Unanikubali kwasababu episodes zinapigwa back to back sioMkuu umecheza kama pele..[emoji3][emoji3]
Ila wabongo bhana..., tunapenda umbea kishenzi[emoji23] Yaani mtu anasimulia maisha yake ila macho na maskio yote kwake[emoji3][emoji3]
Ila BM X6 nakukubali mwamba story tamu hii.....
Mkuu muendekezo lini tena tujipange kisaikolojiaUnanikubali kwasababu episodes zinapigwa back to back sio
Ohoo sisi tutasubiri hata ukileta mwakaniItabidi mjipange kisaikolojia haswa maana muda wangu wa kuwa free umeisha...
Sa iv ndio umetenda haki ukikaa ata mwezi sio mbaya...Unanikubali kwasababu episodes zinapigwa back to back sio
Una uhakika gani kama mwezi wa 12 story itakuwa imeisha, kwasababu mm mwenyewe ninaendika sijajua mwisho wakeNatamani nisingeanza kusoma hii story mpk iwe imekamilika, nilianza kusoma jana kuanzia season 1 mpk hii iliyopostiwa jana.
Iwe ni kweli au ni uongo ila mwandishi nampa kongole, hii ni story ambayo ilipaswa kulipiwa kabisa, mpangilio mzuri wa matukio na namna anavonogesha
Naomba nirudi mwezi wa 12 baada ya story kukamilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tusikilize wimbo diamond na zuchu unaitwa utasubiri sanaItabidi mjipange kisaikolojia haswa maana muda wangu wa kuwa free umeisha...
Mzee wangu visanga vilitokea hapa katikati ni nomaNakumbuka kuwa Caryn ushawah kumuambia kuhusu Annie na Accountant,…Caryn anazimika na kambi ya kiumeni, ila BM unajua balance genye ili zisiharibu harakati za ugali….. vijana wachache sana,safi sana.
Swali alilokuuliza Caryn ingebidi na yeye aulizwe pia.
Michelle kakolezwa nini na jamaa…