Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

EPISODE 01, SEASON 01

Wakuu nahitaji ushauri wenu ili niweze kufaulu katika huu mtihani, nimepewa kazi kubwa ambayo nikifaulu basi milango mingi itafunguka huko mbeleni.

Kuna Mzee flani huwa tunashirikiana kikazi na mara nyingi mizigo yake huwa anaiagiza kupitia Kampuni yetu, ni Mfanyabiashara na ameanza Biashara miaka ya 90s alivyomaliza tu O level, Sasa huyu Mzee kijana (1971) huwa

6. Muendelezo Soma Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni
Huyo kijana anaweza kuwa mtoto wa mzee. Tusubiri season 2
 
hadi December ila BM x6 nadhani ulipoambiwa na Caryin usije kazini hadi nitakapokupigia simu ...sasa na sie unatuadhibu kwa kosa lipi??
 
Ukisema hauna mwisho unakosea, nikifa je?
Kuish na Caryn ni rahis Sana na ukimpatia utafurah sana kikubwa huyo dogo snapenda u boss sasa kuwa mpole flan HV mjumbe ndio akikwambia umekosea kubsli sema I sorry na hata skikusgiza wap kubsli Tu hata kama sio siku ya kazi,ila kiukweli kutompa taarifa umebugi boss wako ni Caryn sio Mzee usichsnganye ma file,huyo dogo snapenda ukubwa nenda nae kiivyo mbona easy mkuu..
 
Kwa Mara nyingine Caryn yko sahihi kabisa... Ulipaswa kutoa taarifa na ulitegemewa wewe kama mtu wa karibu kuelewa umekosea na sio kuonesha unammind kwa alichoamua...

Leo umetupa package inayokidhi kiu...big up na shukran
Dah! na nilimaindi kweli bila kujua kuwa ndio naharibu
 
kuna wengine tunajifunza kitu katika hii story ,ambacho wewe Hosam unasema "Story la kijinga hili " nadhani tayali na wewe umesoma ukajifunza kuwa ni story ya kijinga,,hivyo basi Mr BM X6 endelea kutupatia mafundisho usikatishwe tamaa hakuna anayekulipa kwa kupoteza muda wako kuandika ,aidha hakuna mwana JF anayemulazimisha kusoma story ya Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni
 
BM x6 katika hii story naomba kufahamu sterling ( samahani nimetumia neno la kitambo kidogo enzi nzile) ni nani ambaye ndiye mzizi wa story nzima
 
Kuish na Caryn ni rahis Sana na ukimpatia utafurah sana kikubwa huyo dogo snapenda u boss sasa kuwa mpole flan HV mjumbe ndio akikwambia umekosea kubsli sema I sorry na hata skikusgiza wap kubsli Tu hata kama sio siku ya kazi,ila kiukweli kutompa taarifa umebugi boss wako ni Caryn sio Mzee usichsnganye ma file,huyo dogo snapenda ukubwa nenda nae kiivyo mbona easy mkuu..
Yeah, dats true nilikosea ila katika hayo makosa ndio nilipata chance ya kumjua zaidi
 
Back
Top Bottom