Hatoki mtu kwa Mkapa, wametoka wao

bartenderznz

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
398
Reaction score
195
Nasisitiza tu, ilikuwa hoja dhaifu kutuaminisha kuwa mngeshinda tano.

Pia ni hoja dhaifu kutuaminisha kuwa Yanga watakwenda body ya ligi kabla ya tarehe thelathini.

Kiufupi hoja zenu zimekuwa dhaifu mno msimu huu mliaza na hoja ya kuwa mtawafunga Kaizer Chiefs Kwao pia ilikuwa ni hoja dhaifu.

Hata ile hoja ya Kuwaita baadhi ya wachambuzi wa mpira kuwa ni "TAKATAKA" nadhani pia ni hoja dhaifu.
 
Mbumbumbu fc walikua wakidanganywa na Yule Manara kwakua waliloga na kutoa kafara za kutosha.
 
Kwa hiyo ulitaka wawe wanyonge wanyonge,wangepata hata hizo goli zilizolinda heshima yao kweli mkuu pamoja na kutolewa,ukweli usemwe wenzetu simba wametuzidi tuache wivu na tujifunze kutoka kwao
Mkuu washauri ndugu zako wanapata tabu Sana.
Wivu tu.
 
Kwa hiyo ulitaka wawe wanyonge wanyonge,wangepata hata hizo goli zilizolinda heshima yao kweli mkuu pamoja na kutolewa,ukweli usemwe wenzetu simba wametuzidi tuache wivu na tujifunze kutoka kwao
"tuwache wivu" hakuna mtu kawaonewa wivu,they play hard, which is very good ninachojaribu kusema ni kwamba tuliaminishwa 99% they are going to win mkuu
 
Hiki kichwa endelea kufugia nywele tu!
 
Kama ni kwa Mkapa hakika hatoki mtu na Kaizer hakutoka kwa Mkapa.
Kama ni kutolewa kwenye mashindano sio issue mwakani mbungi kama kawaida.
 
Mleta mada amepigwa na kitu kizito kichwani 🤣
 
Kwa hiyo ulitaka wawe wanyonge wanyonge,wangepata hata hizo goli zilizolinda heshima yao kweli mkuu pamoja na kutolewa,ukweli usemwe wenzetu simba wametuzidi tuache wivu na tujifunze kutoka kwao
Mpo wachache sana mkuu...kongole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…