Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Biashara sawa unaweza kumfungulia na akawa anaingiza faida, lakini icho kipengele cha kwamba mpaka aweze kujilipia kodi, icho ndo kinaongeza ugumu wa ni biashara gani dogo afunguliwe.

Kuhusu mtihani wa ofisini! Una option mbili tu, umwache Annie au uache kazi
 
Kushushia mzigo Airport ya Dar ni Gharama kubwa sana, na Ukiachana na Gharama kwa upande wa Zanzibar kukagulia haichukui muda sana kama Dar, Mzigo ukishukia Dar unaweza kuchukua hata siku 2, ukaguzi wao wana complicatisha sana, Yani kitu kimoja kimoja wanakinyambua ili kupiga Ushuru vizuri na wakikuambia Ushuru ni milioni 15 basi Jua ni milioni 15 net, hakuna ku bargain. Lakini Zanzibar unaweza ku bargain,

Lakini kumbuka ukishushia Mzigo Zanzibar basi jua uta deal na TRA mara 2, Yani Zanzibar mzigo ukishuka kwenye Ndege na Dar Mzigo ukifika Bandarini, lakini pamoja na mzunguko wote huo Bado ni cheap mzigo kushukia Airport ya Zanzibar kuliko ya JKIA, kwanza Zanzibar ni mara chache sana kukagua mizigo yote ndio maana inakuwa cheap kupitisha mizigo kule na haichukui time mingi
 
Na ukiwa unakagua hapo bandarini kutoka zanzibar declaration yake inakuwaje?? IM4,IM5,IM6 au M8??? or inakuwaje yan??
 
Machaguzi ameniachia mm Mkuu
Shughuli ambayo haitawasumbua hao watoto, ni ama awanunulie au awajengee nyumba, ikodishwe na sehemu iwe makazi yao. Iwasaidie wote kielimu na kimaisha.
 
Apangishiwe nyumba ya 50 elf kwa mwezi na biashara tafuta meza sehemu nzuri km temeke, g/mboto, kkoo , mbagara n.k kisha muongoze kwenye maduka ya jumla k/koo chukua viatu vya watoto na kike hasa simple za kichina kwa mtaji wa laki 8 ataweza kujilipia kodi.
 
Unahisi mzee hajasoma huu uzi bado? Anyways mfungulie biashara ya vinywaji laini jumla na rejareja
 
Nimekuelewa Mkuu, acha nifanye mchakato mzigo utue Bongo
 
Mkuu vipi, kwa mujibu wa tarehe, juzi ulirepoti kazini baada ya likizo kuisha....vipi unaendelea na Kazi au ulifukuzwa???
 
Kabisa mkuu nimejiuliza mara mbilimbili sipati jibu, hii chai ya moto sana
 
Mkuu vipi, kwa mujibu wa tarehe, juzi ulirepoti kazini baada ya likizo kuisha....vipi unaendelea na Kazi au ulifukuzwa???
Nilireport, lakn[emoji22] acha tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…