Hatma ya Rais mprotestanti Tanzania

Hatma ya Rais mprotestanti Tanzania

Unaongea Upumbavu wewe. Raisi ni wa CCM
Kama mambo yata enda kwa desturi, uwezekano wa kupata Rais mprotestanti Tanzania ni kati ya miaka 20-30 kutoka 2015.

Miaka 10 - 20 kwa awamu ya sasa, na miaka 10 kwa awamu inayofuatia ambayo atapewa kijiti Rais muislamu.

So mpaka 2035-2045. Na hiyo 2035-2045 bado kuna uwezekano mdogo wa kupata Rais mprotestanti Tanzania.

So kuna uwezekano wa watu wengi kutokuona Rais mprotestanti maisha yao yote.

Since theluthi ya watanzania ni waprotestanti, kuna umuhimu wa waprotestanti kupata theluthi ya miaka ya urais. Wakatoliki nao wakapata theluthi yao, na waislamu theluthi yao. Hili ni jambo ambalo watanzania wema wana takiwa wali unge mkono, ili kuwe na utambarare wa kisiasa.

Kutokuwa na Rais mprotestanti kuna weza kuleta political marginalisation ya makabila yenye waprotestanti wengi. Pia kuna weza kudhoofisha uprotestanti Tanzania.

Kwa mfano sasa hivi ukiangalia kwa sababu mbali mbali, baadhi ya vinara wa kisiasa au kiuchumi kutoka madhehebu kadhaa ya kiprotestanti wako jela, au wako under surveillance, au biashara zao zimewashinda.

Kama kungekuwa na Rais mstaafu mprotestanti ingekuwa vigumu kufanya hivi. Kwa sababu katika kipindi chake cha urais angekuwa na system ya kiprotestanti kuanzia ikulu, kwenye chama, kwenye mahakama, kwenye JWTZ, kwenye special force, kwenye millitary intelligence, kwenye polisi/ffu, kwenye magereza, kwenye TISS, kwenye presidential guard, kwenye mgambo, kwenye civil service, kwenye vyuo vikuu (maprofessa na madokta wakiprotestanti) etc.

Na hii system inge saidia mprotestanti waku hukumiwa ahukumiwe na waku achiwa aachiwe kwa haki.

Issue nyingine ni kwamba uprotestanti uko karibu na mafundisho ya biblia. Kwa hiyo uki udhoofisha ni sawa na unadhoofisha injili ya Yesu, na una msaidia Shetani.

Wakoloni wali wapendelea waprotestanti, na baadhi ya waprotestanti huwa wana mapungufu, kama, majivuno, kujionyesha, tamaa ya mali, uzinzi etc. So mapito waliyo yapitia baada ya uhuru yali lenga ku boresha tabia zao, na kuzifanya ziwe nzuri.

Rais mprotestanti sio lazima, cha muhimu ni kuwa na amani, haki na upendo. Na ku avoid mfumo wa kisiasa na wa kimaisha unao ipinga injili ya Bwana Yahushua Masiha (na sabato yake takatifu ya siku ya saba) hapa Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi sisi wapagani mbona hujatusemea?au hatustahili kutoa rais?tutaongoza mwaka gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani percentage ya population ambayo ni ‘pure’ pagans ni ndogo sana. Post za kawaida zinaweza kuwatosheleza.
 
Wew angalia
1. Julias - (Njaa kali) kristo
2.Ally - (Mzunguko Ulikwepo) islam
3.Benjamin - (Njaa kali) kristo
4.Mrisho - (Mzunguko Ulikwepo) islam
5.John - (Njaa Kali) kristo
Ona round hiyo mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo mambo yanafanywa kwa mkakati wa siri sana.

Hujiulizi ilikuaje nchi ambazo hazikuwahi kutawaliwa na Nchi yenye Uroma au wenye asili ya kiroma kama Ufaransa ,ureno ,Belgium Spian n.k waliibuka wanasiasa waliojiita wanaharakati wa awali kabisa katikati ya Wazee wa Kariakoo walioasisi vyama vya kupigania Uhuru halisi na kubakiza uhuru feki kwa maslahi ya kampuni hilo kubwa.
Kwenye baadhi ya Nchi walipoingia wale wanaharakati waliowapindua wapigania Uhuru waliojua adha ya wakoloni walipokabidhiwa nchi zao walianza kwa kudhoofisha dini na madhehebu mengine baada ya kutaifisha Mali za wajerumani ,wahindi,Waarabu na vishule vya waprotestanti na kufuta jumuiya zote imara na kuacha Kampuni ile kubwa kama serikali ya dunia ikiwa imara kabisa ikimiliki ardhi kubwa shule bora ,vyuo na kuandaa watawala na viongozi wake milele.
Huku taaisisi nyingine zikifutwa na kukosa hata shule za kuandaa watu wao kwa elimu dunia .

Bahati mbaya kwenye baadhi ya nchi kama hukubahatika kusoma kwenye shule zao hupati kitu zaidi ya kuwa mpambe na mtumwa huku ukichekewa kuwa dunia haina dini na kadhalika wala ubaguzi.

Uhuru halisi wa Mwafika barani Afrika ulikufa baada ya wapigania Uhuru wa kweli kutupiliwa mbali na kubaki wale waliowekwa kwa mikakati maalum.

Uzuri Tanzania Mwasisi wetu alitujengea umoja na mshikamano bila kujali dini na rangi ngazi za chini zote.

Dunia ina ukweli uliofichwa.
Ukiangalia mambo kwa undani sana utagundua kuwa dunia ina siri kubwa sana na kuna watu wanaiona dunia kama Mali yao na kuwapa wale wanaowataka wao.

Nasikia Kule Uganda palitokea mtu mmoja akataka kutaifisha Mali za wageni awape wazawa lakini alivamiwa na kupigwa vita na dunia nzima na kuitwa dikteta anayekula nyama za watu , na jeshi lake likagawanywa na kukimbilia nchi ya jirani na alipojaribu kuwatafuta magaidi wake aliitwa mvamizi na kupata kichapo na kutolewa madarakani kwa msaada wa wageni. Akaingia dikteta kamili mpaka Leo yupo na haguswi na yeyote na anasifiwa japo amefaidi matunda ya mtangulizi wake aliyekuwa amerejesha Mali za Uganda kwa wananchi toka kwa wakoloni.

Tanzania ni yetu sote tunataka Rais atakayefuata katiba ya nchi sio dini yake wala mila zake wala itikadi zake na kuacha sheria za nchi.

Mwalimu aliwahi kusema hatuwezi kujadili duni ya mtu kwa sababu hatuchagui papa wala Shekhe Mkuu.
Tusiulizane makabila mana hatupo kwa ajili ya kutambika.

Ni lazima pawe na Rais mwenye kabila au dini cha msingi ni kujenga umoja na haki kwa wote.

Lakini pia dini na madhehebu yote yawe tayari kusimamia haki na kuondoa ubaguzi isiwe kuna vikundi nyuma ya pazia havitaki imani nyingine isipokua wao tu.

Dini zisitumike kutugawa mana zililetwa na wakakoloni na wakazitumia kututawala, mpaka sasa baadhi ya wanasiasa wapenda madaraka na mawakala wa Lucifer wanazitumia kututawala kikoloni badala ya kujenga mifumo imara ya kiAfrika na kumwamini Mungu mmoja muumbaji wa vyote.
 
Kama mambo yata enda kwa desturi, uwezekano wa kupata Rais mprotestanti Tanzania ni kati ya miaka 20-30 kutoka 2015.

Miaka 10 - 20 kwa awamu ya sasa, na miaka 10 kwa awamu inayofuatia ambayo atapewa kijiti Rais muislamu.

So mpaka 2035-2045. Na hiyo 2035-2045 bado kuna uwezekano mdogo wa kupata Rais mprotestanti Tanzania.

So kuna uwezekano wa watu wengi kutokuona Rais mprotestanti maisha yao yote.

Since theluthi ya watanzania ni waprotestanti, kuna umuhimu wa waprotestanti kupata theluthi ya miaka ya urais. Wakatoliki nao wakapata theluthi yao, na waislamu theluthi yao. Hili ni jambo ambalo watanzania wema wana takiwa wali unge mkono, ili kuwe na utambarare wa kisiasa.

Kutokuwa na Rais mprotestanti kuna weza kuleta political marginalisation ya makabila yenye waprotestanti wengi. Pia kuna weza kudhoofisha uprotestanti Tanzania.

Kwa mfano sasa hivi ukiangalia kwa sababu mbali mbali, baadhi ya vinara wa kisiasa au kiuchumi kutoka madhehebu kadhaa ya kiprotestanti wako jela, au wako under surveillance, au biashara zao zimewashinda.

Kama kungekuwa na Rais mstaafu mprotestanti ingekuwa vigumu kufanya hivi. Kwa sababu katika kipindi chake cha urais angekuwa na system ya kiprotestanti kuanzia ikulu, kwenye chama, kwenye mahakama, kwenye JWTZ, kwenye special force, kwenye millitary intelligence, kwenye polisi/ffu, kwenye magereza, kwenye TISS, kwenye presidential guard, kwenye mgambo, kwenye civil service, kwenye vyuo vikuu (maprofessa na madokta wakiprotestanti) etc.

Na hii system inge saidia mprotestanti waku hukumiwa ahukumiwe na waku achiwa aachiwe kwa haki.

Issue nyingine ni kwamba uprotestanti uko karibu na mafundisho ya biblia. Kwa hiyo uki udhoofisha ni sawa na unadhoofisha injili ya Yesu, na una msaidia Shetani.

Wakoloni wali wapendelea waprotestanti, na baadhi ya waprotestanti huwa wana mapungufu, kama, majivuno, kujionyesha, tamaa ya mali, uzinzi etc. So mapito waliyo yapitia baada ya uhuru yali lenga ku boresha tabia zao, na kuzifanya ziwe nzuri.

Rais mprotestanti sio lazima, cha muhimu ni kuwa na amani, haki na upendo. Na ku avoid mfumo wa kisiasa na wa kimaisha unao ipinga injili ya Bwana Yahushua Masiha (na sabato yake takatifu ya siku ya saba) hapa Tanzania.
Upuuzi mtupu,hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya imani ya mtu na uongozi wa kisiasa,
Nyerere ametawala kipindi cha vita baridi kati ya magharibi na mashariki,kipindi cha vita ya ukombozi wa Kusini mwa Afrika,kipindi cha sera za kutokufungamana na upande wowote,yote yaliyotokea,au aliyofanya kwa namna moja au nyingine,yalichagizwa na hizo "factors" sio ukatoriki wake.
Mwinyi,amechukua Nchi,akalegeza sera,watu binafsi wakamiliki njia za uchumi,1992,dunia ikalazimisha wigo wa demokrasia uongezwe,tukaruhusu vyama vingi,hakuwa na jinsi ya kukataa,wafadhili walitulazimisha,na ndio ilikuwa mwelekeo wa dunia,sasa hapo dini yake inaingia vipi.
Mkapa,anaingia,nchi ilikuwa hovyo kiuchumi,kwa makusanyo,mashirika ya umma,yalikuwa yanaenda kwa hasara tupu,kulikuwa na ubadhrifu wa kutisha,wafadhili wakalazimisha sera ya ubinafsishaji,hatukuwa na jinsi,ni kukubali tu,kama tungekataa,wangetunyima misaada,sasa dini ya Mkapa hapa inaingiaje?
Kikwete,alilegeza kidogo,demokrasia ikashamiri,lakini pesa chafu,ikawa nyingi mtaani.
Maghufuri,amekuta nchi inanuka rushwa,na bado rushwa ipo,watumishi wa umma,walikuwa kama miungu watu,hakukuwa na jinsi,ilikuwa ni lazima,kusafisha,sasa dini yake inahusika vipi hapo?
 
Sasa uone ajabu ya Mmarekani haiko kikatiba lakini ndio ilivyo kamwe raisi hawezi kuwa muislamu au mkatoliki.Anatakiwa awe protestant.
Ameshatokea mkatoliki mara moja raisi Kennedy lakini walimpiga risasi 1963.
Ila kwa nchi yetu tusijadili ukabila kwenye mambo ya uongozi.Sio hulka yetu
 
Ingependeza sana...

Siku moja Tanzania Bara iongozwe na Mpemba... Rais wa Bara atokee visiwani alafu awe mpemba...

Cc: mahondaw
 
Tanzania ni nchi isiyo na dini rasmi, na mtu anatakiwa kupata urais kwa uwezo, si kwa dini.

Nyerere katika hotuba yake moja alisema hata mtu asiye na dini anaweza kuwa rais.

Kuhesabu miaka ya kupata rais m Protestanti ni kuchochea udini.
 
Religion is the opiate of the masses.
 
Kumbuka upatikanaji wa nyerere ulitokana na shirika LA Roma hata kumwandaa na mprostanti aliandaliwa na mariale mangi ila ikashindikana na kwa kupokezana mfumo wenyewe umeandaa watu kwa miaka kumi kumi,ccm wamegawa miaka hiyo kwa mifumo ya kiutawala wariberali miaka kumi then wajamaa miaka kumi
Kwa mfano mzuri wa hilo dude ccm tazama taifa LA marekani utaelewa vizuri
 
Back
Top Bottom