Hatma ya mkopo wa Benki baada ya mkopaji kufariki

Kila mkopo huwa na dhamana,ukishindwa kulipa dhamana inatumika kufidia deni,kama mkopo umetolewa bila dhamana muhisika akifa na deni ndio linakufa hivo.
 
Mpaka sasa Kuna mvutano kati ya Dhamana kulipa deni au Bima
 
Kwenye mkopo wako inakatwa BIMA.

Ukifa BIMA inalipa huo MKOPO.
 
Mikopo ya siku hizi ina bima siyo issue tena mtu hata akifa especially mikopo ya ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…