Hatua gani napaswa kufuata ili nimiliki muhuri wa Architect?

Hatua gani napaswa kufuata ili nimiliki muhuri wa Architect?

ABYUDI KANJALE

New Member
Joined
Nov 6, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Nahitaji kuwa na muhuri wa Architect ambao naumiliki mimi mwenyewe ni hatua zipi nifuate ili niweze kupata Muhuri wa Archotct?
 
Nenda bodi ya usajili wa wasanifu majengo na wakadiriaji ujenzi AQRB Utapata muongozo mzuri zaidi.

Nijuavyo mimi unajisajili Mtandaoni katika website ya AQRB na kilipia fees pia kuna mitihani ya kufanya ufaulu ndio uweze kupata muhuri.
 
Kama ilivyo kwa Mawakili, huwezi kuwa na muhuri bila kufaulu mitihani ya Law School. Na kuhusu Arch. nenda Bodi ya usaji ya Wakadiriaji majenzi (AQRB), utapata suluhisho.
 
Back
Top Bottom