Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Ahahah, unaweza ukambahatisha ila mm sipo Dar narudi kesho, Leo kuna gape nililipata so Dakika zijazo nitapost muendelezo japokuwa sio mrefu sana
Ushasepa Mwanza, Annie ulimcheki!?Mmh! Maybe ngoja tuone
Naomba tunyweni mtori nyama tutazikuta chiñiMimi nahisi anataka uwazalishe wote ili wawe kwenye mikono salama ya kijana smart mwenye kujielewa.
Kama kawaida Niko zangu SAMORA namvizia caryin apite na bmwx3 lake nimuone
Ungejua sasahivi kuna teknolojia ya kusafisha hivyo viemoj na kuona kilichopo nyuma....anyways tusiwatishe.
Mkuu lini muendelezoMambo madogo siwezi kutishika, Ebu wajaribu tuone...[emoji41]
Caryn alikuwepo hapa au
Caryn haendi gereji mzee babaCaryn alikuwepo hapa au
Sawa mkuu ila unajua Mimi nataka nikishamjua carryn nikupiku maana Mimi Hawa wakorofi na wajuaji kama carryn nawawezea sana nishawakaza nut na bolt wanafika 30+ nataka na yeye Aingie kwenye list nije nitoe Uzi hapa hapa jamii forum ndio maana daily nakodoa macho hapa samora avenue
Unataka kutembelea nyota ya mwanaume mwenzioSawa mkuu ila unajua Mimi nataka nikishamjua carryn nikupiku maana Mimi Hawa wakorofi na wajuaji kama carryn nawawezea sana nishawakaza nut na bolt wanafika 30+ nataka na yeye Aingie kwenye list nije nitoe Uzi hapa hapa jamii forum ndio maana daily nakodoa macho hapa samora avenue
Sio ajabuUnataka kutembelea nyota ya mwanaume mwenzio
Ahaaa kwa dr toyotaa sioo[emoji16][emoji16]
Huo ndiyo uchawi wenyewe sasa!Sio ajabu