Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Sawa mkuu, vyovyote iwavyo maisha lazima yaendelee. Hongera kwa mapambano.
Kwa niaba yangu, na kwa niaba ya wengine nipende kukujulisha kuwa tupo tayari kwa muendelezo. Iwe ni humu, ama pengine utakapoona yafaa kuanzisha uzi.
 
Aase humu ndani mpo?

Leo nimeamka siku nzima nilikuwa naiwaza hii story, nadhani ni muda sahihi Sasa wa kuleta muendelezo wake, lakini sitoileta kupitia Uzi huu nitafungua Uzi mwingine.
Poa Mwamba maisha yana challenge nyingi sana Hongera kwa kutoa muda wako kutupatia hamasa vijana wenzako.
 
Kamanda tupe muda kamili lini utaanza na saa ngapi
Siwezi kuweka ahadi ya muda ila niseme tu nimeanza kuiandika Leo, so muda wowote kuanzia wiki ijayo inaweza kushuka, kwasababu issues sio kuiandika tu, inabidi pia nitulie niweze kukumbuka matukio ambayo ni muhimu
 
Sawa mkuu, vyovyote iwavyo maisha lazima yaendelee. Hongera kwa mapambano.
Kwa niaba yangu, na kwa niaba ya wengine nipende kukujulisha kuwa tupo tayari kwa muendelezo. Iwe ni humu, ama pengine utakapoona yafaa kuanzisha uzi.
Shukrani mkuu, tuko pamoja...nahisi tutakutana tu humu humu, kama kutakuwa na mabadiliko tutajulishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…