Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Kesi ya ACT Wazalendo na Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi inayohusu kuzuiliwa kwa Bwana Mpina kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itatolewa hukumu leo saa 8:00 Mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma
Taarifa imetolewa na Abdallah Khamis Afisa Habari wa ACT Wazalendo
Taarifa imetolewa na Abdallah Khamis Afisa Habari wa ACT Wazalendo