongo kabisa yaani ni written isidingo au script vile.. story nzuri na uandishi mzuri ila imekaa ki-isidingo inachosha..
Mwisho kunatabirika ni lini!?
Kah
 
I told you....Caryn amekufia sana
Kuna kipande nimekihadithia hapo juu, alivyonipigia simu na kunambia "It's Monday BM na ndio kwanza unaamka sasa hivi tutafika kweli?"

Unajua hiyo part Caryn aliongea kwa tone ya huruma sana na unyenyekevu mno, sijawahi kumsikia akiniongelesha vile, na ndio maana hata nilivyofika ofisini nilifeel guilty na kuanza kumuomba msamaha
 
Nadhani Caryn anaku consider kama her future husband but She just want to play very smart! Kazi kwako kuwa smart zaidi yake ili u win her soul
 
Hahaaa mapenz hayana baunsa hadi Caryn
 
Michelle: "Unajua kwasasa almost everyday ni lazima niende site imagine kwa siku moja na-drive kutoka Bagamoyo hadi Kigamboni halafu nirudi tena Kibaha

CODE...USISAHAU..CODES...MKUU...MAJINA YA MAENEO NA CALUCULATION ZA MOVEMENTS...
 
Codes ni muhimu mkuu, hizo sehemu nilizozitaja ni sehemu za miradi ya Kampuni so haina shida sana kwasababu hata Kampuni nyingine zina miradi huko

CODES MUHIMU AMBAZO ZIPO HIDDEN

Majina ya Kampuni

Majina ya wahusuka wote nikiwemo mm,

(Hayo mnayoyaona hapo ni feki ila vyeo/nafasi za wahusika ni halisi, wahusika wengine badala ya kuwapa majina feki nimeamua kutumia positions zao katika kampuni au katika Jamii, mf Accountant & Secretary, Mzee, Bi Mkubwa nk)

Makazi ya Mzee na makazi yangu codes zimezingatiwa pia

Mshiriki mmoja tu ndio nimetaja jina lake halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…