Usiogope mkuu mm mwenyewe nimemtumia buku muda sio mrefu, so 975 nayo ni pesa vile vile[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na sisi tunaokutumia hata tsh 975 usisahau kuweka kwenye hesabu zako mkuu.
Nini tena[emoji50][emoji100][emoji50][emoji100][emoji50][emoji100][emoji50][emoji100][emoji50][emoji100]wakati hapa tunajinga tukututumie chochote kituAnother day to remember...
Guys, I have some very bad news
WhatsApp?? Ma menAnother day to remember...
Guys, I have some very bad news
Yooh. ... Pole Sana mzee japo sijajua but polesana ,maana hii dunia ina suprise za hatar sanaAnother day to remember...
Guys, I have some very bad news
Duuh, pole sana kaka.Another day to remember...
Guys, I have some very bad news
Unanitisha ndugu anguAnother day to remember...
Guys, I have some very bad news
Asiwe amefukuzishwa kazi tu maana duhBM X6 what is the bad new man?
Aisee Mungu amtangulie...Asiwe amefukuzishwa kazi tu maana duh
Sidhani kama ni rag'hs hiyo japo anything can happen as far as the company isn't ursAsiwe amefukuzishwa kazi tu maana duh
Mkuu Huyu jamaa wa kuitwa Noah ni Mswahili yaani namaanisha ni Mbabaihaji 2 kwahiyo yashike maneno yangu tafadhali utakuja kunishukuru baadae.BM X6 nini hatima yetu kwako