Hatma ya shekh ponda

Hatma yake ni kunyea debe segerea.
hata mandela alinyea debe lakini leo ni shujaa,ndivyo itakavyokuwa kwa sheikh Ponda,serikali onevu ikiondoka madarakani ikija serikali yenye haki atakuwa kama madela alivyo
 
Wamesema anatakiwa ashitakiwe kwenye mahakama ya ardhi...hapo hapo wanasema ana kesi ya kujibu!sijaelewa kabisa!!
 
Waone nini sasa, si mlisema hayo hayo wakati anakamatwa na mkasema hayo hayo mkilazimisha dhamana?

Mbona bado yuko jela na hakuna kinachoonekana?

mkuu usiseme hakuna kinachoonekana, pengine ndo hayo tuliyoyashuhudia kule Mwanza na Zanzibar.
 
Jamaa mwenyewe kwanza tapeli.
 
Wanajf tunapoelekea sio pazuri! Ktk jukwaa hl hekima na busara vitawale kuliko matusi, kejeli na mizaha isiyo na tija! Majibu ya kipuuzi yatolewayo hapa yatafanya jukwaa hl kukoda tija na kuwa trna sio sehemu sahihi ya
kuelimishana, kutahadhalishana na hata kupata taarifa mu
himu kwa tulio mbali. Swali limeulizwa juu ya sheikh ponda mwenye majibu sahihi basi aelezee kama kashitakiwa kwa makosa yapi n dhamana kapata au kakosa kutokana na sababu zipi za kisheria simple! Tunahitaji elimu zaidi ktk jf coz i believe we are civilized people and not vice versa!
 
Wamesema anatakiwa ashitakiwe kwenye mahakama ya ardhi...hapo hapo wanasema ana kesi ya kujibu!sijaelewa kabisa!!
Duh !! Mahakama ya arhi ebo!!! basu huyo atakuwa mmea
 
wampeleke waone.

hahahaha nacheka mie.... Hamna lolote nyie.. Mlisema haya kwa shekhe ponda ooh wamkamate waone akakamatwa na mkapigwa mabomu vile vile.... Ooooh asipewe dhamana waone. Hajapewa mpaka sasa na hakuna lolote lile leo unasema pumba zile zile.... Kweli ndo maana watu wanafeli maana medula obulangata haifanyi kazi ya kukumbuka.
 
Ponda asipo achiwa huru na kufutiwa mashitaka, tutafanya dua, wadhurike woooooooooooooote wanaofanya aendelee kusota lupango. takbir
Coments kama hizi ndo zinanifanya nione uislamu ni dini ya visasi. Kwani Ponda kaonewa?
 
mbona kunadua nyingi wamesomewa watu wengi hawalaaniki mfano wzr wa mambo yandani.dua zenu hazina nguvu nini?..waislam acheni danganya toto
 
Jamani nashukuru kwa majibu ya kila rangi ( yamaana, yakipuuzi, yadharau, yakejeli ) etc. Ila natuache mzaha kwenye mambo ya msingi. Shukrani
 
hatma yake ni jela tu hawezi kurudishwa uraiani gaidi yule
 
Ponda asipo achiwa huru na kufutiwa mashitaka, tutafanya dua, wadhurike woooooooooooooote wanaofanya aendelee kusota lupango. takbir

salman Rushdi alisomewa dua na kuhukumiwa kifo na Ayatolah Komein, bado anapeta- aliyemhukumu kifo alikufa imediate. ngoja tusubiri kwa ponda.
 
salman Rushdi alisomewa dua na kuhukumiwa kifo na Ayatolah Komein, bado anapeta- aliyemhukumu kifo alikufa imediate. ngoja tusubiri kwa ponda.
Al badir nayo ilishindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…