Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Aisee tunawapate ofisi zao wapi Hapa mjini maana tunataka tupate huduma zao

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unajua nawaza kutaja Jina la Kampuni hapa pamoja na Address yake lakini nasita kwasababu story bado inaendelea, Yani hivi ninavyoandika hii comment Bado Kuna matukio yanaendelea

Kama hii last Episode ni matukio ya mwezi wa kumi Mwaka jana (October 2022)
 
Mkuu malizia story kwanza usi disclose hizo info nadhani sio muda muafaka
 
Antonnia

episode nyingine ishadondoshwa
 
Yani we acha tu huyu Demu ni mjanja sana, nilishamsoma, yani anataka ku master kila sector ili aweze ku control vizuri Office
We siku ukiepa nae uko punguza njia za kurahisisha tofauti na wakati mwingine. Hii unaua kote kote kwa mara moja yaani TRA na wenzake pamoja na Hako kadada. So wote hawataelewa somo. Ila ujue kwa wakati hukunji kile kibunda ulichozoea
 
Unaenda na Caryn kupigania TRA na ZAT maanina zile negociation za mapolo pale bandari asiwepo ataharibu.
Uko vaa uhusika tofauti na siku zote, negotiation iwe tofauti bila kumtonya TRA wala nani afu muda mwingine mtupie mpira yeye na kwakuwa hizo equation kutatua unajua wewe lazima atambwela na kuamua kukaa pembeni akijua ni knock out umempiga so ujiandae na njia nyingine atakazo kuja nazo
 

Waje huko pm mkuu
 
Story nzuri. Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…