Hatma ya Tanzania iko juu ya Watanganyika na Wazanzibar

Hatma ya Tanzania iko juu ya Watanganyika na Wazanzibar

KHM 1995

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
461
Reaction score
729
Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania.

Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha hatari juu ya watanganyika na wazanzibar,lakini kanuni ya asili sio matokeo ya kisiasa wala kiuchumi ni kanuni kama maji yanavyofata mkondo,kwa maana ukiyaziba yatatafuta weakness side na yatapita.

Hili sio tsunami la man made lakini natural created,tuonavyo visiwa vya bahari ya java vilivyomezwa na volcano na vikatoweka katika uso wa dunia,vile vile tusisahau hicho mnacho dhani hakiwezekani,kanuni ya asili hupanga na kuamua kwa mtiririko wa kimahesabu pasipo makosa ya kibinadamu.

Ni sawa na natural calamite iliyotokea califonia,issue inakuwa unexpected na well calculated.
 
Ingekuwa ni uwezo wangu, Zanzibar ingekuwa mkoa wa Tanganyika
 
Kichwa cha habari kimeeleweka kuliko habari yenyewe, anyway Zanzibar ndio makao makuu ya Tanzania kwa sasa
 
Back
Top Bottom