Uchawi mtupuWakuu nahitaji ushauri wenu ili niweze kufaulu katika huu mtihani, nimepewa kazi kubwa ambayo nikifaulu basi milango mingi itafunguka huko mbeleni.
oyaaa 😂😂😂Huyu mtoa mada c alishakuja na stori humu kuwa ana milion 300 sijui, au [emoji1][emoji1][emoji1]
oyaaaPole sana...
Nimekuja shouga ngoja nitulie nisome 😘
Si nimesema hadi kesho jioni mkuu, hapa yenyewe nimepata muda kidogo nimeandika lakini bado sijaimalizia naidraft Mahali ili kesho nijazieBado[emoji34][emoji34]
Tuambie tu utamalizia muda gani,wenzio Kazi ya kuchungulia muda wote[emoji3061]