Dah! Ndugu zanguni samahanini sana, Yani kilichotokea sijui ni mazingaombwe!?
Ningejua hii story ningei paste tu jana aisee, Leo naingia kwa Notepad nakuta story imefutika...kinachoniuma ni kwamba imenichukua wiki 2 kuiandaa, maana niliandika Gazeti ambalo halikuwahi kutokea hapa Jf
Wakuu na wafuatiliaji wa hii story naombeni nianze kuiandika upya japokuwa kilichotokea kimenivunja sana moyo kwasababu Gazeti lilikuwa refu sana jamani natamani hata kulia [emoji22] Yani urefu wake ni sawa na kuonganisha Episodes zote za SEASON 1, na sitoweza kuliandika Gazeti kama lile tena, itabidi Kila nitakapoishia kuiandika nipost
All in All kesho lazima nitupie kama nilivyoahidi hata kama ni mistari 10