Hatma ya mtoto wako ipo mikono mwako

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Hatma ya mtoto wako ipo mikono mwako!
Your browser is not able to display this video.


Huyu mtoto ameniacha hoi! Ebu chukua picha ndo mtoto wako mwenye miaka mitatu anatema vitu namna hiyo?

The whole purpose of education is to turn mirrors into windows.

Huyu mtoto ni Tesla Armor Glass kwa huu uwezo!
 
Ikiwa una watu sahihi around vitu vingi vinakuwa possible na unaweza kufikia dreams zako. Kuna watt wapo vizuri zaidi ya huyu lkn ndio hivyo wamekosa watu sahihi
 
Kiingereza kimetufanya watumwa wa kudumu
 
Tatizo ni hela, ningekuwa na hela sasa hivi, kijana wangu wa miaka 9 angekuwa huko nje kwenye mafunzo ya kurusha ndege za kivita huko duniani.

Muhimu, ni kujua kipaji cha kijana wako na kuwekeza huko; hii ya kusoma miaka mingi kuhusu kumjua mvumbuzi wa fuvu la kale, unatupotezea muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…