Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Si nimesema hadi kesho jioni mkuu, hapa yenyewe nimepata muda kidogo nimeandika lakini bado sijaimalizia naidraft Mahali ili kesho nijazie

Au niipost hivyo hvyo halafu kesho niimalizie sehemu iliyobaki?
Mkuu we lete mda utakao x.
 
Nakadori pokea taarifa ya kijana
 
Umekosea masharti ya huyo mzee wako...

Kwanza umeongeza chakula na pesa zako...

Ulitakiwa utoe chakula kilekile...

Usione watu ni matajiri wanamasharti makali
 
Si nimesema hadi kesho jioni mkuu, hapa yenyewe nimepata muda kidogo nimeandika lakini bado sijaimalizia naidraft Mahali ili kesho nijazie

Au niipost hivyo hvyo halafu kesho niimalizie sehemu iliyobaki?
Jamani sasa tuwekee hiyo kesho ikiwa full

Lakini nusunusu inatuchosha sie muda wote tunachungulia mkuu

Kesho jioni ya saangapi??
 
Magari ya matajiri hayakai na mafuta ya vibaba. Geji inakaa kwenye full. KwanA sisi waswahili unaweza kudhani iliharibika gauge
Magari ya matajiri yana fyonza sana wese dude kama V8, range spprt vorg, jeep, benz , cadlac unakuta chuma ina Cc 5000 kuingia shell lzm

Alafu huyo boss wake ana tumia Alphad izo si ni gari za kawaida kabisaa unless asemw vinginevyo ila diatance kutoka kawe afike Tabata aende buguruni wee misere yoye iyo bila kuweka wese ..ah chai yake haikuchemka sawa sawa 🤣🤣🤣
 
Endelea sasa.

Ila next time inakua poa sana kama ukimaliza kila kitu coz hizi mambo za ushauri sio poa kukatisha katisha.
 
Tokea nimenza harakati za utafutaji sijawahi kukanyaga kwa mganga na maisha yangu sio mabaya sana, sitarajii kuwepo siku nitaenda kwa mganga kwa sasa nipo njiani kuulekea utajiri, japo utajiri una mapana na marefu yake ila tujuwe tu upo uwezekano wa kuwa tajiri bila nguvu za giza.
 
Ndugu umenishangaza sana, watu wanatoka Dar hadi Moro na mafuta Bado yapo kwenye tank, yaje kuisha kwangu niliyepiga routes za hapa hapa Dar kilometers hata hazifiki 30?

Halafu unadharau Alphard, unajua Alphard yenyewe ni ya mwaka gani? Ile gari imekaa kifamilia zaidi, Kila gari Ina matumizi yake, kama ni Land Cruiser V8 analo, au ulitaka Parking nzima ajaze V8s tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…