Hatma ya Ukraine kujiunga na Umoja wa Ulaya kujulikana wiki ijayo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
EU.JPG

Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya (EU), Ursula von der Leyen amewasili Ukraine, leo Juni 11, 2022 kwa ajili ya mazungumzo ya taifa hilo kuelekea kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, ikielezwa kuwa hatima yake itajulikana wiki ijayo.

Von der Leyen amepanga kuwa na mazungumzo na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ikiwa ni mara ya kwanza kwa Umoja wa Ulaya kutoa taarifa ya lini hasa inaweza kutoa maoni yake kuhusu mchakato huo.

Tangu kuanza kwa vita dhidi ya Urusi, Februari 24, 2022, Rais Zelensky amekuwa akitoa msukumo mkubwa akitaka taifa lake liungwe kuwa mwanachama katika Umoja wa Ulaya

Source: Voa News

EU Chief Visits Kyiv to Discuss Ukraine Bid to Join Bloc​

European Commission President Ursula von der Leyen is in Kyiv Saturday for a meeting with Ukraine’s President Volodymyr Zelenskyy to discuss the country’s reconstruction and progress towards European Union membership she said.

“I will take stock of the joint work needed for reconstruction and of the progress made by Ukraine on its European path,” she said in a Twitter post.

Zelenskyy said Saturday his country would “definitely prevail in this war that Russia has started, speaking from an undisclosed location in Kiyv.

In an address meant for delegates at the Shangri-La Dialogue Asia security summit currently held in Singapore, Zelenskyy said Ukraine is struggling to continue supplying food due to the conflict and that some parts of the world are facing “an acute and severe food crisis and famine” because of Russian blockade.
 
Hivi Russia inapinga Ukraine kujiunga na European union or NATO?
 
Aircraft wanazopeleka Ukraine zinatunguliwa na kuharibiwa na Russia; Hakutokuwa na tofauti kabisa. .
 
Msitie ulimi puani Russia alikataa yote mawili kwa ukraine wasijiunge European na NATO., sasa mumeona European union haizuiliki tena mnaleta habari za NATO., na Kuhusu NATO Zelensky amesema ni jambo la kuulizwa wananchi wa Ukrean iwapo wanataka au la watafanya referendum sio kumsikiliza Putini.

Putini ni mfia vitani, sasa mwez 5 unaingia hakutegemea kinachomtokea na sasa lengo la magharibi ni kumdhoofisha huyu jamaa hata vita ikiendelea kwa miaka 5.,
 
Na ww kwa ndoto yako unaona anadhoofika?? Wamagharibi wenu na marekani walienda kufanya ugaidi nchi za kiarabu hamkuja huku mkilalamika bali mlikuja kishangiria, nashangaa kuwa furaha zenu now zimegeuka vilio na malalamiko, Putin piga magaidi hao mpaka wajue kuwa ugaidi wanaoufanya nchi za kiislam sio mzuri
 
Msitie ulimi puani Russia alikataa yote mawili kwa ukraine wasijiunge European na NATO., sasa mumeona European union haizuiliki tena mnaleta habari za NATO., na Kuhusu NATO Zelensky amesema ni jambo la kuulizwa wananchi wa Ukrean iwapo wanataka au la watafanya referendum sio kumsikiliza Putini.

Putini ni mfia vitani, sasa mwez 5 unaingia hakutegemea kinachomtokea na sasa lengo la magharibi ni kumdhoofisha huyu jamaa hata vita ikiendelea kwa miaka 5.,
Sio mitano, tutapigana hadi miaka 10. Lakini kamwe hatutaondoka Ukraine. Mwisho wa siku tutaona nani anaumia.
 
Msitie ulimi puani Russia alikataa yote mawili kwa ukraine wasijiunge European na NATO., sasa mumeona European union haizuiliki tena mnaleta habari za NATO., na Kuhusu NATO Zelensky amesema ni jambo la kuulizwa wananchi wa Ukrean iwapo wanataka au la watafanya referendum sio kumsikiliza Putini.

Putini ni mfia vitani, sasa mwez 5 unaingia hakutegemea kinachomtokea na sasa lengo la magharibi ni kumdhoofisha huyu jamaa hata vita ikiendelea kwa miaka 5.,
Anauenufaika na hii Vita ni Russia sababu Meri za mizigo zinasomba chuma halisi toka Ukraine (wizi adharani huna Cha kufanya).
Wanapora mazao, wanapora vipuri vya siraha, wanaiba technology ya drones za West , wamepandisha sarafu yao.
Hapo Kuna Nini?
 
Kwa nini mabenki yanafungwa russia?
 
Aircraft wanazopeleka Ukraine zinatunguliwa na kuharibiwa na Russia; Hakutokuwa na tofauti kabisa. .
Na Putin ana mawazo kama haya haya uliyotoa hapa? Au wenzio Urusi wataitisha kikao kuijadili huo ujio wa mama.
 
Nyie, mtaifanya Ukraine kuwa magofu, mbona hamuelewi, Ulaya nzima itakuwa hatarini sana, sbb nawahakikishia, Urusi ya Putin itaipiga miji yote ya Ulaya ikitaka kuitetea Ukraine..

Hii ndio itakuwa tayari vita kuu ya 3 rasmi kuanza, na Ulaya itawaka moto.
Ukraine yeye aache kiherehere sbb Rais wake comedian kadanganywa na kuiingiza nchi katika vita, jamani Ukraine imebaki magofu.. Nchi yoyote ya Ulaya itakayo jaribu tu kujiingiza Ukraine kivita, wataungua moto wote.

Back
Top Bottom