Hatua gani utachukua ukigundua mke/mume wako anachepuka?

Hatua gani utachukua ukigundua mke/mume wako anachepuka?

Dunia hii ya leo iliyojaa kila aina ya wanawake, ya nini ning'ang'anie? Yani kiroho safi namruhusu aendelee kuchepuka. Na mimi nikatafute wa kumchepukisha maana maisha ya leo kila mke/mume ni mchepuko wa mke/mume wa mwingine. Ni mwendo wa mzunguko tu, kibaya kufumaniana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alfu mnatuambia oooh oeni muone utamu wa Ndoa .
 
Achepuke tu

Mwili wake maisha yake .why should I bother myself for another person actions?

Binafsi natafuta hela, amani kutoka ndani na furaha yangu mwenyewe.
Tena akaweke kabisa kitanda kwenye k ya mchepuko, aiii akiamka yumo sina habari mie,
 
Wanandoa siyo two separate people anymore -- msamiati wa ^mwili ni wake,^ hauna nafasi kwa wanandoa. Hawa ni mwili mmoja. Your body is his body; his body is your body. You're, as it were, one person.
Hizo ni theories tuu
 
Binafsi ntazingatia yafuatayo:

Je, nimelipa mahali kwao?
Je, mimi ninachepuka?
Je, mahali ni kiasi gani nilizotoa
Je, tumezaa watoto?
Je, tuna mali kiasi gani?
Je, huyo bwana namfahamu?

NB: Baada ya kuzingatia hayo ntaanza mchakato wa kumdanganya tuuze mali kwa kumuaminisha kama kuna inshu kubwa tunataka kufanya akiingia king kaliwa kichwa.

Bwana yake lazima afe wala haitojulikana kilichomuua,tena itachukua muda kulifanya hilo zoezi wala hata mimi hatoniona kwenye tukio. Ni mwendo wa sumu tu.

Watoto ntawaandalia maisha baada ya hilo tukio, mke stamdhuru ila itabidi aende kudanga tu maana ntamkimbia na pesa zote.

Hayo ni mawazo yangu tu ambayo wengi hawatayapenda, anyways mimi nimeoa na nina watoto tena spendi itokee ila ikitokea sina budi kufanya hivo. [emoji120]

Inaonekana umejua kama wife wako kajiunga jf basi unamtimba biti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ntakavyomponda atajiona choo humu ndani. Nina jicho langu nikimkata tuu huwa ananiuliza nimefanyaje kwani?
 
Wanandoa siyo two separate people anymore -- msamiati wa ^mwili ni wake,^ hauna nafasi kwa wanandoa. Hawa ni mwili mmoja. Your body is his body; his body is your body. You're, as it were, one person.
Kwenye makaratasi


In reality

Mwili wake

Kifanyio chake

Utamu wake


Kila mtu atatumia mwili wake anavyoona inafaa


Kucheat ni kuamua

Ya nini upate vidonda vya tumbo kwa mtu alioamua kutumia mwili wake wakati na wewe una wako????
 
Nawambieni wanaume wenzangu mwanamke ni mkeo Tu pale unapokuwa naye Bali unapokuwa mbali naye usihesabu unaanza kujitafutia kufa mapema

Ya nini usumbuke na mambo ya kufurukuta kumtafuta mtu Nani anayechepuka naye ni kujiumiza nafsi yako mapema Sana , na kumbuka unapotafuta kumuua mwenzio usidhani wewe upo salama maana kama ungekuwa salama mkeo/mmeo asingechukuliwa , Kwa hiyo uwezekano wa kufa wewe uko mikononi na mke/Mme akijua amekufa mchepuko wake yaani Raha yake na wewe ukamuacha kifo kipo mlangoni kwako .

Huyu hatakuacha hakika atalipiza Tu kisasi labda uwaue wote.

Lkn damu ni nzito kuliko maji huwezi ua usijulikane kabisa .

Utakufa Tu Kwa nini ujisogezee kifo Kwa mtu ambaye mmekutana ukubwani
 
Back
Top Bottom