Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Habari za masiku ndugu zangu, naimani watu wote mliokuwa mnaifuatilia hii story ni wazima, maana ardhi siku hizi inameza watu kwa wingi, kwa upande wangu wote wazima isipokuwa tulipoteza maisha ya mshiriki mmoja kwenye hii story (nadhani hii taarifa nilishaitoa siku za nyuma)

Anyways, wanasema kazi ya Mungu haina makosa, pole kwa wale wote waliofiwa na ndugu, jamaa na marafiki zao naimani tuliobaki tutaumaliza huu mwaka salama, Lakini nasikitika kwamba huu mwaka hadi unaisha bado sijaleta muendelezo, kwakweli sikuwaza kwamba Itafika December halafu muendelezo bila bila!

Ila niwahakikishieni kwamba muendelezo bado upo pale pale ila sijajua ni lini lakini kwa huu mwaka ndio imeshashindikana ngoja tuangalie mwakani Mambo yatakavyoenda, Mimi Mwenyewe nasubiria kwa hamu siku nitakayoanza kuandika muendelezo wa hii story kwa sababu.... Aiseee!!! Acheni tu nyie jamani. Maisha haya
Tunasubr mkuu...... Insha'Allah mwakani
 
BM X Bado upo Zanzibar kufuata mzigo wa kampuni kwa maana tunakusubiria muda mrefu kweli,na sasa hivi muda huu hapa Niko hapa Azam Sealink napiga piga ndondo za kupata hata nauli mjini hapa.
 
Back
Top Bottom