Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni


Wale mliokua mnataka episode iyo hapa. Tusubiri inayofata sasa
 
Stori inakuwa basic needs mie huwa nachungulia nacheka ama nastaajabu namna watu wanavyolia Kama watoto
 
Yaan kama una akil Bm utamuelewa sanaa hyu mwama..kwa tafsir yangu ya kichwa...Bm ana exposure kubwa sna...yaan makuz yake yalikuwa yakishua..afu mbeleni may b wazaz au walez wakayumba..Ingawa mwamba ni mtu wa interaction yaan ukimuweka uswahilin anakaa..ukimweka uchum wa kat ataendana na ww..na ukijileta juu..atakaa saf nq mtaendana..ingawa uwezo wa kusoma mazingira ya ubongo wako anqjua...ni watu wachache sana dunian wana hichi kipaji...MALEZI...ni mmoja wa watu ambao akitaka upotee kwenye raman uwezo huo anao...jamaa akil yake ni kubwa sana...hurusiwi kumuiga...unapotea...lakin kutoa elim kwa jamii uwezo anao mkubwa sana..sasa mnakosoa ya nn...
 
Achana nao bro hata ukileta muendelezo July sisi tutasoma tu
 
Kuna mzigo wangu umekwama Customs nikamkumbuka Bm mzee wa clearing and forwarding
 
Mkuu umesomeka vyemaa. Louder and clear
 
Umeongea utumbo kama unamlipa kwa kazi hiyo. Nawashangaa hata wanaolazimisha episode zingine haraka haraka. Kazi ya kuandika mpaka kitu kikasomeka kwa usahihi na mpangilio ukaeleweka sio mchezo. Inahitataji utulivu,utimamu wa akili pia,nikimaanisha usiwe na mambo mengine kando.

Sasa mtu unakuja kulazimisha ziletwe episode zingine utafikiri mliziweka wote. Na mwamba tangu mwanzo kule kafunguka anachohadithia ni maisha halisi yanayoendelea.

Kwa hiyo analeta ktk mpangilio wa kinachoendelea. ingekuwa ya kutungwa,angeitunga kwanza then awe anawamegea wastani mnaotaka.

Pia muelewe yuko na kazi inayomuingizia kipato. Anaandika akipata muda mzuri ili iwe ktk mtiririko mzuri. Lakini nimegundua JF kweli kuna kila aina ya watu tofauti. Kuna wengine sio waelewa kabisa. Naona wengine wanazidisha mmea. Vichwa vigumu kuelewa.

Kama hutaki umeona anachelewa si unajikata tu. Humu Jf kuna tred nyingi sana kwa nini ubaki hapa? Nende huko kapite nazo zingine. Acha hii waendelee nayo wanaoisubiri.
 

Tred ndo nini kwanza hujui hata unachoandika....Nimeongea utumbo umesikia sauti yangu humu?

Hujui hata kutofautisha kati ya kuongea na kuandika.....NONSENSE!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…