Hatua 4 Ninazotumia Kumwezesha Mteja Wangu Kuaga Matumizi ya Karatasi Katika Biashara Yake

Amba Samedi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2024
Posts
207
Reaction score
346
Habari wanaJF,

Natumaini mmeshinda salama. Mimi niko hapa naaga ijumaa taratibu. Kwa wasabato ni siku ya maandalizi, na kwa walokole na waroma itakuwa mfungo endelevu, bila kusahau mwezi mtukufu wa wenzetu waislamu.

Haya. Jana nilikuwa Dar, msanii mmoja ana biashara ya samaki. Akaniita kwa ajili ya kumpa shule kuhusu mfumo aliotaka kutengeneza. Ana wateja wake katika maeneo mbali mbali dar, kwa hiyo alitaka kuwatunza na kuwapa customer care nzuri. Tukaongea mengi, akaniambia anatamani:
  1. Kuachana na makaratasi: Alinionyesha lidaftari likuuubwa ambalo lilikuwa na namba za wateja, oda zao, na ambako walitaka kupelekewa samaki zao.
  2. Alinionyesha daftari ya mapato na matumizi. Order wanazochukua, suppliers wao, pamoja na mauzo na matumizi ya mwezi. Aliniambia wanachukua siku nzima kupiga mahesabu ya mwezi (inabidi wafunge kwa muda), na anataka aondokane na hayo.
  3. Aliniambia kuwa anatamani kwenda kidigitali zaidi. Akiwa home anachukua simu au laptop, na tayari anakuwa na ramani ya biashara yake kuwa muda husika, iwe siku, wiki, mwezi, robo au mwaka.

Ushauri Niliyompa
Kwanza nilimpa hongera kwa kazi nzuri. Branding safi, maeneo safi, wahudumu wazuri, na packaging makini. Na wateja wanakuja wa maana (alipokea simu ya kuandaa samaki wa kwenda Omani na Dubai).
1742560043525.png

Pili, alijitahidi sana kuposti Instagram. Akaunti yake hii hapa: Migebuka Fresh on Instagram

Anapost picha, maelezo, video nk ambayo wateja wakisoma, wanakuja. Amejitahidi kujipa thamani (differentiation) kupitia kuuza samaki ambao watu wengine hawauzi sana (hasa wa kutoka ziwa Tanganyika). Migebuka wakiongoza (na list ina ngege, sato, sangara na pweza).

Hatua ya 1: Kuimarisha Mawasiliano
Kwanza, alitaka namna ya kutuma SMS. Nikampa options mbili: Premium Bulk (ambayo ina sendername, km MIGEBUKA), na ordinary bulk (kutumia simu ya Android, SIM card ya kawaida na bando zake, na mfumo maalum tuliojenga unaoweza kuunganishwa na mfumo wowote wa biashara kwa ajili ya SMS na kutoa risiti).

Tunatumia zote mbili. Simu ya kawaida kwa ajili ya mawasiliano ya karibu yanatohitaji majibu, na premium bulk SMS kuwafikia wateja wote/wengi kwa mpigo (tahadhari: Voda waliniambia hawaruhusu bulk SMS kwenye line ya kawaida).

Ana contacts zaidi ya 1,000 ambao amewasave kwenye akaunti yake ya Gmail. Nikaingia mle, nkashusha wote, tukafanya editing, halafu tukaunganisha na simu yake ya Android ambayo ipo maalum kwa ajili ya biashara. Anacompose tu sehemu moja, meseji zinatembea.

Baada ya hapo, tukajaribisha wachache (kama 50 hivi), na matokeo yakaonekana. SMS ikawa kama hivi:

1742560799271.png

Kama unavyoona, SMS inamtaja mteja kwa jina lake (jambo zuri), na inaenda moja kwa moja kwenye mada. Tunaendelea kuboresha ili kuona kipi chema.

Hatua ya 2: Kutengeneza Orodha ya Wateja ya Kidigitali
Katika hatua hii, Mteja aliniletea kitabu chake chenye orodha ya watu. Kitabu kilikuwa na namba za simu, maeneo wanakotoka, na oda waliofanya kwa siku husika. Ilikuwa inafanana hivi:

1742561264938.png

Kwa kawaida mtu atatumia Excel katika hatua hii. Kwa kiingereza tunaita Data Digitization (yaani, kuhamia kutoka kwenye karatasi hadi hatua za awali za utunzaji wa kielectroniki).

Ila kwa njozi tuliokuwa nayo, tulitaka kitu yenye ufanisi zaidi ya Excel. Nayaingiza majina kwenye mfumo maalum nlouandaa (picha ntaleta baadaye).

Tunatumia mbinu fulani ya kupata majina ya wateja (jina la kwanza na la pili), tutanakili namba, halafu, tutatunza kumbukumbu za oda kwa utaratibu (alioda kilo ngapi, ya bidhaa ipi), halafu na location kusudi tujue anaishi wapi).

Kwenye simu yake tumeweka uwezo huu: akisevu namba kwenye email hiyo ya MGEBUKA FRESH, inaingia kwenye mfumo moja kwa moja, na pia akisevu kwenye mfumo, inaingingia kwenye email yake ili asisumbuke kutafuta namba.

Hatua ya 3: Point of Sale kwa Ajili ya Kumonitor Mauzo na Usambazaji
Hatua hii bado ipo kwenye majaribio, na punde nikimaliza ntaleta picha hapa. Ila sura itakuwa kama hii hapa:

1742563034390.png

Mteja wangu aliomba kununua desktop. Nkamshauri kuwa hizo zimepitwa na wakati. Badala yake, natengeneza app maalum ambayo itatumika katika kazi hii. Nilimshauri kununua:
  • POS register moja kwa kila ofisi.
1742563570668.png

1742563681529.png

1742563778020.png

  • Na POS mobile devices mbili au tatu (kama zile wanazotumia wakala wa benki). Devices zenyewe zinafanana hivi:
1742563863254.png

1742563980356.png

Hii itasaidia kuendesha kazi kwa urahisi. Mteja akipiga, namba inaseviwa chapu, na order kutumwa hapo hapo. Na zile line za Halotel na Voda ataziweka humo ili simu iweze kufanya kazi zaidi ya moja.

Logistics / Usafiri
Pia, mteja wangu ana bodaboda ambao amewapa kazi ya kufikia maeneo mbalimbali Dar-es-Salaam. wameugawa mji kwa pande 3 hivi. Kila bodaboda anachukua ruti fulani hivi ambayo haina usumbufu.

Kila wanapoondoka kwenye ziara ya usambazaji, wanapewa order sheet inayofanana hivi:

1742565432967.png

Sasa, kawaida wanajazaga kwa mkono (kuna wakati mhudumu alikosea namba 1, mteja alikuwa ashalipa hela ndefu ikabidi order irudi na pesa zirudishwe). Mfumo utarahisisha kiasi kwamba mhudumu ataprint tu order zote, jamaa atakabidhiwa.

Mteja analipa ada ya usafiri (kama elfu 3 hivi tu), na analetewa chakula popote alipo (hana haja ya kuwasha gari kutoka posta kwenda Kibamba).

Kama boss ataona vyema, atakuwa na access ya app. Kila order ikikamilishwa, anabofya, na SMS inarudi.

Patamu sasa, mteja atapokea SMS kuonyesha kinachoendelea katika kila hatua:
  • Order inapoingia pap, meseji
  • Safari inapoanza, meseji
  • Mzigo unapokabidhiwa, meseji ya shukrani.
Hatua ya 4: Ripoti na Back Office
Mpaka hapa, mteja wangu alishajihakikishia flow ya mauzo. Mfumo wa POs utampa ripoti za kila siku:
  • Kiasi cha mauzo
  • Bidhaa iliyouza sana
  • Bidhaa ambayo imepungua sana katika mauzo
  • Oda kubwa kuliko zote (ndo imsaidie baadaye atakapotaka kutoa zawadi kwa wateja waaminifu)
Back office itakuwa maalum kwa ajili ya ripoti za kina (aliniambia wanafungaga ofisi kufanya ripoti ya mwezi. Hii itawachukua nusu saa tu, hivyo kupata muda wa ziada wa kuwahudimia wateja wao).

Ntaleta picha kamili kadri tutakavyokuwa tuna kamilisha hatua.

Mwisho
Naamini kila biashara inahitaji mfumo fulani wa kibiashara kwa ajili ya kurahisisha kazi yao. Huenda so kila mtu anaweza kumudu mfumo kama nlouweka, lakini unaweza kupiga hatua fulani katika kukumbatia teknolojia itakayokusaidia.

Naomba kusikia kutoka kwa wataalam wa mifumo na wale walioweza kusuka kitu kama hiki (au zaidi)

Mlifanyaje? Natamani kujifunza.

Naenda zangu kufuturu. Alamsiki.
 
Habari wanaJF,

Natumaini mmeshinda salama. Mimi niko hapa naaga ijumaa taratibu. Kwa wasabato ni siku ya maandalizi, na kwa walokole na waroma itakuwa mfungo endelevu, bila kusahau mwezi mtukufu wa wenzetu waislamu.

Haya. Jana nilikuwa Dar, msanii mmoja ana biashara ya samaki. Akaniita kwa ajili ya kumpa shule kuhusu mfumo aliotaka kutengeneza. Ana wateja wake katika maeneo mbali mbali dar, kwa hiyo alitaka kuwatunza na kuwapa customer care nzuri. Tukaongea mengi, akaniambia anatamani:
  1. Kuachana na makaratasi: Alinionyesha lidaftari likuuubwa ambalo lilikuwa na namba za wateja, oda zao, na ambako walitaka kupelekewa samaki zao.
  2. Alinionyesha daftari ya mapato na matumizi. Order wanazochukua, suppliers wao, pamoja na mauzo na matumizi ya mwezi. Aliniambia wanachukua siku nzima kupiga mahesabu ya mwezi (inabidi wafunge kwa muda), na anataka aondokane na hayo.
  3. Aliniambia kuwa anatamani kwenda kidigitali zaidi. Akiwa home anachukua simu au laptop, na tayari anakuwa na ramani ya biashara yake kuwa muda husika, iwe siku, wiki, mwezi, robo au mwaka.

Ushauri Niliyompa
Kwanza nilimpa hongera kwa kazi nzuri. Branding safi, maeneo safi, wahudumu wazuri, na packaging makini. Na wateja wanakuja wa maana (alipokea simu ya kuandaa samaki wa kwenda Omani na Dubai).
View attachment 3278733

Pili, alijitahidi sana kuposti Instagram. Akaunti yake hii hapa: Migebuka Fresh on Instagram

Anapost picha, maelezo, video nk ambayo wateja wakisoma, wanakuja. Amejitahidi kujipa thamani (differentiation) kupitia kuuza samaki ambao watu wengine hawauzi sana (hasa wa kutoka ziwa Tanganyika). Migebuka wakiongoza (na list ina ngege, sato, sangara na pweza).

Hatua ya 1: Kuimarisha Mawasiliano
Kwanza, alitaka namna ya kutuma SMS. Nikampa options mbili: Premium Bulk (ambayo ina sendername, km MIGEBUKA), na ordinary bulk (kutumia simu ya Android, SIM card ya kawaida na bando zake, na mfumo maalum tuliojenga unaoweza kuunganishwa na mfumo wowote wa biashara kwa ajili ya SMS na kutoa risiti).

Tunatumia zote mbili. Simu ya kawaida kwa ajili ya mawasiliano ya karibu yanatohitaji majibu, na premium bulk SMS kuwafikia wateja wote/wengi kwa mpigo (tahadhari: Voda waliniambia hawaruhusu bulk SMS kwenye line ya kawaida).

Ana contacts zaidi ya 1,000 ambao amewasave kwenye akaunti yake ya Gmail. Nikaingia mle, nkashusha wote, tukafanya editing, halafu tukaunganisha na simu yake ya Android ambayo ipo maalum kwa ajili ya biashara. Anacompose tu sehemu moja, meseji zinatembea.

Baada ya hapo, tukajaribisha wachache (kama 50 hivi), na matokeo yakaonekana. SMS ikawa kama hivi:

View attachment 3278751

Kama unavyoona, SMS inamtaja mteja kwa jina lake (jambo zuri), na inaenda moja kwa moja kwenye mada. Tunaendelea kuboresha ili kuona kipi chema.

Hatua ya 2: Kutengeneza Orodha ya Wateja ya Kidigitali
Katika hatua hii, Mteja aliniletea kitabu chake chenye orodha ya watu. Kitabu kilikuwa na namba za simu, maeneo wanakotoka, na oda waliofanya kwa siku husika. Ilikuwa inafanana hivi:

View attachment 3278759

Kwa kawaida mtu atatumia Excel katika hatua hii. Kwa kiingereza tunaita Data Digitization (yaani, kuhamia kutoka kwenye karatasi hadi hatua za awali za utunzaji wa kielectroniki).

Ila kwa njozi tuliokuwa nayo, tulitaka kitu yenye ufanisi zaidi ya Excel. Nayaingiza majina kwenye mfumo maalum nlouandaa (picha ntaleta baadaye).

Tunatumia mbinu fulani ya kupata majina ya wateja (jina la kwanza na la pili), tutanakili namba, halafu, tutatunza kumbukumbu za oda kwa utaratibu (alioda kilo ngapi, ya bidhaa ipi), halafu na location kusudi tujue anaishi wapi).

Kwenye simu yake tumeweka uwezo huu: akisevu namba kwenye email hiyo ya MGEBUKA FRESH, inaingia kwenye mfumo moja kwa moja, na pia akisevu kwenye mfumo, inaingingia kwenye email yake ili asisumbuke kutafuta namba.

Hatua ya 3: Point of Sale kwa Ajili ya Kumonitor Mauzo na Usambazaji
Hatua hii bado ipo kwenye majaribio, na punde nikimaliza ntaleta picha hapa. Ila sura itakuwa kama hii hapa:

View attachment 3278798

Mteja wangu aliomba kununua desktop. Nkamshauri kuwa hizo zimepitwa na wakati. Badala yake, natengeneza app maalum ambayo itatumika katika kazi hii. Nilimshauri kununua:
  • POS register moja kwa kila ofisi.
View attachment 3278810

View attachment 3278814

View attachment 3278817

  • Na POS mobile devices mbili au tatu (kama zile wanazotumia wakala wa benki). Devices zenyewe zinafanana hivi:
View attachment 3278818

View attachment 3278820

View attachment 3278838

Kwa namna ulivyoeleza, huu mfumo utakuwa mzuri kwa biashara. Hongera sana.
 
Naenda zangu kufuturu. Al

Inavutia nitakupa kazi pia ukimalizana na huyo mteja wako
 
Kaka naomba mawasiliano yako au nitumie ujumbe namba yangu ni 0652038930.nahitaji huduma mfanano wa hii kwenye biashara yangu. Asante.
 
Back
Top Bottom