Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mwisho wa episode ya 17 si ndio intro ya episode ya 18 nimesoma ila sijaelewa daah!..
Soma paragraph ya mwisho kabisa niliyoikoleza wino ndio utaelewa zaidi, niliipeleka story mbele ila Episode 19 itaendelea pale ilipoishia episode ya 17
 
Nataka nione paragraph ukichakata papuchi ya "Caryn"

Nimekusoma sababu ya kukataa safari ya China. Mzee umeufyata kinyama, dem yule ungemgeheda nahisi yote hayo ya kukupiga stop,au kutengeza backups assingefanya,angelikuuloiza tu kimahabati.

Nina kastori kafupi(ofsini kwetu) na dem kama Caryn yaani copyright.

Nitamuita Miss na Mimi nitajiita Babu. Yaani hakuna kitu kibaya kama kuacha mwanya wa kuchakata mayele ya hawa madem aina ya Caryn.

Tunafanyakazi ofisi Moja. Alipata Elimu yake nje ya nchi. "Miss"

Miss anajiamini na ana exposure na wkt nasoma story hii Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni naona tabia za "Miss" ni Caryn mtupu, ongea yake.kujiamini, misimamo, kwenye vikao ana argue deepdown.

Siku moja Miss tulipanga outing nikaona nitafute eneo tulivubna kwa kuwa najua ni mtu wa gambe nikahakikisha anapiga nyingi alewe nimsome vzr. Pub moja nje mji inaitwa kware pub nilians kifika mimi, nikaeeka ofa mguu wa mbuzi na ndizi za kutosha.

Simu iliita mfululizo Miss aliuza nimekaa wapi. Nilimkaribisha alipigilia kingia kifupii. Baada ya salamu mhudum amuuliza kinywaj,.

Babu: utakula Kwanza au utaanza gambe ?
Miss: chakula kwanza.

Mbuzi unapenda?
Miss: Nani asipende mbuzi?

Waiter aliwahi jikoni mguu woye ukstua mezani ndiz za kumwaga.

Miss: kuna sherehe?

Babu: kukaa na wewe ni sherehe kwangu, wewe unaonaje.

Miss: weee Babu weee hembu nipe changu niweke mfukoni kabla hatujalewa. Nikampa 20k

Tukaanza kula na kunywa. Kwa namna nilivyostudy danga danga danga na nusu.

Tuliendelea kukutana na zikanitoka pesa kana kwamba namlisha mwanafunz wa chuo.

Shida ya miss akilewa hata kama yuko period atataka mfanye nilishindwa kufanya nae lolote maana vituko vingi na vya kimataifa. Full kujiamini.

Mkiwa ofisini unaona kabisa PR imepata mwenyewe. Missbni moja ya watu ofisi ya PR(public relation)

Kwa Sasa amebaki kunizodoa tu kisa ni kukosa kumla. Caryn akiliwa atanyamaza. Mm Nina Caryn wangu ananisumbia natamani nimchane naamua kukaa kimya tu.

Namuona bm x16 unavyohangaishwa na Caryn

Je ulikataa safari ya china Kwa sabab caryin amekusimamisha kazi?

SAMAHANINI SINA UJUZI WA UANDISHI KAMA BM
 
Nimekusoma sababu ya kukataa safari ya China. Mzee umeufyata kinyama, dem yule ungemgeheda nahisi yote hayo ya kukupiga stop,au kutengeza backups assingefanya,angelikuuloiza tu kimahabati
Labda.....
 
BM X6 , Nachokiona ni Mzee anatamani wewe umuoe mmoja kati ya binti zake hao wawili. Je, ikitokea kutamkiwa hii opportunity will you accept it?
 
Kama anahitaji maendeleo caryn ndo wakumuoa kwakuwa anaweza kusimamia kazi pia ila Michelle mdhaifu sana kwenye mapenzi
Hapo utaamua upate maendeleo au uishi kwa manyanyaso..hapo jamaa kapigwa ban asiingie kazin huyo mwanamke siwez kuish naye kabisa niseme wazi wazi.

Huyo hafai hata kwa maendeleo
 
Yuko katika wakati wa kutawanya zaidi kuliko kukusanya.

Mngekutana enzi anajikusanya asingeweza kukukubali au kukuhitaji kama anavyokuhitaji sasa.
Kwa Sasa BM ni mtu anayejitambua sana.

Ana maturity mind na unaona hata Caryn anamkubali japo sielewi kama kuna kitu Caryn anataka Kwa BM.

Ukirejea nyuma kidg mama aliyekuwa kiongoz wa kampuni hii ambayo boss ni Caryn BM amekuwa tegemeo(BM) na ktk story hii somo nililobeba ni mojaa tu kufanyakazi. BM hana utani na kazi japo Caryn ana overreaches nyingi unapofayakaz naye.

Mru yyt anayetaka kufanyakazi na BM asingekataa Kwa sabab mchiz ni hardworking baddy,
 
Hapo utaamua upate maendeleo au uishi kwa manyanyaso..hapo jamaa kapigwa ban asiingie kazin huyo mwanamke siwez kuish naye kabisa niseme wazi wazi.

Huyo hafai hata kwa maendeleo
Hapana huyo caryn unaweza kuish nae vzuri tu ikiwa upo timamu na tambua kuwa ukizichanga vzuri karata zako na ukiwa unamkuna ipasavyo ubabe wake wote unakwisha
 
Nataka nione paragraph ukichakata papuchi ya "Caryn"

Nimekusoma sababu ya kukataa safari ya China. Mzee umeufyata kinyama, dem yule ungemgeheda nahisi yote hayo ya kukupiga stop,au kutengeza backups assingefanya,angelikuuloiza tu kimahabati.

Nina kastori kafupi(ofsini kwetu) na dem kama Caryn yaani copyright.

Nitamuita Miss na Mimi nitajiita Babu. Yaani hakuna kitu kibaya kama kuacha mwanya wa kuchakata mayele ya hawa madem aina ya Caryn.

Tunafanyakazi ofisi Moja. Alipata Elimu yake nje ya nchi. "Miss"

Miss anajiamini na ana exposure na wkt nasoma story hii Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni naona tabia za "Miss" ni Caryn mtupu, ongea yake.kujiamini, misimamo, kwenye vikao ana argue deepdown.

Siku moja Miss tulipanga outing nikaona nitafute eneo tulivubna kwa kuwa najua ni mtu wa gambe nikahakikisha anapiga nyingi alewe nimsome vzr. Pub moja nje mji inaitwa kware pub nilians kifika mimi, nikaeeka ofa mguu wa mbuzi na ndizi za kutosha.

Simu iliita mfululizo Miss aliuza nimekaa wapi. Nilimkaribisha alipigilia kingia kifupii. Baada ya salamu mhudum amuuliza kinywaj,.

Babu: utakula Kwanza au utaanza gambe ?
Miss: chakula kwanza.

Mbuzi unapenda?
Miss: Nani asipende mbuzi?

Waiter aliwahi jikoni mguu woye ukstua mezani ndiz za kumwaga.

Miss: kuna sherehe?

Babu: kukaa na wewe ni sherehe kwangu, wewe unaonaje.

Miss: weee Babu weee hembu nipe changu niweke mfukoni kabla hatujalewa. Nikampa 20k

Tukaanza kula na kunywa. Kwa namna nilivyostudy danga danga danga na nusu.

Tuliendelea kukutana na zikanitoka pesa kana kwamba namlisha mwanafunz wa chuo.

Shida ya miss akilewa hata kama yuko period atataka mfanye nilishindwa kufanya nae lolote maana vituko vingi na vya kimataifa. Full kujiamini.

Mkiwa ofisini unaona kabisa PR imepata mwenyewe. Missbni moja ya watu ofisi ya PR(public relation)

Kwa Sasa amebaki kunizodoa tu kisa ni kukosa kumla. Caryn akiliwa atanyamaza. Mm Nina Caryn wangu ananisumbia natamani nimchane naamua kukaa kimya tu.

Namuona bm x16 unavyohangaishwa na Caryn

Je ulikataa safari ya china Kwa sabab caryin amekusimamisha kazi?

SAMAHANINI SINA UJUZI WA UANDISHI KAMA BM
Sorry nilichelewa kuiona hii

Anyway, inawezekana Miss anafanana na Caryn ila kwa namna ulivyomuelezea hapa naona wametofautiana kidogo

1. Caryn hajawahi kula pesa yangu ila Mimi ndio nishakula pesa zake nyingi tu

2. Kwenye Issue ya kunjunjana niseme tu ule usiku wa Zanzibar ulijirudia tena, kwa maana ya kwamba nililala nae chumba kimoja hadi Asubuhi ila kabla ya kulala nae nilishajaribu kumuingiza Box ila majibu yake Sasa....nitaelezea Next Episode

Last but not least Caryn hajanifukuza kazi ila sababu ya kukataa kwenda China sababu ni Caryn, hii nayo nitaielezea kwenye muendelezo unaofuata
 
Mze wangu unataka ule tunda kimasihara.
 
Nasubiri

Muendelezo ni lini? BM X6
 
Back
Top Bottom