think tank01
JF-Expert Member
- Aug 11, 2022
- 270
- 400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anamfikisha kunako ipasavyobm huu ndo muda wa kuwa mwanaume sasa kama hapana iwe hapana wasikupelekeshe hao kama huyo michelle jamaa lake sijui linamgonga namna gani hasikii wala haoni
BM X6 yupo busy , Caryn hampi nafasi!Nitarudi
Caryn the dictatorBM X6 yupo busy , Caryn hampi nafasi!
Kuwa na subira weweesehemu ya pili iko wapi?
@BM X6BM sema mzee unatuangusha sana na hii story yako unachukuwa mda mrefu sana muendelezo yaani mpaka unajisahau Kama ulikuwa unafutilia story tupe muendelezo
Kweli mwana anatuangusha, mbaya zaidi last seen inasoma tarehe 8BM sema mzee unatuangusha sana na hii story yako unachukuwa mda mrefu sana muendelezo yaani mpaka unajisahau Kama ulikuwa unafutilia story tupe muendelezo
Kweli..binafsi mzuka na hii stori umekata kabisaBM sema mzee unatuangusha sana na hii story yako unachukuwa mda mrefu sana muendelezo yaani mpaka unajisahau Kama ulikuwa unafutilia story tupe muendelezo