LGE2024 Hatma ya TAMISEMI na Uchaguzi kujulikana leo, Jaji Ngunyale kutoa hukumu

LGE2024 Hatma ya TAMISEMI na Uchaguzi kujulikana leo, Jaji Ngunyale kutoa hukumu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hatma ya kesi inayomhusu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) katika kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji inatarajiwa kujulikana leo, Oktoba 28, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.

Soma, Pia: Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Jaji David Ngunyale wa Mahakama Kuu, masjala ndogo ya Dar es Salaam, anatarajiwa kutoa tamko kuhusu pingamizi lililotolewa, likielezea hoja za msingi za ziada kuhusu iwapo kuna sheria inayompa mamlaka Waziri wa TAMISEMI kuandaa na kusimamia uchaguzi huo.

Soma:

+
Serikali yapewa Siku 14 kujibu pingamizi la Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
+ Kitendo cha Mahakama kwenda kutoa hukumu ya TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kuzidi kubariki uovu wa CCM
 
Back
Top Bottom