Hatma ya Zamaradi na Clouds media

Hatma ya Zamaradi na Clouds media

Attachments

  • 153674421.jpg
    153674421.jpg
    16.3 KB · Views: 61
Ila kusema ukweli, huyu cheusi she is not sexy at all.. Yaani sio wa kumvutia mwanaume kabisa aiseee.. Mm sina hata wazo la kumtamani, yaani siwezi hata kidogo kuvutiwa nae haipo, ila ndio hivyo kila mtu na bahati yake.. Yaani mvuto hana kabisa, ukweli utabaki hivyo...
Inasemekana ana chambia asali
 
Rugs Na wasanii wa fiesta. Ana chagua tu. Mara Yule Mara huyu...........
 
Hata mimi naona hivyohivyo...ila kuna kitu hatukijui anacho huyu mdada mpaka watu wanamlilia wakiachwa...wadada ambao sio wazuri kihivyo huwa wanautamu wa ajabu...
kweli huwa yana ma-utamu kinoma, hasa yale yenye machunusi chunus nyingi
 
Ila kusema ukweli, huyu cheusi she is not sexy at all.. Yaani sio wa kumvutia mwanaume kabisa aiseee.. Mm sina hata wazo la kumtamani, yaani siwezi hata kidogo kuvutiwa nae haipo, ila ndio hivyo kila mtu na bahati yake.. Yaani mvuto hana kabisa, ukweli utabaki hivyo...
Ni kweli aisee hana mvuto wowote hasa sura mbaya
 
Mama juju ana akili sio akina nyumbu
 
Back
Top Bottom