Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Labda nianze kwa kuwatoa wasiwasi wale wanaodhani nitasusa Uzi, Hilo haliwezi kutokea, na sikatazi mtu kutoa maoni yake hata mkinitukana mimi nitayasoma tu na uzuri ni kwamba mimi nikiwa free kama hivi huwa nasoma kila comment, hata aliyecomment nukta huwa napitia comment yake

Iko hivi, nilishindwa kutoa muendelezo jumapili Ile iliyopita kama nilivyoahidi kwasababu jumamosi yake nilisafiri na Mzee nimekuja nae Mwanza, na hadi leo hii tupo huku ila tunategemea kurudi week hii hii kama mambo yataenda sawa kama alivyopanga

Na muda mwingi nipo pamoja na Mzee, muda ambao naacha na Mzee ni ule muda wa kwenda kulala tu, sasa siwezi kuwa na Mzee tumekaa Mahali halafu mimi nipo Busy na simu naandika story, (labda mtasema kwanini nisiandike usiku muda ambao nakuwa peke angu) Huo usiku nao nakuwa nimechoka kwanza natakiwa kuwaza ratiba za siku ya kesho yake, so muda kama huo nautumia kupumzika

Yani ni vile tu hamjui na ndio maana nikiona mtu anatoa maoni yake kwa makasiriko mimi huwa hata sikasiriki wala kumshangaa, kwahiyo nikisema niwaendekeze ili kuwafurahisha naweza kujikuta naharibu sehemu nayopatia ugali kwasababu upande mmoja nita loose focus

Kuandika story (labda kichwa changu ni kizito) huwa inanichukua hata siku nzima, nimemshangaa yule jamaa aliyesema Dakika 20 tu inatosha kuandika episode 1, blaza shida sio kuandika tu kwasababu hii sio story ya kutunga, shida ni kukumbuka matukio, mf mdogo ni zile sehemu Caryn anazotema Yai,

Ivi mnajua kwamba asilimia 90 ya conversations anazofanya Caryn ni za Kingereza, na ili story ivutie inanibidi nipite mule mule lakini ninachokifanya kwa baadhi ya sehemu mimi huwa natafsiri maongezi yake kwasababu nikisema niandike Convo zake kama zilivyo kuna baadhi ya watu hawataelewa, kwanza mm mwenyewe kuna misamiati mingine anayoongea siielewi maana yake, so natumia ujanja wangu kuunganisha maneno

SO nimesema huwa inanichukua siku nzima kwasababu ya kukumbuka matukio na kuyapangilia, na siku zote nikimalizaga kuandika episode huwa naipitia kuisoma zaidi ya mara tano, sometimes naweza nisipost siku hiyo niliyomaliza kuandika nikaja kuipost siku inayofuatia, yote hiyo ni ku make sure hakuna tukio muhimu nililolisahau kwasababu ilishanitokea nimepost episode nikaja kukumbuka Kuna Mahali niliruka

Halafu katika maisha usijilinganishe na mtu mwingine, Mimi kunifananisha na watu wengine wanaoleta story humu ni kunikosea, kwasababu I'm sure tumetofautiana katika kila kitu hadi katika ku priorities mambo

Mimi mwenzenu focus yangu ipo kwenye kazi ambayo inaniweka mjini huku Jamii forum huwa nakuja kuchungulia tu nikiwa free kama hivi, na naamini pia nyie mna kazi zenu zinazowaweka mjini mkishapiga pesa huko mtaani ndio mnakuja kuchungulia humu kama BM kaleta muendelezo

Sasa kama Mimi mwenyewe hii story siipi umuhimu wa hivyo kwanini wewe ujichoshe kwa kuipa kipaumbele namna hiyo, kama ni muhimu sana basi wekeni Dau nikirudi Dar nishushe Episodes back to back kwasababu Mzee kaniambia tukirudi nipumzike siku Saba lakini siwezi kufanya hivyo mimi nina maisha gani ya kupumzika bhana, japokuwa nikipumzika mshahara wangu upo pale pale lakini nikienda job ndio napiga hela zaidi

Narudia tena fanyeni kazi hapa tunakuja kubadilishana mawazo na kuburudishana tu....au inawezekana wenzangu mnapiga pesa huku mmekaa!? kama ndio hivyo wekeni Dau mezani na mimi nipige pesa huku nimekaa kwa kuandika story. Mkifanya hivyo mm nitapumzika hiyo week moja ya Mzee aliyonambia na focus yangu yote nitaihamishia hapa......Deal???

Kwaherini bhana Mzee ni kama anakaribia kutoka lunch time hii
Anaye critisize mbona hatuoni story zao?
 
Niko hapa mtaa wa SAMORA naivizia bmw ya Caryn lakini naambulia patupu maana ni mitaa yangu hii daily mpaka hapo azam ferry aaah aaaah alosto ya story BM X6 lete story mkuu shusha episode
IMG_20230308_175601_628.jpg
 
Niko hapa mtaa wa SAMORA naivizia bmw ya Caryn lakini naambulia patupu maana ni mitaa yangu hii daily mpaka hapo azam ferry aaah aaaah alosto ya story BM X6 lete story mkuu shusha episode View attachment 2542010
Ahahah, unaweza ukambahatisha ila mm sipo Dar narudi kesho, Leo kuna gape nililipata so Dakika zijazo nitapost muendelezo japokuwa sio mrefu sana
 
Labda nianze kwa kuwatoa wasiwasi wale wanaodhani nitasusa Uzi, Hilo haliwezi kutokea, na sikatazi mtu kutoa maoni yake hata mkinitukana mimi nitayasoma tu na uzuri ni kwamba mimi nikiwa free kama hivi huwa nasoma kila comment, hata aliyecomment nukta huwa napitia comment yake

Iko hivi, nilishindwa kutoa muendelezo jumapili Ile iliyopita kama nilivyoahidi kwasababu jumamosi yake nilisafiri na Mzee nimekuja nae Mwanza, na hadi leo hii tupo huku ila tunategemea kurudi week hii hii kama mambo yataenda sawa kama alivyopanga

Na muda mwingi nipo pamoja na Mzee, muda ambao naacha na Mzee ni ule muda wa kwenda kulala tu, sasa siwezi kuwa na Mzee tumekaa Mahali halafu mimi nipo Busy na simu naandika story, (labda mtasema kwanini nisiandike usiku muda ambao nakuwa peke angu) Huo usiku nao nakuwa nimechoka kwanza natakiwa kuwaza ratiba za siku ya kesho yake, so muda kama huo nautumia kupumzika

Yani ni vile tu hamjui na ndio maana nikiona mtu anatoa maoni yake kwa makasiriko mimi huwa hata sikasiriki wala kumshangaa, kwahiyo nikisema niwaendekeze ili kuwafurahisha naweza kujikuta naharibu sehemu nayopatia ugali kwasababu upande mmoja nita loose focus

Kuandika story (labda kichwa changu ni kizito) huwa inanichukua hata siku nzima, nimemshangaa yule jamaa aliyesema Dakika 20 tu inatosha kuandika episode 1, blaza shida sio kuandika tu kwasababu hii sio story ya kutunga, shida ni kukumbuka matukio, mf mdogo ni zile sehemu Caryn anazotema Yai,

Ivi mnajua kwamba asilimia 90 ya conversations anazofanya Caryn ni za Kingereza, na ili story ivutie inanibidi nipite mule mule lakini ninachokifanya kwa baadhi ya sehemu mimi huwa natafsiri maongezi yake kwasababu nikisema niandike Convo zake kama zilivyo kuna baadhi ya watu hawataelewa, kwanza mm mwenyewe kuna misamiati mingine anayoongea siielewi maana yake, so natumia ujanja wangu kuunganisha maneno

SO nimesema huwa inanichukua siku nzima kwasababu ya kukumbuka matukio na kuyapangilia, na siku zote nikimalizaga kuandika episode huwa naipitia kuisoma zaidi ya mara tano, sometimes naweza nisipost siku hiyo niliyomaliza kuandika nikaja kuipost siku inayofuatia, yote hiyo ni ku make sure hakuna tukio muhimu nililolisahau kwasababu ilishanitokea nimepost episode nikaja kukumbuka Kuna Mahali niliruka

Halafu katika maisha usijilinganishe na mtu mwingine, Mimi kunifananisha na watu wengine wanaoleta story humu ni kunikosea, kwasababu I'm sure tumetofautiana katika kila kitu hadi katika ku priorities mambo

Mimi mwenzenu focus yangu ipo kwenye kazi ambayo inaniweka mjini huku Jamii forum huwa nakuja kuchungulia tu nikiwa free kama hivi, na naamini pia nyie mna kazi zenu zinazowaweka mjini mkishapiga pesa huko mtaani ndio mnakuja kuchungulia humu kama BM kaleta muendelezo

Sasa kama Mimi mwenyewe hii story siipi umuhimu wa hivyo kwanini wewe ujichoshe kwa kuipa kipaumbele namna hiyo, kama ni muhimu sana basi wekeni Dau nikirudi Dar nishushe Episodes back to back kwasababu Mzee kaniambia tukirudi nipumzike siku Saba lakini siwezi kufanya hivyo mimi nina maisha gani ya kupumzika bhana, japokuwa nikipumzika mshahara wangu upo pale pale lakini nikienda job ndio napiga hela zaidi

Narudia tena fanyeni kazi hapa tunakuja kubadilishana mawazo na kuburudishana tu....au inawezekana wenzangu mnapiga pesa huku mmekaa!? kama ndio hivyo wekeni Dau mezani na mimi nipige pesa huku nimekaa kwa kuandika story. Mkifanya hivyo mm nitapumzika hiyo week moja ya Mzee aliyonambia na focus yangu yote nitaihamishia hapa......Deal???

Kwaherini bhana Mzee ni kama anakaribia kutoka lunch time hii
Mazereu
 
Ilipoishia

.....nilipokuwa nakaa zamani alikuwa hapakubali lakini nilivyofika nae makazi mapya mwenyewe alipakubali hadi nikashangaa....tulivyofika tu

Caryn: "Sasa hapa nakupa nyota zako bro, pazuri sana"

BM: "Aah basi kweli hapa pazuri hadi wewe umepakubali!"

Caryn: "Halafu sio kuzuri tu, kumetulia pia....hizi nyumba zote zina watu?"

BM: "Yeah zote zina watu"

Caryn: "Lazima watu wapakimbilie, nyumba moja ingekuwa vacant ningechukua"

BM: "Usiongee sana ebu twende ndani"

Tukaingia ndani bhana Disappointment zikaanza kama kawaida yake

Caryn: "Dah! nyumba nzuri unaweka mapazia ya kichaga"

BM: "Ushaanza, ebu sema unakunywa nini nikuhudumie mgeni"

Akanambia anachokunywa nikamletea story zikaanza, katikati ya story akauliza

Caryn: "BM unajua wewe ni Gentleman and you're handsome, nahisi una Mwanamke lakini hujawahi kunitambulisha, labda nikuulize una Mwanamke? I mean fiance or something"

Dah! Hili swali limekuwa la ghafla mno halafu anauliza huku ananiangalia machoni, hiyo ni kumaanisha nini...kwamba mdomo unaweza kuongopa lakini macho hayaongopi...

Muendelezo

(Episode 16, SEASON 2)

Nikawa natafuta namna ya kukwepa swali kwasababu kumdanganya sitaki na kumuambia ukweli pia sitaki

Caryn: "Mbona unaniangalia! swali gumu?"

BM: "Hapana, nilikuwa nawaza mazingira ya msosi nina njaa kinoma...ngoja niitishe msosi then tuendelee na story"

Caryn: "Uitishe msosi? kwani hupikagi?"

BM: "Hapana"

Caryn: "So ofisini unanunua chakula na nyumbani unanunua tena chakula huoni ni gharama?"

BM: "Sasa nikijipikia si ndio gharama zaidi, hotelini ni cheaper"

Caryn: "Kula hotelini may seem cheaper in the short run but kujipikia is cheaper in the long run....try to calculate"

BM: "Hizo calculation nilishapiga kitambo, Uki count Gas, kuosha vyombo na time hotel becomes cheaper

Caryn: "Maybe ni cheaper but when it's come to Satisfaction that's where we draw the line hotelini usiposhiba huwezi kuongezewa, and Cooking for yourself is preferable because it's a Survival Skill. You also get to watch what you eat, and how you prepare it"

BM: "Okay tufanye hivi, kwa Leo acha tule Cha ku order siku nyingine ukija nitaingia jikoni mwenyewe"

Caryn: "Mm naenda kula kwetu muda umeenda sana acha niende, kwanza umezuga hapa weee hadi umelipotezea swali langu"

BM: "Tatizo una haraka tungekula fresh tungeendelea na story"

Caryn: "Ww hata usijali, mm majibu tayari ninayo"

Mmh! Mzee atakuwa kamchana nini? kwasababu Mzee nilishamgusia hili swala, na katika kosa ambalo nishawahi kulifanya ni hili,

I wish kama ningekuwa sijaanika mambo yangu kwa Mzee, sijui ilikuwaje hadi nikaropoka kwa kwamba nina Mwanamke, sikujua kama nakuja kujipiga pin huku mbele ya safari maana kiukweli nikiri tu kwamba kwasasa namuelewa Caryn kuliko Annie

Sijui kwasababu niko mbali na Annie halafu sio upande wangu tu naona hata Caryn mwenyewe kama ananielewa flani ivi sema ndio hivyo analeta mikausho mikali

Basi nikamfungulia Geti Caryn akasepa, Siku zikakatika, Ile part ya Taa ya BMW kuingia Maji acha niiruke ili story isiwe ndefu sana

Jumapili ya mwisho ya mwezi wa 11 (November, 2022) nilienda kwa Mzee kwa wito maalum, unajua kwa Mzee huwa najiamulia kwenda siku yoyote Ile kwenda kusalimia ila siku akiniita mwenyewe Mzee basi ujue kuna jambo

Basi mida ya mchana hivi nikawasili kwasababu aliniambia nijitahidi kuwahi ili tule wote chakula Cha mchana, nakumbuka nilifika pale majira ya saa saba mchana family members wote niliwakuta, baada ya kupiga Cha mtume tukapanda rooftop this time around hatujaenda Backyard

Mzee kama kawaida yake akaniuliza maendeleo ya kazi ofisini, nikamwambia ofisini kila kitu kinaenda sawa

Mzee: "Vizuri kama ni hivyo, ila Pambaneni sana mjitahidi kuweka misingi imara ya kuboresha maisha yenu mkiwa bado vijana huku uzeeni ni pagumu sana!"

BM: "Ina maana Mzee pamoja na kumiliki mali zote hizi Bado unakutana na ugumu kwenye maisha yako?"

Mzee: "Labda hujanielewa ila kuhusu umiliki wa Mali mimi sina ninacho miliki zaidi ya Mwili wangu kwasababu nikifa simuachii mtu mwingine Mwili wangu, nitaondoka nao, Kitu kingine ninachomiliki ni Imani sio Imani ya dini bali Imani yangu Binafsi, hakuna atakae amini kama Mimi"

"Cha mwisho ni mapito yangu Yani historia yangu, naamini hata wewe hivyo ndio vitu unavyomiliki, Mwili wako ni wà kwako, Imani yako ni set, Imani inatengenezwa na unayoyasikia Yani mambo unayojifunza katika maisha"

BM: "Hapo kwenye Imani umeniacha mzee, Imani ya Dini inatofauti gani na Imani ya mtu binafsi"

Mzee: "Imani kwa Dini ni mambo ambayo yamewekwa tayari kwa waliotangulia katika Imani yao maono yao ambapo ww hukuwepo"

BM: ”Dah! Mzee kiukweli mm bado sijakuelewa vizuri"

Mzee: "Hujataka tu kunielewa, Iko hivi Ukiamini dini Imani hiyo sio ya kwako unakuwa unaamini kama wengine walivyoamini kabla, Imani ya kwako ndio inakupeleka katika wokovu wenyewe yani faith"

"Lakini Imani kwa Dini ni Beliaf, na Beliaf haifanyagi kazi kama Faith isipohusika.... tuachane na Imani utakuja kunielewa hata badae unajua mambo mengine kuyaelewa ni hadi kuna vitu uvi experience katika maisha"

Wakati tunaendelea na maongezi na Mzee, Caryn na Michelle wakaja kumuomba ruksa Baba yao sikumbuki walisema wanaenda wapi ila ninachokumbuka Mzee alimuambia Caryn awahi kurudi ana maongezi nae

Mzee: "Unawaona hawa wametoka wote wanaongeleshana vizuri, wanaweza kurudi wakiwa wameshakorofishana"

BM: "Ivi ni kwanini hawapendani?"

Mzee: "Hapana! si swala la kupendana, Mimi nikigombana na Mama yako haimaanishi kwamba simpendi...Hawa wanapendana sana lakini ugomvi wao mkubwa upo kwenye Pesa"

"Nitakuambia kitu kimoja hata wewe kitakusaidia, Kwenye Pesa huwa hakuna urafiki wala undugu, hakuna huruma kwenye pesa. Pesa huvunja urafiki, undugu na hata amani yako ya moyo"

"Hivyo kama unahitaji kuutunza urafiki, undugu na amani ya moyo wako basi achana na habari za kukopesha pesa kwa watu wako wa karibu kwasababu kwenye marejesho ni ugomvi kama mtu anashida msaidie na sahau habari za kukopesha"

"Hata Caryn nilimueleza hili kwasababu Binti yangu yule linapokuja swala la pesa huwa anakuwa mtu mwingine kabisa, hata kama alimkopesha Mama yake atahakikisha analipwa halafu sasa Cha ajabu huwa ana huruma sasa sijui Ile huruma anaiwekaga wapi linapokuja swala la pesa"

BM: "Michelle je? ni kama Caryn?"

Mzee: "Michelle ni wa tofauti sana, anaweza kukudai hata milioni 10 na usimlipe na yeye akaona ni sawa tu na ndio maana nilikuwa naogopa hata kumkabidhi ofisi kwasababu huruma kama hii ukii apply katika Biashara unaua Biashara"

"Kwa uwepo wa Caryn naamini hata nikidondoka leo mali zangu zitakuwa katika mikono salama, Caryn anajua kila kitu changu vitu vingine hata Mama yake hajui"

Hapa sasa ndipo nilipoamini kwamba Caryn ni mtu muhimu sana kwa Baba yake

Mzee: "Tuachane na hayo, tujadili nilichokuitia"

********

Kitu alichoniitia Mzee sasa dah! sijui nimeseme Mzee alinipa kazi au maelekezo ya kufanya ila naomba nisiyaweke wazi kwasasa ila nikiri tu kwamba sidhani kama nitafaulu hiyo kazi yenyewe niliyopewa na hata nikifaulu sijui itakuwaje

Yani kwa kifupi nikifaulu huu mtihani ni furaha kwa Mzee ila ni huzuni kwangu na nikifeli ni huzuni kwa Mzee lakini vile vile pia ni huzuni kwangu kwa kumuangusha Mzee kwasababu hadi ananipa hii kazi ameamini kuwa naweza kuifanya lakini kwa upande mwingine nikifeli ni furaha kwangu kwasababu sio kitu ambacho nataka kitokee in reality life

Baada ya kunipa hayo maagizo nikaagana na Mzee, Kesho yake siku ya Jumatatu kazini kama kawaida na hii siku ni Ile siku pendwa kwa wafanyakazi maana ndio siku ambayo watu walipewa Chao walichokitumikia mwezi mzima

Baada ya Accountant kumaliza kazi yake Caryn aliniita na kunipa maagizo flani

Caryn: "Una mawasiliano ya Mr Michelle?"

BM: "Hapana"

Caryn: "Basi nitamuambia Secretary ampigie ili aje kuanza kazi tarehe 1 December"

Nikashusha pumzi kwanza, nikajua hapa sasa nimemalizana na Michelle ila kuna kitu nikamuuliza Caryn maana nilijua àmempotezea jamaa

BM: "Pamoja na kwamba nilikuwa nakushauri huyu jamaa umpe kazi Lakini sikuwahi kuwaza kama utakubali"

Càryn: "Wewe tulia mimi najua nini nafanya, kama ana akili timamu ataikataa hii offer"

BM: "Kwanini akatae sasa?"

Caryn: "Wewe alikunyima kazi kwasababu tu aliona picha yangu, hiyo ina maana ya kwamba Mimi na yeye hatuko sawa, si ndio?"

Caryn: "Kama mimi ndio ningekuwa ni yeye ningejiweka katika tahadhari sana kwa mtu ambaye anaonesha kunijari au kunipenda na wakati najua hatukuwa sawa, Mimi huwa naamini kuwa mtu mbaya akipanga kufanya ubaya hutanguliza wema kwanza"

Itaendelea
 
Episode nyengine pasaka.
 
Nahisi kazi ulopewa na Mzee ni sensitive sana ndo mna hujaitaja ila m nahisi kakwambia umuoe kati ya binti zake hao wawili
 
Back
Top Bottom