Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Oya kuna siku nilitaka kuji mix....kama ni mitego nimeikwepa mingi sana hata siku nikija kunasa huko mbeleni itakuwa sio kwa uzembe tena
Her problem ni kwamba, hana adabu hata kwa mtu anayempenda. Watu wa jinsi sii hupenda kunyenyekewa.

Kwa kuzingatia kuwa ana viashiria vya kukupenda, anatakiwa aonyeshe unyenyekevu kwenye baadhi ya mambo, hasa yasiyohusiana na kazi.
Sasa yeye anakaza kazini, off work, kila sehem. Yaan hadi chumbani huyu atataka aitwe boss. Atashindwa hadi kukatika kwa kujua yeye ni boss😀😀
 
Oya kuna siku nilitaka kuji mix....kama ni mitego nimeikwepa mingi sana hata siku nikija kunasa huko mbeleni itakuwa sio kwa uzembe tena

Oya kuna siku nilitaka kuji mix....kama ni mitego nimeikwepa mingi sana hata siku nikija kunasa huko mbeleni itakuwa sio kwa uzembe tena
Hongera sana. Ni wachache sana wenye misimamo kama yako. Hata mimi ningeshindwa. Ningeishia kuharibu. Maana ningepita nao wote watatu kitambo
 
Duuuh...! Kweli kuna jamaa elimu imewasaidia sana sana. Kwanza unajua nini maana maisha. Unajua kujiheshimu (kama ni kweli kote ulikotupitisha). Pili unajua kupangilia maneno,habari na kikubwa husahau ulichokihadithia. Tatu unajua Kiswahili fasaha sana sio wale wa "mpaka" anaweka "mbaka". "Hapa" anaweka "apa".
Mwisho hongera sana kwa msimamo wako mkuu. Kama alivyoongea mzee uko smart. Mimi najijua ni smart lakini kwako nimekwama saanaaaa. Maana mpaka sasa ningekuwa nimetafuna Anie. Nmetafuna kitambo akauntant. Ningekuwa nimemtafuna Caren. Saa hizi ningekuwa mbioni kumla Mishele.
Hongera sana.
Unatufundisha mengi.Hizi ndio zinafundisha uhalisia wa maisha. Mwisho nayaona mafanikio ya maisha yako.
Kuna kitu kimenigusa sana hapo. Wale vijana na watatu. Natamani nikawasake na mimi hata watatu wa mitaani niwe nawapa chochote nitakabarikiwa.
Asante sana kwa story yako mdogoangu na hongera
 
Anie na Accoutant walishaliwa kitambo sana, pengine na Mdhungu MD wa logistics company ameshaliwa ila bado hatujafika uko, tuliza mtori nyama zipo chini mkuu.
 
Dah! Shukrani mkuu umeenda deep sana, I appreciate [emoji1545]


Nilikuwa na Mpango wa kuleta muendelezo tarehe 5 mwezi wa 3 yani jumapili ya wiki ijayo lakini kwa comment yako nitajitahidi kuleta muendelezo jumamosi ya kesho kutwa, nikichelewa sana jumapili
 
Usituangushe vijana wenzio ww mtokee tu carn Kama kazi basi mwanaume rijali unakosea sana carn
 
Usituangushe vijana wenzio ww mtokee tu carn Kama kazi basi mwanaume rijali unakosea sana carn
Haina haja ya kumtokea yeye mwenyewe kwani hahitaji mme ,atamtokea akimuona ndiye amfaaye maishani mwake. What it means to be to you it means or come easily and effortless and when it's time to leave you let it leave your effortless with no personal fragile ego in stake
 
Anie na Accoutant walishaliwa kitambo sana, pengine na Mdhungu MD wa logistics company ameshaliwa ila bado hatujafika uko, tuliza mtori nyama zipo chini mkuu.
Dah![emoji23][emoji1544]
 
Kumbe ulihamia sehemu mpya?
 
Hii story imekua ni nzur sana BM X6. Inatoa experience za maisha at sometimes na kama alivyosema ndugu hapo haichoshi kwa sababu uandishi wako ni mzur mno.. nami niungane nae nikupe Hongera kwa hili.. tuko pamoja mkuu.. My appreciation pia
 
Asante sana karibu. Tunajifunza mengi mkuu
 
Yaah! Mimi muumini wa lugha fasaha, iwe Kiswahili au Kingereza. Unazitendea Haki sana lugha zote.

Hii stori inafundisha pia namna ya kuhusiana na watu wa aina mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…