Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
heri umerudi tunasubiri sana mkuuMuendelezo soon mkuu, yani Kila siku nikipata muda naandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heri umerudi tunasubiri sana mkuuMuendelezo soon mkuu, yani Kila siku nikipata muda naandika
Karibu tena.SEASON 2
6 Days to go
I'm waitingHatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa Kijana wa Buguruni SEASON 2
6 Days to go
[emoji23] au sioHatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa Kijana wa Buguruni SEASON 2
1 Days to go
Duh pole mkuuDah! Ndugu zanguni samahanini sana, Yani kilichotokea sijui ni mazingaombwe!?
Ningejua hii story ningei paste tu jana aisee, Leo naingia kwa Notepad nakuta story imefutika...kinachoniuma ni kwamba imenichukua wiki 2 kuiandaa, maana niliandika Gazeti ambalo halikuwahi kutokea hapa Jf
Wakuu na wafuatiliaji wa hii story naombeni nianze kuiandika upya japokuwa kilichotokea kimenivunja sana moyo kwasababu Gazeti lilikuwa refu sana jamani natamani hata kulia [emoji22] Yani urefu wake ni sawa na kuonganisha Episodes zote za SEASON 1, na sitoweza kuliandika Gazeti kama lile tena, itabidi Kila nitakapoishia kuiandika nipost
All in All kesho lazima nitupie kama nilivyoahidi hata kama ni mistari 10