Hatma ya Niyonzima

Hatma ya Niyonzima

DIUNATION

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
2,591
Reaction score
1,719
Wakati nikiisoma taarifa ya yanga ya kuvunja mkataba na mchezaji huyu,sababu kubwa ni kua amekiuka baadhi ya vipengele vya mkataba wake hivyo kama club imemvumilia na imefika mwisho.
Sakata hili nadhani halina tofauti sana na kilichomkuta morinho aliyekua kocha wa chelsea kwamba katika mkataba wake ni kuhakikisha timu inafanya vizuri so baada ya kuona timu inaboronga management ya timu ikaona morinho ameshindwa kukidhi moja kati ya matakwa ya mkataba wake hivyo wakavunja mkataba na wakamlipa.
Kwa uelewa wangu mdogo yanga walitakiwa wasivunje mkataba bali wasingemtumia mchezaji mpaka yeye binafsi angeomba kuvunja mkataba na yanga wangedai fidia.Sasa yanga ndio wamesitisha mkataba na ndio wanadai fidia.
Pili sheria za Caf na Fifa zinazungumzia kuhusu kulinda kiwango cha mchezaji.Hivyo hata leo hii Niyonzima akipata timu ataendelea kucheza wakati kesi yake ikiendelea kushughulikiwa.
 
mobile.mwananchi.co.tz/michezo/Niyonzima-aitishia-nyau-Yanga/-/1597662/3019826/-/format/xhtml/-/tbbcgf/-/index.html
 
Kukiuka masharti ya mkataba ni kuvunja mkataba. Niyonzima kakiuka masharti ya mkataba hivyo kisheria kuvunja mkataba!
 
Back
Top Bottom