A ABYUDI KANJALE New Member Joined Nov 6, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Nov 6, 2024 #1 Nahitaji kuwa na muhuri wa Architect ambao naumiliki mimi mwenyewe ni hatua zipi nifuate ili niweze kupata Muhuri wa Archotct?
Nahitaji kuwa na muhuri wa Architect ambao naumiliki mimi mwenyewe ni hatua zipi nifuate ili niweze kupata Muhuri wa Archotct?
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,857 Reaction score 3,593 Nov 7, 2024 #2 Architect unatuuliza sisi ambao sio maarchitect? Nadhani ungeuliza uliosoma nao
A ABYUDI KANJALE New Member Joined Nov 6, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Nov 7, 2024 Thread starter #3 Mshamba wa kusini said: Architect unatuuliza sisi ambao sio maarchitect? Nadhani ungeuliza uliosoma nao Click to expand... HUMU NDANI TUPO WATU AINA TOFAUTI TOFAUTI NAULIZAKWA YOYOTE MWENYE UELEWA NA HILI SWALA ANISAIDIE
Mshamba wa kusini said: Architect unatuuliza sisi ambao sio maarchitect? Nadhani ungeuliza uliosoma nao Click to expand... HUMU NDANI TUPO WATU AINA TOFAUTI TOFAUTI NAULIZAKWA YOYOTE MWENYE UELEWA NA HILI SWALA ANISAIDIE
didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 861 Reaction score 1,476 Nov 8, 2024 #4 una degree ya Architecture?
Moment of silent JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 855 Reaction score 1,483 Nov 8, 2024 #5 Nenda bodi ya usajili wa wasanifu majengo na wakadiriaji ujenzi AQRB Utapata muongozo mzuri zaidi. Nijuavyo mimi unajisajili Mtandaoni katika website ya AQRB na kilipia fees pia kuna mitihani ya kufanya ufaulu ndio uweze kupata muhuri.
Nenda bodi ya usajili wa wasanifu majengo na wakadiriaji ujenzi AQRB Utapata muongozo mzuri zaidi. Nijuavyo mimi unajisajili Mtandaoni katika website ya AQRB na kilipia fees pia kuna mitihani ya kufanya ufaulu ndio uweze kupata muhuri.
E EMACHA JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 771 Reaction score 1,478 Nov 8, 2024 #6 Kama ilivyo kwa Mawakili, huwezi kuwa na muhuri bila kufaulu mitihani ya Law School. Na kuhusu Arch. nenda Bodi ya usaji ya Wakadiriaji majenzi (AQRB), utapata suluhisho.
Kama ilivyo kwa Mawakili, huwezi kuwa na muhuri bila kufaulu mitihani ya Law School. Na kuhusu Arch. nenda Bodi ya usaji ya Wakadiriaji majenzi (AQRB), utapata suluhisho.