Hatma ya Raia kuzuia Polisi kuwakamata raia kuwapeleka vituo vya polisi wakihofia kutekwa

..polisi wameleta utamaduni mpya na mbaya wa kufanya ukamataji wakiwa hawajavaa sare.
 
kama hilo ni tatizo, jeshi la polisi nchini ni la waTanzania, ni wangwana sana, ni wasikivu sana ni wazi watabadilisha hali hiyo kwa haraka sana na tena kwa wakati muafaka...

ni muhimu sana wananchi pia kuepuka ukaidi, jeuri na kiburi dhidi ya wito na ilani za polisi ambazo ni kwa mujibu wa sheria na ni kwa manufaa ya usalama wao πŸ’

nadhan tupo pamoja
..polisi wameleta utamaduni mpya na mbaya wa kufanya ukamataji wakiwa hawajavaa sare.
 
..huo utaratibu alishika kasi wakati wa Magufuli.

..nilitegemea Mama 4R atakomesha utamaduni huo.

..wakati tunakua tulifundishwa kwamba mtu anayebeba silaha huku amevaa kiraia ni jambazi.
 
Linajipanga kwenye nchi yenye miaka 60 plus??
 
aah,
mie nimeshaeleza kwa kirefu zaidi, jambo hilo linashudhulikiwa na kutafutiwa majawabu na leo umeona mkuu wa nchi pamoja na IGP wakiwa na mazungumzo marefu sana...

kuna mabadiliko makubwa zaidi yanakuja na hali hiyo itabadilika kabisa πŸ’
Hao ndio vinara wa kuteka wapinzani. Kwa hiyo huo mkutano wao ni mkutano wa nyonya damu. Bila machafuko hatuwezi kupata mabadiliko ya kweli.
 
Hao ndio vinara wa kuteka wapinzani. Kwa hiyo huo mkutano wao ni mkutano wa nyonya damu. Bila machafuko hatuwezi kupata mabadiliko ya kweli.
Nadhani Chadema wakimaliza Uchaguzi wao wa ndani bilashaka patatulia tu, nadhani Tatizo lipo kwenye nafasi ya juu ya Uongozi wa Chama πŸ’
 
Linajipanga kwenye nchi yenye miaka 60 plus??
lazima kujipanga kulingana na mbinu mpya ambazo wahalifu wanazitumia kufanya uhalifu ndani ya jamii,

Hilo ni jambo muhimu, la maana na endelevu katika kuimarisha utendaji, ulinzi na usalama wa watu, mali na makazi yao πŸ’
 
PGO
 
..huo utaratibu alishika kasi wakati wa Magufuli.

..nilitegemea Mama 4R atakomesha utamaduni huo.

..wakati tunakua tulifundishwa kwamba mtu anayebeba silaha huku amevaa kiraia ni jambazi.
mlifundishwa upotofu Lakini si mbaya,

hata hivyo jambo muhimu na la maana sana ni kwamba polisi Tanzania imedhamiria na kujizatiti kuhakikisha inatekeleza majukumu yake ya kulinda watu, mali na makazi yao kwa ufanisi zaidi licha ya changamoto zilizopo πŸ’
 
Kwa upande wangu, vyombo na ama wadau wanaotoa elimu ya kisheria wangelifanyia kazi hilo kuwaelimisha raia kujua haki zao pindi wanapohitajika na polisi kituoni. Pili, raia waelimishwe pia polisi anapokuja kumkamata raia au kufanya upekuzi nyumbani ni mambo gani yanatakiwa yazingatiwe. Na je kama hayo mambo yasipozingatiwa wakati wa kumkamata raia au kufanya upekuzi nyumbani kwake, raia anatakiwa afanye nini au akalalamike wapi? Elimu kama hii ikifanyiwa kazi na pande zote mbili - upande wa polisi na upande wa raia - tatizo litaisha lenyewe. Lakini kama raia akitaka kujua kosa lake, then anajibiwa "usinifundishe kazi au kosa utalijua huko huko kituoni" (kama ambavyo baadhi ya watu huwa wana'share'), mvutano katika maeneo hayo mawili - ukamataji na upekuzi wa makazi - utaendelea kuwepo.
 
lazima kujipanga kulingana na mbinu mpya ambazo wahalifu wanazitumia kufanya uhalifu ndani ya jamii,

Hilo ni jambo muhimu, la maana na endelevu katika kuimarisha utendaji, ulinzi na usalama wa watu, mali na makazi yao πŸ’
Kwahiyo hawakuweza kufikiria mbele patakuwaje?

Hawana intelijensia??

Kwahiyi wakati wanajipanga watu waendelee kufa na kupotezwa?
 
Kwahiyo hawakuweza kufikiria mbele patakuwaje?

Hawana intelijensia??

Kwahiyi wakati wanajipanga watu waendelee kufa na kupotezwa?
wakati unamendea mke wa watu kwa siri, unataka polisi wawepo, right? ili baadae mseme wanaingilia privacy za watu, si ndiyo?

ukifumaniwa na kufanyiwa utakachofanyiwa, mnaanza tena lawama na kuuliza intelijensia Ilikua wap?🀣

acha kumendea wake za watu,wacha kudhulumu haki za wengine...

ni muhimu sana kuishi kistaarabu na kuheshimiana ndani ya jamii.

na vyama vya siasa vinavyoendelea na uchaguzi wao wa ndani, Uongozi si Lazima ukatishe maisha wa mwingine ndrugo zango, inauma sana.

Malizeni uchaguzi kwa amani na bila kinyongo πŸ’
 
Attachments

  • 354506.jpg
    14.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…