Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ilipoishia

Mzee akarudi akakaa kimya kama Dakika 2 hivi huku akiwa anachezea simu, ni kama alikuwa anajibu jumbe kwenye simu yake

Mzee: "Umefanya vizuri BM kuja leo, maana nilikuwa nafikiria kukutafuta, vipi maendeleo lakini?"

BM: "Mungu mkubwa maendeleo si mabaya"

Mzee: "Vizuri kusikia hivyo"

Mzee: "Unajua BM pamoja na Binti zangu hapa nyie Bado ni vijana wadogo, na katika umri wenu huo mdogo mmepata bahati ya kuongoza Kampuni kubwa mnazofanyia kazi"

Mzee; "Ni ngumu sana kukuta Kampuni ambayo inaendeshwa na kijana inapata maendeleo mazuri kwasababu vijana wana mambo mengi sana, vichwa vyenu vinakuwa havijatulia lakini nilichukua maamuzi magumu nikawapa hiyo dhamana"

Mzee;"Unajua hakuna kitu kibaya kama kuchanganya Mapenzi na kazi...."

Caryn akakohoa, Michelle akajinyoosha, Mimi sikutikisa hata mguu, nikajua hapa kumekucha na makucha yake

Muendelezo

(Episode 12 SEASON 2)

Mzee: "Unajua nyie mmeshakua watu wazima sasa, kuna maisha mengine siwezi kuwapangia lakini kwenye maswala ya Kazi hapo inabidi mfuate matakwa yangu, I mean Kuna maamuzi ya kikazi hamfai kufanya nyinyi kama ninyi"

Mzee: "Michelle ni kwanini unachukua maamuzi ya kuajiri Mfanyakazi bila kufuata utaratibu?"

Michelle kabla ya kujibu akamuangalia Caryn ni kama alihisi kitu

Michelle: "Hakuna mfanyakazi aliyeajiriwa bila kufuata utaratibu Dad"

Caryn: "Okay! Mzee anamaanisha kwamba Why did you employ (Jina) without the Board of Directors sanctioning his appointments?"

Michelle: "Caryn....you question everything decision I take in the company....why? mbona mimi sikupangii yakufanya huko kwenye Kampuni yako"

Caryn; "Because everything you do is wrong and you hate being corrected"

Mzee: "Naomba utulivu, labda nikuulize mwanangu Michelle wewe huyu mtu unampenda kweli au ni huruma tu ndio imekutawala kwasababu huyu mtu nimemsikia kwa muda sasa hadi umeamua kumuajiri mbaya zaidi sijawahi hata kumuona"

Michelle: "I love him Dad"

Mzee: "Ninachokiona hapo sio upendo bali ni huruma ndio umetengeneza Upendo, ngoja niwaambie kitu kimoja wanangu hasa Michelle, siku zote katika maisha yenu ya mahusiano ya kimapenzi hakikisha unatanguliza Upendo halafu huruma ndio ifuate"

Michelle: "Sasa Baba unawezaje kumpenda mtu halafu usimuhurumie pindi anapokuwa katika hali mbaya"

Mzee: Nadhani hujanielewa, unajua sio kila nayehurumiwa anapendwa, ninachosisitiza ni kwamba hakikisha Upendo ndio unatengeneza huruma na sio huruma kuleta Upendo, kwasababu mahusiano yanayoanza na huruma huwa hayafiki mbali"

Michelle: "Okay! trying to understand"

Mzee: "Huyo mtu wako umemuajiri kama nani pale ofisini? I mean position yake"

Michelle akataja position aliyompa jamaa yake kwenye ofisi

Mzee: "Sasa nisikilize kwa makini, mtoe mtu wako katika hiyo nafasi halafu tafuta mtu mwingine wa ku replace hiyo position, baada ya hapo Caryn atajua Cha kufanya"

Michelle: "Sijakuelewa Mzee...mtu yupo katikati ya project naanzaje kumuachisha kazi? nikimuachisha kazi na project yenyewe itasimama na kupata mtu kwa haraka haraka itakuwa ngumu"

Caryn: "Which project are you talking about?"

Michelle: "Bagamoyo"

Caryn: "Are you sure the guy will handle that project? coz the project might be too heavy on him"

Mzee: "Kesho nitamuagiza kijana mwingine aje ofisini akifika wewe mpatie kazi aendelee na hiyo Project"

Michelle: "Lakini Dad ni kwanini tunafanya hii panga pangua na wakati hakuna kitu kilichoharibika kwenye kazi"

Mzee: "Kwahiyo unataka tusubiri vitu viharibike ndio tufanye maamuzi?"

Caryn: "Let me ask you a question Sis, huyu mtu wako ikitokea ameharibu kazi unaweza kumuadabisha kwa namna yeyote Ile kama staff wengine wa kawaida?"

Michelle: "Sasa mtu hata hajaharibu tayari mshaanza kumuwazia mabaya, hii si sawa"

Mzee: "Michelle Unajua wewe ni smart sana ndio maana nimekupa jukumu la kuongoza kampuni lakini umenipa wasiwasi nilivyosikia unaweka watu wako bila kufuata utaratibu na kumbuka Ile ni Ofisi,

"Huyo mtu wako Mimi sina shida nae ndio maana nimemuambia Caryn amtafutie kazi ya kufanya mahala pengine, Ofisi zipo nyingi hata Caryn anaweza kumchukua akamuajiri huko kwake lakini kama utakadhania yeye aendelee kufanya kazi wewe utanipa wasiwasi"

Michelle ikabidi tu awe mpole, na muda wote mimi nipo kimya sina cha kuchangia lakini nikiwa makini na kila kinachojadiliwa ila hili jukumu analopewa Caryn kumtafutia huyu jamaa kazi ni kweli atafanya kama alivyoagizwa? sababu Caryn hampendi yule jamaa na hataki hata kumuona kwanza mimi mwenyewe alinibania kunipa mchongo wake wa Udereva Bolt

Sasa baada ya kumalizana na Michelle, Mzee akaturudia sisi sasa, Caryn akaanza kubananishwa

Mzee: "Caryn hukunipatia report ya mwezi uliopita, unajua sitaki reports zibebane"

Caryn: "Kesho nikitoka kazini nitakuwa nimeikamilisha Dad"

Mzee: "Nasikia ushaanza kufukuza watu huko ofisini, shida ni nini?"

Caryn akashtuka ni kama vile hakutegemea kuulizwa swali kama lile na Mzee halafu akaniangalia

Caryn: "Dad we nani kakuambia?"

Mzee: "BM Unajua hawa watoto wana matatizo sana, Dada mtu anaajiri watu bila kufuata utaratibu na mdogo wake nae anafukuza watu bila kufuata Sheria"

Caryn: "Speaking of Sheria Dad, unajua pale ofisini staff wote hawakusainishwa mikataba ya Kazi, na watu wa sales nao hawajajaza zile fomu za mwanasheria, Ivi unajua watu wa sales ukiacha commissions zao pia tunawapa pesa ya transport kila wiki halafu mtu huyu huyu akihama Kampuni ujue wanahama na wateja wao kitu ambacho hakitakiwi ila hayo yanatokea kwasababu hawajapitishwa kwa mwanasheria"

Mzee: "Kwani kuna ubaya mtu kuhama Kampuni pamoja na wateja wake?"

Caryn: "Ubaya upo Dad, kumbuka hawa watu Kampuni ndio inawawezesha kuwapata hao wateja, tunawapa pesa ya transport so wakihama hawatakiwi kuhama na mteja yeyote aliyempata akiwa ndani ya Kampuni yetu"

Mzee: "Ndio maana nimekuweka pale wewe ndio unajua namna ya kufanya"

Caryn: "But Dad.....lakini sawa tu nitajua"

Mzee: "Nadhani tumemalizana mnaweza kwenda, niacheni na BM, Caryn nitengenezee Kahawa niletee.....BM tuondoke hapa hapatufai kwa mazungumzo yetu"

Tukatoka tukaelekea Backyard wakati tunatembea kuelekea huko Mzee akaanza kunihoji kuhusu wazazi wangu kuulizia maendeleo yao

BM: "Mama hajambo hata Mzee pia japokuwa sijaenda kwa Mzee muda mrefu"

Mzee: "Usifanye hivyo, kama huishi pamoja na wazee wako jenga tabia ya kuwatembelea mara kwa mara, unajua Mzazi aliyetelekezwa na mtoto anaumia zaidi kuliko mtoto aliyetelekezwa na Wazazi"

BM: "Sawa, nitajitahidi kufanya hivyo mzee"

Mzee: "Hata hawa Dada zako siku zao zinahesabika wanatakiwa waondoke kwasababu uwezo wa kujitegemea wanao wakiendelea kukaa hapa tutakoseana heshima"

Mzee aliendelea kuongea "Unajua Wazazi ambao wanabanana na watoto ambao sio watoto tena wanateseka, wakubanana nae ni mtoto, kwasababu hana nia lakini mtoto akishakua mkubwa ana 'Nia' ukibanana nae atakutesa, Ukiwa na ugomvi na mtoto uliyemzaa 'mtoto mdogo' hatakusumbua, utamsamehe hata akikupiga kibao utaona tu kwamba hajui lolote,"

"Lakini mtoto ambae ameshakua na ana uwezo wa kuchagua 'kufanya maamuzi' mzazi inabidi uachane nae, kwani Mimi na Caryn tukiwa na ugomvi atakaeumia zaidi ni Mimi mzazi sio Caryn, hata wewe kijana wangu ukija kupata mtoto halafu ukamkosea hutoumia sawa na yeye akikukosea"

BM: "Dah! nimekuelewa sana Mzee Unajua mara ya kwanza ulivyoniambia kuwa unataka wakina Michelle wakajitegemee nilikuwa sijakuelewa kabisa lakini kwa maelezo uliyonipa ni wazi kuwa upo sahihi, Inaonekana Mzee unasoma sana vitabu eeh?"

Mzee: "Nitakudanganya kama nikijibu ndio, Mimi napenda sana kusikiliza sana watu, watu wa rika zote ila hasa wazee wenzangu kwasababu wao ndio wana experiences nyingi zaidi na haya maisha, hapo mm ndipo ninapopata materials na kujifunza mambo tofauti, hii pia haina tofauti na kusoma kitabu kwani wanao andika vitabu wanaandika experiences zao za maisha"

Hapa sasa na mimi nikamuuliza Mzee swali la kimtego...."Mzee unajua una busara na hekima sana najifunza vitu vingi kutoka kwako, ivi kati ya Michelle na Caryn ni nani kakurithi hizi Akili na hekima zako"

Mzee alikuwa kashanyanyua Bilauri ya Maji ili anywe lakini alirudisha Ile glass mezani na kuanza kunijibu

Mzee: "Swali lako ni jepesi lakini tata kidogo, Unajua watu wengi tunawadhania wana akili kwasababu wamefunga vinywa vyao, sasa Michelle ana usmart wa kawaida lakini ana hekima sana sasa sijui ni kwasababu sio muongeaji sana, maana ukitaka kuipima hekima ya mtu sio wakati amenyamaza, ni wakati anaongea"

"Kwa upande wa Caryn, yule mtoto bhana yeye ni muongeaji ila pia ni smart sana hicho ndicho kinachombeba lakini amekosa hekima hasa kwa age mate wenzake"

Kucheki saa mida imekimbia kidogo nikamuaga Mzee, kabla hajaniruhusu akaulizia kuhusu wale madogo nilipofikia, nikaanza kumuelezea (sijui na nyie kama nilishawaelezea kwenye episodes zilizopita)

Anyways ila kwa kifupi ni kwamba Dogo nilimpeleka sehemu akaongeze ujuzi wa kutengeneza furniture kwasababu alikuwa nao lakini haukumtosheleza halafu baada ya hapo Dogo akishakwiva nimtafutie sehemu ka workshop flani hivi ambako atakuwa anafanyia kazi zake, hiyo ndio plan ambayo ipo

Wale madogo wengine wawili imebidi kwa Sasa watulie home kule kule kwa sister huku tukifanya taratibu za wao kuanza shule Mwakani 2023

Ila ilibidi nimpange Mzee kisawasawa mwisho wa siku akanielewa mara Caryn akaja kule Backyard kumuita Mzee, Bi Mkubwa ndani alikuwa anamuita, Mzee akanitaka nisiondoke nimsubiri kwanza arudi

Mzee alivyoingia ndani Caryn akakaa pale pale alipokuwa amekaa Mzee

Caryn: "Wewe na Mzee Kuna agenda gani ya Siri inaendelea?"

BM: "Agenda ya siri?"

Caryn: "Unajua tangu nianze kazi Mzee hajawahi kukanyaga pale ofisini lakini Leo kuna vitu kaviongea Inaonekana anajua Kila kitu kinachoendelea pale ofisini, Sasa nikuulize wewe ndiye infomer wake?"

BM: "Hapana kwa kweli labda ni wewe mwenyewe huwa unaongea na Michelle Habari za ofisini so Michelle labda kamchana Mzee"

Caryn: "Sijawahi kuongea na Michelle chochote kile kinachohusu ofisini labda kama akiwa anataka usaidizi wa kusafirishiwa vitu vyake"

BM: "Lakini hata hivyo sioni ubaya, wewe mbona unatu spy sisi na hatulalamiki, wewe umejuaje kama Michelle kamuajiri mtu mpya kule ofisini kwake?"

Caryn: "Ooh! Sasa nimepata jibu"

Caryn akanikata jicho hilo halafu akaondoka, nikajua hapa nishatengeneza bifu tena bifu kali maana kashajua namzunguka kumbe wala ila wasiwasi wangu mimi upo kwa Michelle kwasababu nilimuuliza makusudi Caryn kama huwa anashea mambo yake ya ofisini na Michelle lakini amekataa,

Sasa Michelle hizi habari za mimi kulala na Caryn chumba kimoja atakuwa kazipata wapi? huenda huyu ndiye spy wa Mzee, na kama ni kweli Spy basi Mzee atakuwa anacheza na Akili zao

Hawa watoto wawili wa Mzee Kila mmoja amepewa Ofisi yake lakini ninachokiona ni kwamba Mzee katengeneza mazingira ya Kila mmoja ajue kwa mwenzie kinaendelea kitu gani, hizo ni hisia zangu lakini sina uhakika kama ndio Iko hivyo

So hadi sasa nimeconfirm kwamba Caryn hajui kama Michelle ana taarifa zetu nyeti ila sijajua kwamba kashamfikishia Mzee au lah, kwasababu zile taarifa kama zitafika kwa Mzee kama zilivyo basi hiyo itakuwa ni kesi nyingine tena kubwa sana

Mzee akarudi Kuna maelekezo akanipa then nikaagana nae, nimerudi zangu nyumbani Wakati najiandaa kulala message ikaingia kwenye simu yangu kutoka kwa Michelle ambayo ilisomeka

BM kama ulikuwa hujui ni kwamba Mzee kanipa kazi ya kuwafuatilia na taarifa nilizonazo kuhusu wewe na Caryn nikisema nimuambie Mzee Unajua wewe ndio unachakupoteza, Sasa kama unataka niendelee kukaa kimya hakikisha unamshawishi Caryn hadi akubali kumuajiri bwana angu hapo ofisini kwenu, wiki 1 inakutosha kukamilisha kazi yangu

Nilivyomaliza kusoma text ya Michelle usingizi wote ukakata, kwanza ngoja niwachane ukweli ndugu zangu wana Jamii forum, unajua siku Ile Mimi sijamgusa Caryn kabisa ila kwa hiki ninachokiona nahisi Michelle anajua nimepita na mdogo wake kitu ambacho sio kweli kwanza amejuaje sisi tumelala room moja na Caryn anadai hakuongea chochote na Michelle

Kitu kingine Caryn mwenyewe kashajua mimi nam snitch kwa Baba yake kumbe ni Dada yake mwenyewe ndio anamzunguka na nikisema nimsanue ndio kwanza nitaharibu mambo, kwanza nitawagombanisha na wakishagombana tu Caryn ndio hatotaka kabisa kusikia lolote linalomuhusu Michelle na mwisho wa siku Michelle atakinukisha, na akikinukisha kifuatacho ni ITV

Asubuhi mapema tu nikaingia job, nikakuta X3 imepark nikajua tu Caryn kashafika, nikapanda juu hadi second floor nikaingia ofisini kwa Caryn

Sasa jinsi Ile Ofisi ilivyo ukiingia Caryn hakuoni kwasababu imegawanyishwa ambapo huku kwenye room nyingine ndio kwa Secretary ila room ni moja hiyo hiyo na wakati naingia secretary hakuwepo

Nilivyosikia Caryn anaongea na simu ikabidi ni chill kwanza huku upande wa Ofisi ya secretary
lakini anachokiongea Caryn nakisikia huku nilipo japokuwa maongezi nimekuta ndio yapo mwishoni

Caryn:".....nitawasiliana nae ameshanitumia makaratasi yake nitafanya lolote tu ili awe disqualified.......nakuja nayo nikitoka lakini ni kama nitachelewa

Kukawa na ukimya kwa muda nikahisi kashamaliza kuongea na simu nikaingia ndani ofisini

BM: "Madam mambo"

Caryn: "Safi"

Kwa namna alivyoitikia salama leo Caryn naona mood yake iko off, ila sasa shauku yangu ni kujua anamuwazia nini yule bwana ake na Michelle ikabidi nimuanzie mbali

BM: "Leo ndio naenda Zenji, ivi Bado hujapata mtu wa kumteua? vipi unaonaje kama nikiwa naongozana na Bwana ake Michelle ndio awe ananisaidia"

Caryn: "Sitaki hata kumsikia, hakuna kazi anatafutiwa huyo mtu, Ile ilikuwa mbinu ya kumchomoa kule kwa Michelle"

BM: "Kwahiyo kumbe hakuna Mpango wowote wa ajira kuhusu yule jamaa"

Caryn: "Ivi unajua unanichefua unavyozidi kumuongelea huyo mtu"

Nikaona hii ngoma ngumu, kazi niliyopewa na Michelle sijui kama nitaiweza, hapa ngoja nitoke nje nikatafakari zaidi nini Cha kufanya,

Unajua kama soo likibumburuka Mimi ndio nina Cha kupoteza kama alivyosema Michelle, na Mzee hawezi kukuelewa eti umelala na Mwanaye halafu hujamfanya kitu hata Mimi sitokuelewa nitahisi tu mliruka majoka

Sasa Wakati natoka kabla hata sijaugusa mlango wa kutokea Caryn akaniita nikarudi kumsikiliza hii siku Caryn alionekana kuwa na mawazo sana

BM: "Yes, nakusikiliza"

Caryn: "Give me your phone"

BM: "Simu yangu ya nini tena?"

Caryn: "I need to see your incoming calls, your outgoing call, your messages. Everything, I need to watch my back"

Itaendelea
See you in 3 months
 
Muendelezo lini mkuu
 
Kwangu mimi, with all due respect ningepanga/nazipanga hivi:

1. How I met my wife by Kigakoyo
2. Story ya Khumbu by Konda msafi
3. Penzi la Amida
4. Story ya BM

Huu ndio mpangilio wangu kwa ubora.

Ila ile Peniela kama ingekuwa ni true story....Ingekaa hapo namba moja....Story moja ina ujasusi wa kutisha.

Naomba link ya story ya khumbu pls
 
Dah! na usikute simu ulimpa kweli...
 
Back
Top Bottom