Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mzee na Caryn, sana sana Caryn ndio hakupenda Bwana ake Michelle afanye kazi kule ofisini kwa Michelle, so kwa busara za Mzee akaona ni Bora kijana aendelee na kazi Lakini Ofisi nyingine

Kwa kifupi walitaka kuua ukaribu wa Michelle na Bwana ake

Asante pia kwa pongezi nimeziona na kuziookea[emoji1545]
Nadhani director pekee anayepaswa kuongoza hii series kama utaamua kuifanyia filamu kama wadau waliopendekeza na ninaunga mkono hoja ni Leah Mwendamseke-LAMATA wa JUA KALI.
Naamini ataiweka vizuri sana,na atawachagua casts wa uhakika kabisa.

Asante sana kwa Uzi mzuri wenye mafunzo mengi ya msingi. Mwenyezi Mungu akubariki sana kaka.
 
Annie yupo sawa Mkuu, Hajambo kabisa

Mkuu, kwenye kampuni hukuajiliwa km Driver kwahiyo km ni mm lazima ningechomoa, your doing a proffesional job ww sio kiraka, kwenye udereva huwezi pata hata mia ya deal, kaa kwa Caryn ili umfyatue utengengeneze nae life
 
Nadhani director pekee anayepaswa kuongoza hii series kama utaamua kuifanyia filamu kama wadau waliopendekeza na ninaunga mkono hoja ni Leah Mwendamseke-LAMATA wa JUA KALI.
Naamini ataiweka vizuri sana,na atawachagua casts wa uhakika kabisa.

Asante sana kwa Uzi mzuri wenye mafunzo mengi ya msingi. Mwenyezi Mungu akubariki sana kaka.
Shukrani Mkuu[emoji1545]Mw /Mungu akubaliki pia
 
Mkuu, kwenye kampuni hukuajiliwa km Driver kwahiyo km ni mm lazima ningechomoa, your doing a proffesional job ww sio kiraka, kwenye udereva huwezi pata hata mia ya deal, kaa kwa Caryn ili umfyatue utengengeneze nae life
Mkuu huko kwa Michelle ndio kuna madili sio kitoto japokuwa sio ya uhakika ila ikitiki imetiki kweli, na Udereva naenda kuufanya nikitumika kama COO nikiwa na Gari ya Kampuni ili kurahisisha kutembelea miradi

Kuwa Dereva haikuwa na maana ya kumuendesha Michelle kwenye misele yake Binafsi
 
Mkuu tutegemee lini kupata mwendelezo wake!!?
Asante [emoji120]
 
Humu pana kitu kibaya nilijifunza lkn narekebisha hili jambo.

Mm napenda sana wine za kimazabe wenyewe wakaka mnavoita. Sasa majuzi nikiwa na ngombe mmoja pub moja nikaona niagize Martel, nikanywa. Niliipatapata.

Siku ingine nikiwa watoto wa masaki wakiwa wamejaa mapesa. Nikaagiza jagamasta. Sihitaji kisema kilitokea nini.

Niseme tu mengine si ya kuiga humu

Si kosa lako BM X6 ni juu yangu mwenyewe
 
Kuna kipande nimekihadithia hapo juu, alivyonipigia simu na kunambia "It's Monday BM na ndio kwanza unaamka sasa hivi tutafika kweli?"

Unajua hiyo part Caryn aliongea kwa tone ya huruma sana na unyenyekevu mto, sijawahi kumsikia akiniongelesha vile, na ndio maana hata nilivyofika ofisini nilifeel guilty na kuanza kumuomba msamaha
Daaah mpaka naona wivu mamaae kwanza ningepitia wote alaf ningepick
side ..
Daamn God when[emoji2969]..
Alaf huu Uzi naupitia sabb ya huyo unayemuita caryn dizain ashawah kuwa client wangu natafuta point moja tu ninpitishe niyeyeee Niko makini nipire naye shwaa
20230306_144519.jpg
 
Nadhani director pekee anayepaswa kuongoza hii series kama utaamua kuifanyia filamu kama wadau waliopendekeza na ninaunga mkono hoja ni Leah Mwendamseke-LAMATA wa JUA KALI.
Naamini ataiweka vizuri sana,na atawachagua casts wa uhakika kabisa.

Asante sana kwa Uzi mzuri wenye mafunzo mengi ya msingi. Mwenyezi Mungu akubariki sana kaka.
Wa wapi hawa? Hawa wa bongo movie?. Simtaki hata mmoja kwenye hii series. Hii itakuwa ya kipekee sana haitakuwa na haraka. Kwa hiyo hatutaki wapaka powder za kupigia picha
 
Daaah mpaka naona wivu mamaae kwanza ningepitia wote alaf ningepick
side ..
Daamn God when[emoji2969]..
Alaf huu Uzi naupitia sabb ya huyo unayemuita caryn dizain ashawah kuwa client wangu natafuta point moja tu ninpitishe niyeyeee Niko makini nipire naye shwaa
View attachment 2575082
Huyu paka nishamsave kwa matumizi ya baadae[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wa wapi hawa? Hawa wa bongo movie?. Simtaki hata mmoja kwenye hii series. Hii itakuwa ya kipekee sana haitakuwa na haraka. Kwa hiyo hatutaki wapaka powder za kupigia picha
Na Mzee wa hao mabinti awe Mzee Chilo huwa anaflow mombo(yai) kinoma huyo Mzee na mkewe awe Mamake na Monalisa
 
Codes ni muhimu mkuu, hizo sehemu nilizozitaja ni sehemu za miradi ya Kampuni so haina shida sana kwasababu hata Kampuni nyingine zina miradi huko

CODES MUHIMU AMBAZO ZIPO HIDDEN

Majina ya Kampuni

Majina ya wahusuka wote nikiwemo mm,

(Hayo mnayoyaona hapo ni feki ila vyeo/nafasi za wahusika ni halisi, wahusika wengine badala ya kuwapa majina feki nimeamua kutumia positions zao katika kampuni au katika Jamii, mf Accountant & Secretary, Mzee, Bi Mkubwa nk)

Makazi ya Mzee na makazi yangu codes zimezingatiwa pia

Mshiriki mmoja tu ndio nimetaja jina lake halisi
Code uliyotoa ni direction ya ofisi you said ipo opposite na johari rotana
 
Back
Top Bottom