Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Muheshimu BM tuambie unavyomiona Caryn she is in love you like boyfriend or just workmate for you research Kuna codes nimeziona Kama anakupenda anashindwa kukuambia na unashindwa kumwambia

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyewe nilikuwa njia panda kama ww Mkuu, yani nilikuwa sielewi

Unajua unaweza kufanyiwa ukarimu na Mwanamke hadi ukahisi unapendwa kimapenzi kumbe mwenzako hayuko kwenye fikra hizo kabisa na wanaume wengi tupo hivyo tunashindwa kutenganisha upendo wa kawaida na ule wa kimapenzi

Lakini pia unaweza ukawa unapendwa kweli ila ukashindwa kujiongeza kwa kukosa kutambua kama huu ninaooneshwa ni Upendo wa kawaida au ni Upendo ule wa kuwa mwili mmoja

Ila kwa upande wangu mm nilijiongeza, episode inayofuata utajua kama mkeka ulitiki[emoji3514] au ulichanika[emoji735]
 
Ilipoishia

Hatimaye tukafika Dar, tulivyofika town hatukuenda moja kwa moja nyumbani tukapitia Car Wash flani ipo maeneo Mikocheni Sasa Wakati gari inaendelea kuoshwa Mzee akanishtukiza na habari nzito kidogo japo haikuwa exclusive kwangu

Mzee: "BM nataka uende ukasimamie Kampuni kule China.....siunajua (Jina) mwezi wa sita anahamia Marekani"

BM: "Mzee ww unahisi nitaweza kweli?"

Mzee: "Ndio maana nataka uende mapema ili hii miezi miwili iliyobaki (Jina) awe anakuelekeza baadhi ya mambo"

Kwakufupisha story Mzee nilimkatalia safari ya kwenda huko china kwa kumpa sababu za uongo na kweli, Kwanza Mzee hakuamini kama ningeweza kuikataa Ile offer lakini hata hivyo mimi mwenyewe nimeikataa ofa huku nikiitamani ni kwa vile tu nilikuwa Sina namna nyingine zaidi ya kuikataa

Turudi kule tulipoishia episode iliyopita ili kujua kwanini nilikataa kwenda China

Muendelezo

(Episode 19, SEASON 2)

Sasa Caryn alivyonibananisha kwa kudai kwamba naiibia Kampuni hata sikutaka kumbishia kwasababu sijajua ni aina gani ya ushahidi anao, nakumbuka aliniambia tu acha mm niende tutawasiliana

Jumatatu imefika ndio kwanza nimelala hadi saa tano, kawaida nikiwa na stress huwa nalala sana sasa wakati nimeshika simu naangalia muda ndio nikakuta missed call ya Caryn (1 missed call) nikam call back

Nilivyompigià akapokea...lakini ndio nimetoka kuamka muda mfupi uliopita kwahiyo bado nina Ile Morning voice.

Caryn: [emoji338]"It's Monday BM na ndio kwanza unaamka sasa hivi tutafika kweli?"

BM: "Sasa ulitaka nifanyaje Caryn mbona unapenda kulaumu"

Caryn: "BM nakutegemea sana lakini naona unaniangusha, Leo ni siku ya kazi na haupo ofisini unakatisha tamaa kwakweli"[emoji3513]

Akakata simu! sasa unajua mimi sijaenda kazini makusudi nikijua kwamba nishaharibu kumbe kazi inaendelea kama kawaida, nikakurupuka kitandani nikapiga tu mswaki hata sikuoga Uzuri nilichelewa kulala nikaoga saa saba za usiku so Incase nikiulizwa kama leo nimeoga najibu kwa herufi kubwa NDIO (1 AM siku isha turn)

Watu wapo Lunch time mimi ndio naingia ofisini, saa saba na nusu hiyo mchana nikaingia hadi ndani ofisini kwa Caryn, alivyoniona tu aka-touch simu yake kwenye screen nahisi alikuwa anaangalia muda hakuongea chochote, nikakaa kwenye kiti kama sekunde kadhaa akawa ananiangalia tu wala mimi sijaongea chochote lakini saa hiyo ubongo una process ni vitu gani niongee

BM: "Caryn samahani unaweza hisi kama nimefanya makusudi lakini sivyo, mm sikujua kwamba natakiwa kuja kazini leo kwasababu ulisema nisije hadi utakaposema"

Caryn: "You know what, na appreciate kwamba you're really making this job easier for me, I mean you're good when it's come to work but no matter how good you are, you can always be replaced"

BM: "Kwamba mapengo siku hizi yanazibika sio"

Caryn: "I'm not jocking...On serious note, I am being patient with you because I love you, but I don't know how long I can be patient for"

BM: "Wow kumbe napendwa!"

Caryn: "We leta mzaha tu.....(Jina) ebu njoo"

Alimuita Secretary kwa kulitaja jina lake halisi

Caryn; "Can you priorities those files please, I need them before this evening, and tell the Accountant to prepare the quotation and send it to my email"

Secretary akaondoka nikabaki na Caryn japokuwa meza ya secretary haipo mbali kiasi kwamba tunachokiongea anakisikia

Sikukaa sana nikaondoka nikaenda kwa Accountant kwaajili ya kunipa pesa ya safari ya Zanzibar

Nikaenda......Jumatano nikarudi, baada ya kufikisha mizigo ya watu salama nikapiga hesasabu na Accountant nilivyomaliza nikaenda na kwa Caryn nikapiga nae hesabu pia

Ila Caryn bhana, sasa hivi ameweka utaratibu wa kwamba kila nikitoka Zanzibar nikishamaliza kufanya mahesabu na Accountant basi ni lazima nipite na kwake pia lakini kupitia ofisini kwake sio kutaka kujua maswala ya matumizi yameendaje, Bali anataka kujua Batch ya mzigo ulioingia kulikuwa kuna mzigo gani na gani maana kuna mizigo mingine huwezi kukuta imeandikwa kwenye Parking list wala kwenye Airway bill

Mfano kama vitenge, kwenye 'Airway bill' au kwenye 'Parking list' huwa tunaandika tu Clothes, Au zile zaga za kukupeleka Uhuru Peak bila ya uwepo wa jinsia ya pili kwenye Parking list huwa tunaandika tu Accessories na kumbuka hapo kwenye Accessories ndio utakuta pia kuna Hereni, Necklace, Watchs, Mawani, Earphones nk...

Sasa mtu akitaka kufanya upigaji ndio anatumia mizigo aina hiyo ambayo haitakiwi kuingia Tanzania, Nadhani mtakuwa mmeelewa.....tuendelee na story

Sasa Caryn alihisi kama kuna kaupigaji kanaendelea ndio maana sasa hivi anataka kujua kila aina ya mzigo inayosafilishwa katika kila BATCH. Basi nikamuweka wazi kila kitu sikutaka kuficha ficha mambo, nikamuambia Batch hii hatujasafirisha vitenge ila kwenye Accessories kuna mambo flani hivi ya kiutu uzima ila kwa bahati nzuri nimejua kuchezesha Bandari so imepita nayo kama mizigo ya kawaida

Caryn: "Lakini BM hii mizigo ni risk na nilishakuambia tukatae wateja wanaotaka kusafirishiwa mizigo ya aina hii"

BM: "Kwenye Risk ndio kuna hela sasa"

Caryn: "Shauri yako, utakuja kushikwa"

BM: "Hakuna wa kunishika pale, kwanza wao wenyewe ndio wanafurahia watu wakipitisha mizigo ya aina hii kwasababu ndio wanapata ulaji"

Caryn: "Na wewe ndipo unapopigia humu si ndio?"

BM: "Tulikuwa tunawaongelea TRB, Umehamia kwangu tena!"

Caryn: "BM mm najua unaiba na sikukatazi lakini usiibe hadi ukaifirisi Kampuni kwasababu sitakubali Kampuni inifie mikononi mwangu na u play smart nisikukamate"

BM: "Mbona kama umeniruhusu?"

Caryn: "Hapana, sijakuruhusu na pia sijakukataza coz najua hata kama nikikukataza bado utafanya tu...Unajua shida sio kuiba shida ni mimi nijue kama unaiba"

BM: "Si umeshajua, mwenyewe unajikuta Detective"

Caryn: "Sijajua bado, ile siku ilikuwa ni mikwara tu halafu na wewe ukajaa (Halafu anacheka) Lakini Ile mikwara imesaidia, si unaona kama leo kwa uoga umefunguka vitu ambavyo hata nilikuwa sivijui"

Nikamuangaliaaaa sijammaliza

BM: "Unajua hii ni kazi, so kufunguka kwangu nikukurahisishia kazi tu na wala hakuhusiani na mikwala yako, ila Ulichokifanya sijakipenda"

Caryn: "Wewe ndio una maudhi sana, Sometimes I feel like you forget that I'm still your Boss...Ebu niache kwanza ni concentrate na kazi"

Sikukaa ofisini muda ule ule mchana nikaondoka nikaenda nyumbani kwangu kulala, majira ya saa 12 jioni nikaamshwa na simu ya Caryn akadai anaelekea Rotana so tukutane huko

Nilivyokuwa nimeboeka sina ramani sikuuliza hata mara mbili 2 nikaoga nikachomoka, nimefika Johari Rotana siioni gari yake na wakati kaniambia ameshafika

BM: [emoji338]"Oya niko Parking hapa lakini siioni gari yako!"

Caryn: "Nime-Park P2"

Nikawa sijamuelewa ila badae tulivyokuwa tunatoka ndio nikamuelewa alikuwa anamaanisha nini alivyosema P2, basi akanielekeza floor ya kwenda nikafika hadi kwenye meza aliyokaa,

BM: "Madam, unakuja hotel kubwa hivi na mezani hakuna kitu!"

Caryn: "Si nilikuwa nakusubiria ww"

BM: "Kuna nini leo hadi umekuja 5 star hotel, umewin jackpot nini?"

Caryn: "Ivi sijawahi kuja na wewe hapa?"

BM: "Hapana, mwisho wetu ni 3 star hotel"

Caryn: "Hatukwenda wote Serena ww?"

BM: "Labda ndotoni"

Caryn: "Usijali mambo madogo hayo"

BM: "Haya nambie kuna agenda gani hapa?"

Caryn: "Hakuna agenda yeyote nimeamua tu kukutoa Out"

Tukaitisha msosi, sasa wakati tunaendelea kula Caryn akanikanyaga mguu,

Caryn: "Umeona Pisi ile"

BM: "Nimeiona, Ina nini?"

Caryn: "Nakuonesha Pisi halafu unaniuliza ina nini! seriously? kwani huwa mnafuata nn kwa Wanawake?

BM: "Alichonacho yule na wewe unacho vile vile tena na zaidi, sasa ya nini nifuate Maji ya ziwa yaliyo mbali Wakati jirani yangu Kuna Bahari"

Caryn: "Lakini Maji ya Bahari yana chumvi bro shauri yako"

BM: "Hamna Pisi pale bhana, ivi unajua Pisi wewe?"

Caryn: "Kachukue namba bhana, nataka nione makali yako leo"

BM: "Caryn ni Bora nichukue namba yako kwa mara nyingine tena hata mara 26 ikibidi niisave A,B,C hadi Z"

Ghafla akabadilisha mada

Caryn: "Hii hoteli umeionaje?"

BM: "Iko sawa tu"

Caryn: "Nafikiria kuwaleta wafanyakazi wote hapa mwisho wa mwaka tupate Lunch ya pamoja"

BM: "Wazo zuri"

Tulivyomaliza mida kama ya saa tatu kasoro ivi tukaondoka, Caryn akarudi kwao mm nikarudi kwangu,

Masaa yakaenda siku zikakatika. Siku mbili kabla ya Christmas nakumbuka ilikuwa siku ya kazi Alhamisi mchana Michelle kwa mara ya kwanza namuona anakuja ofisini, wakata anaingia Michelle ofisini sijamuona mm nilikuwa stoo na wana ila Accountant ndio alikuja kunishtua kwamba naitwa ofisini

Kabla sijaendelea mbele...Jana yake nilivyotoka Zanzibar kushusha mzigo wakati nipo na Accountant tunapiga mahesabu si Akaingizia story za Opportunist kwamba anamtaka na hiyo ilikuwa ni mara ya pili Accountant ananishtakia,

Na kumbuka ananishtakia mimi kwasababu Aliona Kuna ukaribu flani hivi kati yetu maana mshkaji alivyoanza kazi mm ndio nilikuwa na muelekeza elekeza baadhi ya mambo pale ofisini, na hata kwenda ku-deliver na kutuma mizigo mikoani safari ya kwanza nilienda na mie

Sasa Accountant alivyonishtakia mm nikamuambia kama vipi amkubalie tu jamaa mbona yupo fresh tu hana baya, kifupi nilikuwa upande wa Opportunist nilikuwa nampigia pande, kazi ibaki kwake kuweka gambani na kumalizia (na kama hii Assist ikikubali basi itanirahisishia kazi)

Basi tuachane na ya jana, mm nikaelekea ofisini nikamkuta Mtu na Dada yake, Caryn na Michelle

BM: "Leo imekuaje siunasemaga hutakagi shobo na Ofisi za watu ww?"

Michelle: "Kwanza unaonaje Dogo akanipisha hapa mm ndio niwe Incharge halafu yeye akaenda kule, tufanye exchange?"

BM: "Wazo sio baya kwakweli"

Caryn: "Hilo ndio tatizo la BM"

BM: "Tatizo gani?"

Caryn: "You always agree to everything"

Michelle: "Amekubali akijua ni utani, issue ingekuwa serious I'm sure asingekubali"

BM: "Najua ni utani lakini mm nimejibu nikiwa namaanisha"

Caryn: "So BM, do you feel uncomfortable to working under me"

BM: "Hapana, hayo ni maamuzi tu sijasema kwamba na feel uncomfortable working under you"

Caryn: "Okay, kama hayo ndio maamuzi yako basi you gonna lose diamond while picking stones"

Michelle: "What's that supposed to mean Caryn?"

Caryn: "Nothing"

Ikabidi ni switch mada juu kwa juu maana maongezi yalianza kama utani tu lakini kwasababu sikuwa upande wa Caryn nikaona kama ameanza kupata ka wivu fulani, na mimi nilivyoona hiyo hali ndio nikazidi kupigilia msumari

BM: "Michelle Shemeji yuko makini kwenye kazi, yuko vizuri kwakweli"

Michelle: "That's reminds me, unajua sijaona sababu ya msingi hadi sasa ya kumtoa mtu kule alikokuwa anafanya kazi na kuja kumleta huku as Delivery Guy"

Caryn: "A Responsible Delivery Guy"

Michelle: "Wait...so the word responsible in the sentence is somehow supposed to make it sound better?"

Caryn: "Nikuulize tu Sis, kama ww ndio ungekuwa ni mm ungemuweka nafasi gani huyo mtu wako"

Michelle: "Ningemuweka kwa BM"

Caryn: "Now you make me believe that love can make us trust the wrong people"

BM: "Jamani acheni mm niwaache"

Nikataka niwakache lakini haikuwezekana kuondoka, wakawa wanajadili kuhusu Christmas itakuaje maana Mzee na Bi Mkubwa wamesafiri tangu juzi, baada ya kumaliza majadiliano kuhusiana na Christmas Michelle akaingizia agenda nyingine tena ambayo iliniweka katikati ya kushoto na kulia

Michelle: "Kabla nisahau Caryn I need a driver"

Caryn: "Driver?....you want to start showing class"

Michelle: "Listen I didn't say I want the driver I say I need a driver, underline the word need

Caryn: "Okay, What do you need driver for?"

Michelle: "Unajua kwasasa almost everyday ni lazima niende site imagine kwa siku moja na-drive kutoka Bagamoyo hadi Kigamboni halafu nirudi tena Kibaha"

Caryn: "Sasa Kwanini unaniambia mimi? si uongee na Dad"

Michelle: "Dad hana shida, nakuambia wewe kwasababu Dereva ninayemtaka yupo hapa"

Caryn: "Nani?"

Michelle: "BM"

Nilivyosikia jina langu limetajwa nilishtuka maana sikutegemea mawazo yangu nilidhani Michelle anataka kumrudisha bwana ake kwenye ofisi yake ya awali, hii kunitaja mm limekuja kama surprise kwakweli, kwanza kitendo Cha Michelle kutaja jina langu Caryn alinikata jicho

Caryn: "I think you're not okay, Did you hit your head on the wall?"

Michelle: "Why?"

Caryn: "Wewe hujui kama BM ana kazi yake hapa sasa ukimchukua kazi yake atafanya nani?"

Unajua mwanzoni nilijua Michelle anatania tu kumbe yupo serious, na suggestions yake ni kwamba Mimi nihamie kwake halafu Bwana ake achukue nafasi yangu

Michelle: "Kazi ya BM hata *****(Opportunist) anaweza akafanya"

Caryn: "Watu wanaotaka kazi wapo wengi sio lazima hadi awe BM, tafuta mwingine"

Michelle: "Sasa hayo sio mapendekezo yangu, ni Dad ndio amesema niongee na BM"

Caryn: "If so, BM has to make his choice..."

(Ooh sasa nimesha connect doti, kumbe hii ni Idea ya Mzee na pengine hata Michelle hajui kwanini ameambiwa na Mzee anitafute mimi)

Muda huo macho ya Caryn na Michelle yapo kwangu wanasubiria jibu kama nahama Ofisi au nabaki nilipokuwa, kabla sijajibu Caryn akasema

Caryn: "Choose wisely, Remember no one got your back like I do"

Itaendelea
BM leo umekamatika! Nimejaribu kuvaa viatu vyako kwa mda mfupi nikalona vinapwaya kidogo.
 
Mkuu ushawahi kuwaza kwamba hii ni isidingo ya bongo kabisa yaani ni written isidingo au script vile.. story nzuri na uandishi mzuri ila imekaa ki-isidingo inachosha..
Mwisho kunatabirika ni lini!?
Life story ya matukio current unataka uanze kuitabiria mwisho? You must be kidding
 
Mimi mwenyewe nilikuwa njia panda kama ww Mkuu, yani nilikuwa sielewi

Unajua unaweza kufanyiwa ukarimu na Mwanamke hadi ukahisi unapendwa kimapenzi kumbe mwenzako hayuko kwenye fikra hizo kabisa na wanaume wengi tupo hivyo tunashindwa kutenganisha upendo wa kawaida na ule wa kimapenzi

Lakini pia unaweza ukawa unapendwa kweli ila ukashindwa kujiongeza kwa kukosa kutambua kama huu ninaooneshwa ni Upendo wa kawaida au ni Upendo ule wa kuwa mwili mmoja

Ila kwa upande wangu mm nilijiongeza, episode inayofuata utajua kama mkeka ulitiki[emoji3514] au ulichanika[emoji735]
Facts kwa wanaume sometime tunakuwa Dilema

Tunasubiri tuone mkeka ili na sisi tupate funzo ilitukutana na mitihani Kama hiyo tujue tuna sort vp

Duh kimeumana
 
Bro BM X6 I have been going through the story from the beginning, I can come to conclusion You are Talented in Composing and everything related to Story Telling,Am your Submissive Fan in The Story,I have never Commented But Get to know I remain humbled and appreciative..Keep Up the Good Work Brother

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom