Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Uliliwa kimasihara eehHumu pana kitu kibaya nilijifunza lkn narekebisha hili jambo.
Mm napenda sana wine za kimazabe wenyewe wakaka mnavoita. Sasa majuzi nikiwa na ngombe mmoja pub moja nikaona niagize Martel, nikanywa. Niliipatapata.
Siku ingine nikiwa watoto wa masaki wakiwa wamejaa mapesa. Nikaagiza jagamasta. Sihitaji kisema kilitokea nini.
Niseme tu mengine si ya kuiga humu
Si kosa lako BM X6 ni juu yangu mwenyewe
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app