Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ni ngumu kuyafanya maisha magumu kuwa rahisi ila ni rahisi kuyafanya maisha rahisi kuwa magumu”

“Ni rahisi kuutibu ugonjwa unapoanza ingawa ni ngumu kuugundua, ni ngumu kuutibu ugonjwa uliokwisha kua ingawa ni rahisi kuugundua”

Story nzuri pia na usimuliaji ni mzuri pia
 
Mmh
 
Series za jf zinachosha. Mtu analeta anaweka mwendelezo anapojisikia.
 
UANDISHI WA KITOTO NA KI ANA MKE. SIJUI KWA NINI DAR ES SALAAM IMEHARIBU WATOTO WA KIUME HIVI. UNASEMA WEWE MWANAUME UNAANDIJA KAMA MWANAMKE. NA EMOJ UNAWEKA? PIA NADHANI ELIMU YAKO NDOGO. UANDISHI WAKO NI TATIZO SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…