1)Utambulisho wako..hutakuwa na haja ya kutembea na KADI wala KITAMBUKISHO(kadi ya benki,kitambukisho,kadi ya bima,kadi yoyote..n.k
2)VYETI na HATI..certificates...vyeti vya elimu,hati za umiliki,hati ya utambulisho wa umiliki,leseni za biashara n.k
3)PESA ZA MAKARATASI..zitaondolewa..itaanza na kuanguka kwa US PETROL DOLLAR us dollar haitatumika tena kuagiza petrol..badala yake itatumika hiyo NEW DIGITAL CURRENCY..PESA MTANDAO
4)Simu za kiganjani/mkononi...zitaacha kutumika ..badala yake zitatumika..simu zilizo ndani ya mwili wako sio nje ya mwili wako..
ITAKUJA KAMA ni suluhisho la kurahisisha maisha kwa jina la SAYANSI NA TEKNOLOJIA...ndio FINAL goal ya elimu hii ya dunia ya sayansi na teknolojia aliyotuletea wanadamu ambayo ilitufundusha kuwa binadamu tumetokana na nyani.
ndio FINAL goal ya PESA/HELA/FEDHA..
ELIMU & FEDHA hutaweza KUUZA wala KUNUNUA bila ,kwa maana hutaweza kuishi bila kukubali kujisajili kwa huu mfumo ambao ni INTERGRATED ya mifumo yote katika mfumo mmoja utakao kaa ndani ya mwili wako.
na huu mfumo utahusisha na mfumo wako wa fahamu NEUROLINK...utakuwa na uwezo wa kutambua dalili za hatariza magonjwa mwilini mwako mapema na kukupa taarifa ..itaonekana kama ni mfumo unaolinda na kutunza AFYA YAKO..pia itaonekana kuwa ni kitu kizuri..ni HIGH TEC ni maendeleo ni Suluhisho la matatizo na ni njia rahisi na nzuri.
Watu watapanga foleni wenyewe kwa hiyari yao kuupokea huo mfumo na kuomba wawekewe huo mfumo mwilini mwao uliopo katika namna ya kipandikizi kidogo...MICRO CHIP..
itakayowekwa kwenye paji la uso..NEURO LINK micro chip..ama mkononi..mwilini mwako.
watakaokataa hiyo kitu wataonekana kama waaasi wasio wazalendo wanairudisha nyuma maendeleo nankukosesha ustawi wa RAIA WA DUNIA raia wote wa dunia watakuwa kitu KIMOJA one world..NEW WORD.
HIYO KITU katika biblia ndio inaitwa CHAPA YA MNYAMA BEAST...CHAPA NAMBA 666...otakuja kwa jina zuri..shetani hujigeuza malaika..ni mwenye kuudanganya ulimwengu au baba wa uongo.
N:B UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOPO DUNIANI UMEKARIBIA kabla 2030
mtakatifu na azidi kutakaswa,mwenye dhambi azidi kutenda
yafue mavazi yako yawe meupe.