Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mtihani mwingine Ni hapo kwa bi Annie, akija sijui utahamia Gest kwa muda?? Still here[emoji23][emoji23][emoji23]
 
BM X6 kongole kwa kutupunguzia arosto, ila katika episode hii baada ya kuona caryn amehamia mjengoni akili yangu ikahamia kwenye "KULA TUNDA KIMASIHARA", Hivyo nimesoma haraka haraka mkuku mkuku kidogo nijikwae, nikitaraji kukutana na hiyo scene lakini nimetoka kappa!

Nasemajeee, kukosekana kwa hiyo scene arosto ndio imezidi. [emoji2817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…