Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Una maanisha nikae mbali na Annie pia? je nisipofanya hivyo itakuwaje mkuu, ebu nambie pengine sijapata point yako vizuri
unatakiwa uwe kwenye zero position (0)...ukitengeneza hesabu xyz......x-Annie unamtaka ( a wife material), my be.....y- kazi unaitaka (na unaona nyota ya mafanikio mbeleni)..real visible, but aliekusogeza kwenye hiyo view point humtaki,,, kitu kimoja KIKUBWA tambua.... hata yule mzee baba umeonana naye kupitia hapo(Y)...z- mara nyingi z hutambulisha ZERO...but cheza na hesabu......nyumbulisha mchoro kwenye karatasi.......pitia vema herufi zote 3 zinasomaje.......wachana na hofu na uoga adui mkubwa (MKUU) wa mafanikio na maendeleo.....pigania NDOTO yako mkuu....channel zote zinakuelekeza kwenye mafanikio......ila ni moja unatakiwa uwe nayo.......hapo unapiga ngoma na kucheza mwenyewe......
khila la kheri dogo... ---SPN---- Success Path Network___
 
Je vipi kama huyo mzee naye anajua uko na mahusiano na accountant, na vipi kama huyo mzee anajuana na huyo mama wa kampuni unafanya kazi na mpango wote wanaujua ndio mana kakupa likizo, ili uingie kwenye mtihani
 
Nimeona unawazo la kutoa namba ya Caryn...huku ukijua uaminifu ni moja ya kipimo katika mtihani uliopewa na Mzee
Hapana mkuu siwezi kufanya hivyo asee tena kwa Caryn? Bora angekua Demu mwingine, nawajibu tu kuwapa moyo siunajua tena

Kwasababu nikijichanganya kutoa siwezi Jua huyo mtu ataongea nn na Caryn, pengine anaweza hata kuvujisha huu Uzi kwa Caryn na mambo yote kuvurugika
 
Duh, asee kama sijakuelewa ivi! itabidi nirudie tena kusoma nikiwa nimetulia
 
Je vipi kama huyo mzee naye anajua uko na mahusiano na accountant, na vipi kama huyo mzee anajuana na huyo mama wa kampuni unafanya kazi na mpango wote wanaujua ndio mana kakupa likizo, ili uingie kwenye mtihani
Ni kweli Mzee anajuana na Mama yake Accountant tena vizuri tu, ila sidhani kama Mzee anajua kama Nina Mahusiano na Accountant, na Likizo niliyopewa sidhani kama Ina uhusiano wowote na mtihani wa Mzee, kwasababu likizo ni ya Mwezi mmoja na Mtihani ni wa miezi sita
 
Mzee anataka kupima strategies zako na vipi unaweza kuzisimamia na kuzitimiza, haijalishi utafeli au lah.! Zingatia NJAA, TAMAA, UPUUZI/UPUMBAVU.

Kuna ka cycle hapo Mama, na Mzee wanajua bila shaka unapimwa tu kwenye tatu za mzee, njaa tamaa na upuuzi.

Caryn nae atakuja kuanza mitego ya kupunguzana uzito watch it. Kwa nini mzee amtume caryn wakati angeweza kuambia tu mwenyewe?! Zingatia uwe unakuja nyumbani mara kwa mara.
 
Mkuu sidhani kama Mama yake na Accountant anajua kama Mzee Kuna mambo ananipima, kwasababu yule Mama namjua angeniropokea tu

Na kuhusu Caryn hadi Sasa hivi sijaona mitego yake kwakweli, Last Sunday nilikuwa kwao,kananipeleleza kama yeye ndiye Mzee vile
 
HAHAHAHA angekuropokea? Vile ulivyokubalika ishi vivyo hivyo don't transform huenda ukaharibu.
 
Mkuu BM Habari yako, naomba kujua utaratibu wa kusafirisha mizigo kutoka China kupitia Kampuni yenu, Gharama zikoje? nataka kuagiza simu
 
Mkuu BM Habari yako, naomba kujua utaratibu wa kusafirisha mizigo kutoka China kupitia Kampuni yenu, Gharama zikoje? nataka kuagiza simu
Boss Man naomba nikujibu kesho akili Ikiwa imetulia
 
Mzee yuko tayari kuwekeza kiasi gani?
 
Stori imenyooka
 
Man unataka kuijua code ameficha
Amna bhana, Kuna mzigo nataka kusafirisha kweli, so naomba usaidizi kwake kwasababu yy ndio anadili na hayo mambo halafu isitoshe mm ndio mara yangu ya kwanza Sina experience ya kupokea mzigo kutoka nje
 
Mkuu BM Habari yako, naomba kujua utaratibu wa kusafirisha mizigo kutoka China kupitia Kampuni yenu, Gharama zikoje? nataka kuagiza simu
Boss Man, Kampuni yetu sisi tuna charge kwa Kilo, 1 kg ni elfu 29 za kibongo, kuhusu swala la muda mzigo kutoka China hadi Zanzibar na kufika Dar huwa inategemea mzigo wako umeununua katika mji upi nchini China, Sisi Ofisi yetu iliyopo china ipo Guangzhou lakini tuchukulie wewe umenunua product yako Beijing, so hapo Inaweza kuchukua hata siku mbili mzigo wako kufika Guangzhou katika ofisi zetu, so tukishapokea mzigo wako ndio tunaanza kuhesabu siku, na ndani ya siku 5,6 au 7 mzigo wako utakuwa umeshaupokea. mfano ndege ikifika Zanzibar saa 3 Asubuhi, kukaguliwa hadi saa 5 hivi umetoka, nawahi Boti ya saa 6 kwenda Dar, by saa 8 mchana mzigo upo Bandari ya Dar hadi kufika saa 11 jioni nishatoka. So kama ndege ikifika Asubuhi Zanzibar basi mzigo unafika Ofisini siku hiyo hiyo

lakini kwa upande wa muda pia itategemea umeagiza bidhaa gani, wewe umesema unataka kusafirisha simu sio? Sasa Iko hivi, vitu vya electronics vinachukua muda kidogo hadi kufika Bongo (kama mwezi hivi) vitu vya Electronics process yake ni tofauti na hivi vitu vya kawaida kama nguo pochi viatu makava ya simu nk.. Vitu vinavyotumia Betri kama saa [emoji355] simu [emoji336] au venye sumaku hivi havipitii Guangzhou vinaenda Hong Kong ndio maana vinachukua muda mrefu kufika kwasababu Hong Kong mizigo ni mingi sana so foleni ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…