Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Itakua mwamba ulipewa kazi ya kumzalisha Caryn ili mzee apate mjukuu.

Furaha kwa mzee.

Huzuni kwako maana Annie Huyo, alafu Caryn alivyo mgumu ukifeli ni Huzuni kazi bye bye.

Kitu inakaa huko
Mmh! Maybe ngoja tuone
 
mtiririko mzuri, hauna pupa, story kali, na haitabiriki hii ni uhalisia 99% napredict alichotumwa na mzee huenda ni 1.kumteka michelle kimapenzi ili aendeshwe na BM na sio yule jamaa mwingine 2.atengeneze uadui mkubwa na caryn ili kwenye kazi yasizaliwe mapenzi baina yao
 
Mimi nahisi anataka uwazalishe wote ili wawe kwenye mikono salama ya kijana smart mwenye kujielewa.
Kama kawaida Niko zangu SAMORA namvizia caryin apite na bmwx3 lake nimuone
Naomba tunyweni mtori nyama tutazikuta chiñi

Kuhusu Caryn gari yake hii hapa
IMG_20221210_112409_63.jpg
 
Naomba tunyweni mtori nyama tutazikuta chiñi

Kuhusu Caryn gari yake hii hapaView attachment 2543192
Sawa mkuu ila unajua Mimi nataka nikishamjua carryn nikupiku maana Mimi Hawa wakorofi na wajuaji kama carryn nawawezea sana nishawakaza nut na bolt wanafika 30+ nataka na yeye Aingie kwenye list nije nitoe Uzi hapa hapa jamii forum ndio maana daily nakodoa macho hapa samora avenue
 
Unataka kutembelea nyota ya mwanaume mwenzio
 
Back
Top Bottom