Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ebwana kwanza nikupongeze accountant kwa kuandika namna hii maana kws kweli unaandika si mchezo nasubiri umalize nkushauri vizuri....
 
Mkuu mbona miyayusho malizia story bana ujue unavyosimulia unatusafilisha mbali tunajikuta tupo kwenye tukio kumbe ni wasomaji tu

Ila mkuu usisahau kutuambia battle ya accountant na Annie imeishia wapi vinginevyo kama story itashia Kwa Mzee na huyo kijana wa buguruni, kutakua hakuna sababu ya kutusimulia hayo yote
 
Mwamba we ni mwandishi fanyia kazi uandishi unatoboa tu. Achana na business andika vitabu unajua kukonect points vizur
Kuuza vitabu bongo utasota sana mkuu.
Labda umwambie apige kotekote
 
Anasotaje.. vya kiswahili/ riwaya watu tunasoma 🤣
Ila akiuza kuanzia 15+ hatununui
Kuzalisha vitabu ni bei ghali sana, kuuza bei ndogo hutoboi kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…