Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Dah hii hadith ya uyu jamaa bana yani anasoma upepooo afu anatafuta gear ya kuungia matukio
 
Wakuu tuvumiliane tu ila muda ni tight sana, imenibidi niamke mida kama hii ili niandike muendelezo laasivyo na leo ingepita patupu,

Nadhani hadi badae mchana mchana mzigo utakuwa hewani
 
Tia Maji tia Maji
 
Duuh ngachoka
 
Ilipoishia

Caryn: "Achana na hivyo vitu, kaa hapo tuongee"

BM: "Sawa, nakusikiliza"

Caryn: "Unajua sikudhania kama utakuja kunikwaza kwa kiasi kikubwa namna hii umenikwaza mno, kitendo Ulichokifanya kimenikera kupitiliza ila huwezi jua kwasababu najitahidi kucontrol hisia zangu"

Kumekucha, sijui imekuaje tena, huyu mtu hadi kanifuata nilipo kweli nimeyatimba tena sio kidogo

Muendelezo

SEASON 2 Episode 7

BM: "Kuna nini tena?"

Caryn: "Nikuulize tu swali ulienda kuomba kazi kwa nani?"

Ooh! nikashusha pumzi kwanza, kumbe msala wenyewe ndio huu

BM: "Kwa D**** (Nilitaka Jina lake)

Caryn: "Wewe umemjuaje huyo mtu?"

BM: "Si kupitia Michelle"

Caryn: "So wewe na Michelle mkakaa mkakubaliana muende kuomba msaada kwa mtu ambae yeye mwenyewe anahitaji kusaidiwa"

BM: "Mimi sikwenda kuomba msaada"

Caryn: "Ulienda kufanya nini?"

BM: "Kuomba kazi"

Caryn: "Sasa si ndio msaada wenyewe huo"

BM: "Sawa, tufanye nilienda kuomba msaada, Kuna ubaya kwani?"

Caryn: "Ubaya ni kwamba umenihusisha, yani kama ningejua kama kazi yenyewe unaenda kuomba kwa yule mtu hata nisingekusikiliza"

BM: "Basi samahani kama nimekukosea"

Caryn: "And I'm sure hata hilo Gari amenunua kwa Pesa yangu ila ngoja siwezi kumuacha hivi hivi nitamuonesha"

Jinsi tulivyokuwa tunaendelea kuongea hasira ndio zinazidi nikajaribu kuswitch mada lakini wapi

BM: "Caryn Achana na huyo mtu Sasa yaliyotokea yashatokea, msamehe tu maisha mengine yaendelee"

Caryn: "Sio kirahisi hivyo, you know It takes a lot of effort and mental stress to make money halafu from no where mtu anakuja kuzitumia kirahisi, I swear BM ipo siku yake huyu mtu"

Nikaona huyu Sasa analeta mikwara mbuzi, maana sioni atakachomfanya yule jamaa, Mwanaume ni Mwanaume tu, baada ya maongezi ya muda mrefu njaa ika take place tukaitisha chakula (junk food) tukala

Caryn: "So this is how you live? inabidi uishi 2 bedrooms house kwani wewe huna ndugu? au mgeni akija chumba chake ni hapa sitting room"

BM: "Sometimes unajua huwa unanishangaza, sana, mimi unaeniambia niishi nyumba ya vyumba viwili mwenzako nafikiria kurudi kuishi chumba kimoja"

Caryn: "I can see, things are really tough by your side"

BM: "Because of you"

Caryn: "Ooh! So kumbe nimevunja mahusiano ambayo yalishikiria uchumi wako"

BM: "Yes, I agree we used to date back then but chuja maneno ya kuongea"

Caryn: "Achana na kuchuja maneno, go back to the dating part, huyu msichana alikuwa anakupenda kweli?"

BM: "Sasa angekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mimi kama angekuwa hanipendi"

Caryn: "Hakuna Mapenzi, mlikuwa mnatumiana tu, kama kweli alikuwa anakupenda asingekuambia uache kazi ambayo ulikuwa unaitegemea, anayekupenda hawezi kubali uteseke lakini ninachosikitika zaidi ni kwamba hata wewe ulikuwa na yule mwanamke kimaslahi"

BM: "Ivi kama....."

Caryn: "Relax....naona this conversation make you uncomfortable"

BM: "Sio kwamba sipo comfortable, nimechoka tutaongea kesho Asubuhi"

Caryn: "Ooh! so you just assume that I'll be here till tomorrow morning! where is my car keys?"

Nikaenda kumfungulia Geti, saa hiyo ni saa nne usiku na madakika yake, Wakati anatoka akanambia "make sure kesho tunaonana" akasepa zake na Mimi moja kwa moja hadi kitandani

Kesho yake nikamcheki Caryn huku nikiwaza ya jana, kiukweli hata kama angekubali kulala kwangu nisingemgusa sababu Caryn ni aina ya wale Wanawake flani ambao anakuwa na urafiki na Mwanaume lakini akikuona na Mwanamke mwingine anakuoneshea wivu lakini ukijichanganya tu ukamtongoza basi umeharibu kila kitu, hicho ndicho ninachohisi kwa Caryn au sijui nitakuwa nakosea

Basi nilivyomcheki akanipanga nikamkute maeneo flani hivi karibu na nyumbani kwao, nilivyofika hayo maeneo nikamkuta Caryn lakini hakua peke yake, alikuwa amekaba na mshkaji flani hata sikuwahi kumuona

Nilivyofika kwenye meza yao nikawasalimia then nikawaacha waendelee na maongezi yao, kwa maongezi niliyoyasikia ni ya ku decorate Duka so yule jamaa atakuwa ni mpambaji, zikapita kama Dakika kumi wakawa washamaliza maongezi yao na jamaa akasepa

BM: "Nilivyowaona kwa mbali nilijua yule ndio Shemeji yangu lakini kwa maongezi niliyoyasikia hapa itoshe tu kusema Hongera kwa kuwapatia vijana vibarua hata kama ni vya muda mfupi"

Caryn: "We unajuaje kama yule sio Shemeji yako?"

BM: "Shemeji angu? Yani bwana ako ndio akakupambie Duka?"

Caryn: "Sasa kama ni kazi yake, halafu si namlipa tatizo lipo wapi?"

BM: "Dah! me siwezi kwakweli"

Caryn: "Huwezi nini Wakati kwako ndio ilikuwa worse kabisa bora mwenzako kajiajiri ila wewe uliajiriwa na ukapewa terms and conditions na Mwanamke"

BM: "Eeh Madam mbona kama unanichamba, sijakuzoea hivi"

Ghafla mpira ukageukia kwangu tena lakini kwa jibu alilonipa inawezekana ni bwana ake, kama sio bwana ake kwanini amlinganishe na mimi? halafu sio kumlimnganisha tu kwenye huo mlinganisho jamaa ndio kapewa point 3 muhimu,

kwamba kajiajiri hapelekeshwi na mtu as long as ana make money atafanya hata kazi ya Ex wake, na Kazi aliyoenda kufanya jamaa (kupamba Duka) ni kazi ya siku 2 tu lakini malipo ni laki 4

Caryn: "Matani tu don't take personal....ivi unajua Mzee ni kesho kutwa tu hapa anarudi"

BM: "Yeah, Nakumbuka uliniambia"

Caryn: "Hali aliyokuacha nayo Mzee na atakayokujuta nayo ni tofauti, ivi unajua umekonda sana"

BM: "Kawaida bhana Caryn, kukonda haimaanishi ndio una shida sana"

Caryn: "Ni kitu gani Sasa? au unaumwa?....unajua mm hata sikuwazii sana wewe, concern yangu ni wale watoto, kama wewe upo hivi wale je watakuwa katika hali gani?"

BM: "Madogo wame upgrade maisha hata kama wanakula mara 2 kwa siku lakini sehemu ya kulala ni uhakika na salama"

Caryn: "Unaona sasa! watoto wadogo vile watakulaje mara mbili tu kwa siku"

BM: "Caryn bhana, walivyokuwa huko mtaani mlo wa siku tu ulikuwa shida sasa hivi ni uhakika ndio uone wanapata tabu....halafu mimi sijasema kwamba wanakula mara 2 tu kwa siku, nimesema hata kama itakuwa mara mbili kwasasa ni afadhali kuliko walivyokuwa mtaani"

Caryn: "Hakuna Cha uhafadhali, mmeamua kuwasaidia wasaidieni kweli na msione kama mnawafanyia wema sana, Unajua Bado nashangaa kwanini wale watoto hukai nao kama ilishindikana kuwapangia nyumba badala yake ukampelekea mtu mwingine mzigo ambao hata hakuutarajia"

BM: "Dah! Caryn bhana unapenda Kila siku tuongee kitu kile kile, kwani si nilishakuambia sababu ya kuwapeleka kule"

Caryn: "Sababu yako haiku make sense BM, Maisha ya Sasa ni magumu sana, kwa jinsi ulivyonielezea situation ya Dada yako na Bado ukampelekea tena mzigo wa watu wa 3? ulikosea sana mm nilikuitikia tu"

BM: "Sasa ningefanyaje Caryn mipango yenyewe haikwenda kama nilivyopanga, mm mwenyewe sikutarajia kama watakaa pale kwa muda mrefu, ni kwa vile tu mambo yameingiliana na ww unajua kabisa"

Caryn: "Unajua Jana nilikuwa nasisitiza nyumba ya 2 bedrooms ni kwasababu ya wale vijana, unatakiwa uishi nao kama huwezi kuliko kumpa mtu mzigo ambao haumuhusu ni Bora ukawarudisha ulipowatoa"

BM: "Lakini Pesa ya matumizi huwa nawapatia"

Caryn: "Hata kama....sasa fanya hivi, chukua hii pesa hama pale chukua nyumba ya vyumba viwili ukae na wale watoto"

BM: "Halafu tutaishije? tutakuwa tuna lala tu? kula?"

Caryn: "Wewe ni Mwanaume pesa ya kula utajua utaitoa wapi, unajua mm nakutengenezea mazingira kwasababu nishakuona umefeli sasa usitake kufeli pande zote, mm Mzee namjua akija akiona hakuna ulichokifanya lakini akijua unaishi na wale watoto ambao sio ndugu zako hujui tu jinsi atakavyojisikia"

Anachoongea Caryn kipo sahihi lakini naona kama anataka kunivalisha koti la mabomu, unajua inafika pahala kulihudumia tumbo lako inakuwa mtihani, imagine matumbo ya watu 3 + mm wa 4 halafu ×3 mziki wake Najua utakuwa sio wa kitoto kwa Experience fupi niliyopitia hapa katikati

Tulipokuwa na kwa kina Caryn sio mbali lakini aliita Bajaj, Tukaachania pale pale hata sijaenda kwao, Wakati ananipa zile pesa hata sikuzihesabu nilivyofika nyumbani nikazitoa kwenye bahasha nikazihesabu,

Mzigo ulikuwa milioni moja na elfu hamsini (1,050,000) na wakati ananipa aliniambia ni Kodi ya miezi 3 kwamba hadi miezi mitatu ikiisha nitakuwa nimesha bounce back

Sasa kwa milion na elfu 50 ukiigawanya mara 3 inakuja laki 3 na nusu, Sasa laki tatu na nusu si nyumba nzima hiyo?

Kesho yake kwenye Ile milioni nikatoa kile kilemba Cha juu (elfu 50) nikamtumia Sister, nikajiapia hii milioni iliyobaki siigusi

Tusharudi nyuma Sasa tuendelee mbele

Sasa Caryn naye alivyokaa mkao wa kunisikiliza ni kama vile hajui chochote kilichoendelea wakati yupo behind the scene

BM: "Mzee mbona nilishamuelezea Mama kila kitu kwani kuna tatizo?"

Mzee: "Wala hakuna tatizo, kama ulishamuelezea Boss wako mimi hajanieleza chochote nataka kusikia kutoka kwako"

Nikamuelezea kama vile nilivyomuelezea Mama yake Accountant siku Ile kule ofisini, nilivyomaliza kutoa maelezo Caryn akawa anatabasamu tu wengine waliobaki wakaamini story

Mzee: "Unajua nilikutegemea hadi nikataka wewe ndio uwe MD Mama hapa akisha retire, lakini kama uko sawa itabidi nafasi aichukue Caryn"

Nikatamani kuongea kitu lakini nikashindwa, kumbe Kampuni ni ya Mzee, Michelle akawa anatingisha kichwa Ile ishara ya kusikitika,

yani hii Kampuni ni ya Mzee na sikuwahi hata kufikiria Wala kuambiwa

Mama Accnt: "Caryn Binti yangu ujiandae maana mimi October hii ndio nakamilisha kila kitu"

Caryn: "No problem mom"

Mzee: "Nadhani tumemaliza, kama chakula kipo tayari watu wanaweza kula"

Tukafinya Menu na kusaza, Mama yake Accountant akaaga kuondoka, sasa wakati anaondoka Mama yake Michelle ndio alikuwa anamtoa nje akanambia "BM hata hunitoi nje?"

Nikawajoin tulivyofika Parking Mama yake Accnt akanambia "Jitahidi hii wiki ufike ofisini tuongee" nikamuambia sawa

Basi wakaagana pale na Mama yake Michelle akatekenya ndinga akahepa, Wakati tunarudi ndani Mama yake Michelle Sasa ananiambia "Usijali Kila Kitu kitakuwa sawa, umefanya uamuzi mzuri wa kujitegemea mapema hizi kazi za kuajiriwa nazo zinachosha"

Moyoni najisemea yani Mama laiti ungejua. Tulivyorudi ndani hata sikukaa sana na mimi nikaaga Mzee akaniambia maneno mafupi sana

Mzee: "Good luck, ukikwama nitafute"

Halafu ni kama vile hakupenda Mimi kuacha kazi, na ubaya sasa mm sikujua kama Kampuni ni yake nilijua tu ni loyal customer

Wakati natoka Caryn akanifanyia tu ishara [emoji1690] kwamba tutaongea kwenye simu, kwasababu ilikuwa muda umeenda yule Dereva wa Mzee aliitwa ili anipeleke

Zikapita kama siku 2 Caryn akanicheki akanambia anaenda ofisini kule nilikokuwa nafanya zamani so akitoka tuonane, hapo hapo na mm nikamwambia tutaonania huko huko ofisini sababu Mama yake na Accountant aliniambia nikipata muda niende kumuona

Basi nikajiandaa nikaelekea ofisini kwangu kwa zamani, nilivyofika nikampigia Mama kumjulisha kama nimefika akaniambia nisubiri kidogo yupo na mgeni,

Nikampigia Caryn kumuuliza amefika wapi kama kawaida yake hakushika simu, ukapita muda kidogo nikamuona Caryn anatoka ofisini kwa Mama kumbe alikuwa kashafika

Caryn: "Utanikuta downstairs, usichelewe tafadhali"

Nilivyofika ndani Ofisini kwa Mama yake Accountant Cha kwanza akanitolea bahasha yenye pesa

Mama Accnt: "Kwanza pole, najua mzigo wako haukukufikia"

BM: "Asante Mama"

Safari hii sikuleta maringo ya kutaka kuwekewa pesa kwenye account nikazibeba kama zilivyo,

Mama Accnt: "BM kwanini uliamua kuacha Kazi kwasababu za kipuuzi?"

Kwa haraka haraka sikuelewa Mama anamaanisha nini lakini nikakumbuka muda mfupi Caryn ametoka humu ndani, atakuwa kamuambia nini huyu Mama kwasababu yeye ndio anaujua ukweli wote

Itaendelea
 
Nimeishia hapa
 
Shukrani sana Mkuu
 
Back
Top Bottom