Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mniwie radhi wakuu, unajua kuandika ni kazi ila mimi naifanya bila malipo yoyote, so ninaacho fanya mimi pale nitakapopata muda wa ziada ndio naifanya

Unaweza kukuta natenga siku kama jumapili (siku hiyo ndio nakuwa na nafasi) lakini ukakuta manaingiliana Mfano napigiwa simu ya pesa kweli hata kama ni wewe utaacha Hela kisa tu uendelee kuandika story ambayo haikuingizii hata 100

Ningekuwa nalipwa hapa basi ningejua namna ya kubalance muda lakini kwasababu huduma naitoa bure acha niiwekeze muda mwingi katika mshiko ili pochi likiwa nene nirudi hapa Jamii Forum niandike story kwa mizuka yote

Kwa hayo machache niseme tu wiki hii kabla haijisha nadondosha Episodes 2 au 3 kabisa ikiwezekana, moja inashuka usiku huu huu(Muda na mambo ya fwedha visipoingiliana lakini)

Mtoto wa kike ananiambia mwezi wa nne ni lazima anunue Prado tena ya 2016 acheni na mimi nichacharike jamani nisiishie kutumia magari ya watu
 
Good qoute mkuu. Pambana mkuu mhimu tu usitusahau kabisa
 
Bro unaakili sana
 
[emoji134] Dah acha nisiseme kitu, we jamaa unanijua nini nje ya Jamii forum? Haiwezekani code unazifungua halafu unapita mule mule
Una bahati sana broo kwahiyo mrembo alihamia geto kwako accountant atajinyonga....
 
Uswaze Mkuu bill yangu
Oy, Waiter ananisikilizia hapa ila nimemuambia asiwaze mm bado nipo nipo hapa naendelea kuandika story, Boss Mchagah atamaliza Kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…