Hatma ya Rais mprotestanti Tanzania

Hatma ya Rais mprotestanti Tanzania

Waprotestanti hawana uvumilivu wa kidini.To them Islam and Catholicism is Satanic. So they are not a good fit.

# Only Muslims and Catholics
Kama mambo yata enda kwa desturi, uwezekano wa kupata Rais mprotestanti Tanzania ni kati ya miaka 20-30 kutoka 2015.

Miaka 10 - 20 kwa awamu ya sasa, na miaka 10 kwa awamu inayofuatia ambayo atapewa kijiti Rais muislamu.

So mpaka 2035-2045. Na hiyo 2035-2045 bado kuna uwezekano mdogo wa kupata Rais mprotestanti Tanzania.

So kuna uwezekano wa watu wengi kutokuona Rais mprotestanti maisha yao yote.

Since theluthi ya watanzania ni waprotestanti, kuna umuhimu wa waprotestanti kupata theluthi ya miaka ya urais. Wakatoliki nao wakapata theluthi yao, na waislamu theluthi yao. Hili ni jambo ambalo watanzania wema wana takiwa wali unge mkono, ili kuwe na utambarare wa kisiasa.

Kutokuwa na Rais mprotestanti kuna weza kuleta political marginalisation ya makabila yenye waprotestanti wengi. Pia kuna weza kudhoofisha uprotestanti Tanzania.

Kwa mfano sasa hivi ukiangalia kwa sababu mbali mbali, baadhi ya vinara wa kisiasa au kiuchumi kutoka madhehebu kadhaa ya kiprotestanti wako jela, au wako under surveillance, au biashara zao zimewashinda.

Kama kungekuwa na Rais mstaafu mprotestanti ingekuwa vigumu kufanya hivi. Kwa sababu katika kipindi chake cha urais angekuwa na system ya kiprotestanti kuanzia ikulu, kwenye chama, kwenye mahakama, kwenye JWTZ, kwenye special force, kwenye millitary intelligence, kwenye polisi/ffu, kwenye magereza, kwenye TISS, kwenye presidential guard, kwenye mgambo, kwenye civil service, kwenye vyuo vikuu (maprofessa na madokta wakiprotestanti) etc.

Na hii system inge saidia mprotestanti waku hukumiwa ahukumiwe na waku achiwa aachiwe kwa haki.

Issue nyingine ni kwamba uprotestanti uko karibu na mafundisho ya biblia. Kwa hiyo uki udhoofisha ni sawa na unadhoofisha injili ya Yesu, na una msaidia Shetani.

Wakoloni wali wapendelea waprotestanti, na baadhi ya waprotestanti huwa wana mapungufu, kama, majivuno, kujionyesha, tamaa ya mali, uzinzi etc. So mapito waliyo yapitia baada ya uhuru yali lenga ku boresha tabia zao, na kuzifanya ziwe nzuri.

Rais mprotestanti sio lazima, cha muhimu ni kuwa na amani, haki na upendo. Na ku avoid mfumo wa kisiasa na wa kimaisha unao ipinga injili ya Bwana Yahushua Masiha (na sabato yake takatifu ya siku ya saba) hapa Tanzania.
 
Hell is a place too

Magufuli sio mdini na hapendi mambo ya dini dini sana.
Ni mtu mwenye imani ya wastani ndio maana hata kwenye maulidi anakwenda.

Na mpaka sasa hatujawa na Rais mdini ndio maana nikasema endapo atatokea Rais mdini atatupeleka kwenye serikali ya kidini bila kuzuiwa na mtu yeyote kutokana na katiba dhaifu yenye mwanya wa mkuu kufanya lolote.

Waafrika wengi wanaangalia maslahi yao na nirahisi sana kufanya tofauti na katiba Kwa kuwashika wachache na kuwachotea mafeza na kuwafunga mdomo ili wale bata huku katiba ikivunjwa.

Kuchota pesa kidogo ni afadhali mana kuna mdhibiti anayeweza kusema kuwa kuna upotevu na akapeleka bungeni.
Hapo tatizo ni kumbaini muhusika na kukosekana kwa kifungu cha katiba cha kumshitaki mkubwa kama anakua amekiuka.
Hata hivyo wametoa mapesa bila kufuata Katiba wahusika wote(mkubwa Mkuu wa kuruhusu kama ni yeye) wakati ukifika watafikishwa mahakamani bila kujali ni lini mana taarifa za mdhibiti zipo.
Lakini teuzi zikikosewa hazina kesi wala ripoti yake .

Teuzi zingekua na udhibiti wa kikatiba lingekua jambo jema sana.

Madaraka makubwa yamewekwa kwa lengo hilo .Kujitafunia mijihela bila kushitakiwa, kupeana vyeo vikubwa vyenye maslahi.
Kwa hiyo, kwa sababu Magufuli si mdini, hizi habari za Waprotestanti hazina mashiko?
 
Zina mashiko makubwa mana zinaonyesha kuwa kuna manung'uniko hayo.
Mleta mada ameeleza vizuri tu jinsi watu wanavyojiimarisha kimikakati kuimarisha nafasi za kutawala.
Hali hiyo Inaonyesha watu wanafuatilia kwa muda mrefu mpaka wanakuja na hisia kama hizo.

Pakiwa na Katiba imara hakuna taasisi au kikundi cha watu kinachoweza kuzungumzia suala la kumpata Rais au waziri wa dini yake mana atakua hana manufaa yoyote kwao zaidi ya Taifa.

Vikundi na makundi na vyama vinatumia udhaifu wa Katiba na nafasi ya kuweza kupata upendeleo na nafasi ya kunufaika kupitia udhaifu wa katiba ndio maana watu wanatamani makundi yao yaingie pale kwenye ufunguo wa kula matamu ya nchi bila kuulizwa au kufungwa breki.
Kama mtu unaweza kuchota mapesa bila kuulizwa ; nani asiyependa pesa hata kama ni waumini nao wanaona huenda akipata wa kwao nao watachotewa mapesa na kupelekewa ,au kupata mavyeo mengi ambayo yana maslahi manono.
Suala ni kukosa kifungu cha kumfunga breki mkubwa na watu wanakitumia kunufaika kivikundi au kibinafsi.
Lakini mtu angekua anamipaka hata asiye na dini kabisa angeongoza tu bila tatizo. Mlokole,ustadhi, shekhe askofu ,mchungaji ,mwinjilist ,Paroko,padri ,sister ,yeyote angeweza kuongoza tu kwa haki sawa kwa wote na uadilifu mkubwa akihofia kupandishwa kwenye kamati maalum na kuhojiwa na kujikuta anaachia ngazi na kuhamia Gerezani.
 
Back
Top Bottom